Search results

  1. Emma Lukosi

    Frem Mbili Sokoine drive zinapangishwa, near Bandari road

    Fremu kama zinavyoonekana hapo kwenye picha Eneo ni zuri kwa office, au biashara nyingine. opposite ni bandari ndogo. Bei ni NEGOTIABLE. 0713338342
  2. Emma Lukosi

    Asali mbichi ni nzuri kwa afya yako

    Habari za kazi wana bodi, Napenda kuwapa habari njema kwa wale wote ambao hawapendi ama hawawezi kutumia sukari Kuwa asali mbichi na original kutoka Tabora, inapatakina katika kiwango cha hali ya juu. Ukiagiza asali kutoka kwangu unaletewa hadi mlangoni kwako kwa wale walio maeneo ya mjini Dar...
  3. Emma Lukosi

    Blogs: Building Your Online Presence

    "Blogs has the ability to loan people’s time and attention by putting readers at the heart of the solution". kuna blog za aina tofauti kulingana na budget yako Kuna self hosted na zile ambazo ni free hosted mfano free hosted ni zile zinazoishia na .blogspot.com na self hosted ni zile za...
  4. Emma Lukosi

    testing codes

    Sorry kwa usumbufu.
  5. Emma Lukosi

    Selfies For Sale, sasa unaweza kujipatia pesa kedekede kupitia picha zako mwenyewe

    'selfies' zimekua dili. Watu kibao wamekua wakijipiga picha wao wenyewe almaarufu kama "selfie" ili tu kujifurahisha na kujiburudisha huku wengine wakijipatia pesa kupitia picha zao. "Nili apload picha zangu chache nikiwa nimevaa miwani nambili zilinunuliwa", hayo ni maneno ya Cynthia...
  6. Emma Lukosi

    Samsung Galaxy S4 brand new @630,000/=

    Brand new Samsung S4 original nimeletewa nataka kuiuza bei 680,000/= Ina kila kitu chake, no scratches. Picha hiyo hapo. piga 0713 338342
  7. Emma Lukosi

    King'amuzi cha star times @60,000/=

    Nauza king'amuzi cha star times full set, Decoder + Remote + Antena. Bei elfu 65 inashuka hadi elfu 60 mwisho. 0713338342
  8. Emma Lukosi

    Samsung Galaxy S3 mini for 350,000 Mpya...

    0713 338342 Bei haishuki zaidi ya hapo Boxed
  9. Emma Lukosi

    (Living and Dying) If you take care of the present , the future will take care of itself

    Life is what happens to you while you're busy making other plans. John Lennon Planning for the future: When most people are young adults, they put a lot of their effort into preparing for their future. The problem is, the future never really comes. After middle age, they may or may not have...
  10. Emma Lukosi

    Simba na Yanga

    Simba 3 na Yanga O hii nayo habari Kubwa. :third::third:
  11. Emma Lukosi

    Printer Inahitajika

    Habari Wadau, Natafuta Printer yenye sifa zifuatazo. * Yenye uwezo wa ku-print paper sticker *Rahisi katika kujaza wino au wino wake unaopatikana kwa bei rahisi *Heavy Duty *Bei Poa SMS only. +255683953700
  12. Emma Lukosi

    Kilimo cha Cocoa / Chocolate

    Habari wana JF, Hongereni wajasiamali/wakulima Nisiwachoshe jamani, mimi nilitaka kujua au kupata taarifa juu ya kilimo cha cocoa.. Wapi nchini kwetu kinaweza kulimwa pamoja na tarifa zingine.
  13. Emma Lukosi

    !! Nimelimwa Notes: Mke wangu analipuliza !!

    Habari wana JF, Shikamooni wana MMU. .. Kwani tatizo nini?... Story ni ndefu sema nimeifupisha.
  14. Emma Lukosi

    !! Nigerian music na Wasanii wao unaowakubali !!

    Habari wana JF, Poleni macelebrity! Dhumuni la uzi huu leo nataka tuzungumzie muziki wa kinaigeria kama mziki ambao ni moja ya muzik kwenye mafanikio makubwa barani Afrika na Duniani kiujumla. Je wenzetu ni nini amabao wao wanakifanya sisi hatukioni?. Je unakubali kazi zao? Maana mimi...
  15. Emma Lukosi

    !! Vigezo maalumu vya Kupata kazi katika kampuni za Kitanzania hata kama huna Expirience !!

    Habari wana JF, Poleni wasaka Job 1. Hakikisha unachakachua kidogo jina lako lifanane na kiongozi flani serikalini eg: Lughembe = Maghembe 2.Hakikisha unajifanya mgeni hapa Tz, na unatokea ether South Africa, Nigeria au Kenya 3. Kama wewe ni mweupe kiasi vaa wigi then jifanye ni blak indian...
  16. Emma Lukosi

    !!Women demand a lot o things from one man while Men demand only one thing from a lot of Women!!

    Habari wana JF, Shikamoni wana MMU (maana mna makubwa).. Jamani kuna haka ka usemi hapo juu naona kadri ulimwenu unavyobadilika haka ka usemi kana ukweli. !!Women demand a lot o things from one man while Men demand only one thing from a lot of Women. Walume what do you need from girls...
  17. Emma Lukosi

    “True Love Doesn’t Care If You’re In A Relationship! He’s Fair Game Until I See A Ring”

    You know how they say they’re more women than men in the world… Some people have used this statistical imbalance as a valid justification for polygamy and keeping your options open. Whether this is right or wrong is open to a whole lot of discussion and analysis. The dynamics of how these...
  18. Emma Lukosi

    Wazee wa Box

    Habari wana JF, Poleni Watafuta kazi wenzangu. Baada ya poyoyo mbili tatu nazizipiga humu mtandaoni pamoja na kitaa lakini maisha yanazidi kukaba wakuu,Ukweli unabidi usemwe ila hiyo sio case. Husieni na kichwa habari hapo juu elimu ya kuombea maji ninayo, Passport ninayo na nauli pia ninayo...
  19. Emma Lukosi

    Zijue maana za acronomies za kwenye internet- LMAO

    LMAO - Laughing My As* Off LOL - Laughing Out Loud Also: AFAIK =» As Far As I Know AFK =» Away From Keyboard ASAP =» As Soon As Possible BAS =» Big A$$ Smile BBL =» Be Back Later BBN =» Bye Bye Now BBS =» Be Back Soon BEG =» Big Evil Grin BF =» Boyfriend BIBO =» Beer In...
Back
Top Bottom