Search results

  1. bopwe

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Ujenzi wa reli mpya ulikua ni mpango wa maendeleo wa muda mrefu. Naamini tungejenga reli ya kisasa zaidi yenye kukidhi mabadiliko ya technologia na ongezeko la watu. Kuwa na reli ya umeme sio kigezo reli kuwa ya kisasa . Naamini reli hii ingeanza Port kama kituo muhimu na wasafiri wange pata...
  2. bopwe

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Miaka ya nyuma CAG hakuripoti akimuogopa Magufuli. Design itavo kuwa ni vimeo
  3. bopwe

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Hata SGR tumepigwa Main Station kama soko la machinga ilala Sub station kama police posts Watu wamechelewesha mradi ili wapige riba .. CAG anasema tumepigwa 35 billion kwa ucheleweshaji mradi kipande cha Dar-Moro peke yake. Haya Mataga pigeni makofi kidogo.....
  4. bopwe

    Tanzania: Wakimbizi kutoka Msumbiji warudishwa kwa nguvu walikotoka

    Msumbiji ishauriwe iongee na Wananchi wake wanayo madai halali. Nguvu haitowasaidia unapopgana na Kundi ambalo halina cha kupoteza. Wananchi wa Kaskazini ya Msumbiji wame baguliwa sana na Frelimo. Maeneo haya hakuna maendeleo yoyote yalio wekezwa. Sasa kuna Gas kwa wingi nayo hawatafaidi na...
  5. bopwe

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Vyuma vya zege vinaondolewa na zege ?
  6. bopwe

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Wana Mataga hamjambo ? Naona SGR Daraja la Nkurumah limekongongorewa kwa mara ya Tatu. Naona Jini la pale sio la Nchi hii. Itabidi Mataga muongee na Jamaa mlie mvunjia Petrol station yake bila ya fidia yoyote. Petrol station ile ilikua na hati miliki ya mwaka 1966 . Magu akaivunja kibabe ...
  7. bopwe

    Nani anafaa kuwa Waziri Mpya wa Fedha na Mipango?

    Said Salim Bakhressa
  8. bopwe

    Ahadi za Dkt. Philip Mpango ni pigo kwa Mafisadi

    Bahati nzuri mafisadi wote wamo ndani ya ccm. Ndio mawaziri , manaibu, wakurugenzi, ma DC , RC nk Ripoti ya GAG imeonesha kuna ufisadi na wizi . Hivo akapambane na majizi ndani ya serikali ambayo ni maccm. Asifanye kama Magufuli kuonea Wapinzani badala kupambana majizi TPA na kwengine
  9. bopwe

    Rais ,Mama Samia weka wanajeshi katika bandari zote,mtumie Mabeyo kuwapata

    Inatakiwa kuwekeza zaidi kwenye Hihital security bandarini. Kunawekwa electromic gates za kutolea mziho. Gate linafunguka kwa bar code ya risiti only. Tena kwa kutumia container number. Hujalipa kodi gate halifunhuki katu. Majeshi sio kazi yao waache hakuna serikali ya kijeshi
  10. bopwe

    Tanzania ya Samia bado ni ya Magufuli: Acheni Kujitoa Ufahamu Ndugu zetu

    Alaaa Kwa hio na Ya Magu ni ya JK ? Kila zama na kitabu chake ya Magufuli yatabaki kwenye makabati
  11. bopwe

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Mataga hamjambo ? Tupoe na msiba. Sasa lini tunafika Moro na kuanza kazi ? Hivi Bandarini mtapitia njia gani ? Sasa SGR chini ya Mama Samia itajengwa kwa kuwashirikisha Watanzania kama wa miliki kwa kuwauzia shares. Mambo ya kujenga SGR kwa faini za magari hatufiki na kila jengo linapunguzwa ku...
  12. bopwe

    Huyu ndio Shujaa wetu hayati John Pombe Magufuli - Rais wa Watanzania na kimbilio la wanyonge

    Kwani zamani watoto walilipa kiasi gani? Unajua cost ya hii propaganda ya magufuli kuhusu elimu? Dar peke yake watoto zaidi ya laki 5 wanakosa nafasi za kusoma kwa sababu hakuna shule mpya alozojenga na watoto wanaongezeka. Ni kiini macho tu hamna kitu
  13. bopwe

    Huyu ndio Shujaa wetu hayati John Pombe Magufuli - Rais wa Watanzania na kimbilio la wanyonge

    Wanyonge wamefaidika vipi na utawala wa Magufuli.? Tueleze kwa kina
  14. bopwe

    Spika Ndugai: Miradi yote aliyoacha Rais Magufuli iko salama

    Anyamaze huyu Ndugai asianze kumuingilia mama Samia Anajipendekeza wakati yeye ni mmoja aliyeshiriki kulifanya bunge kuwa rupper stamp. Kwanza Ndugai ana kesi ya kuvunja katiba kwa kuruhusu wabunge feki. Miradi iliopo inategemea priorities za serikali na mwelekeo wa Samia President wa Tanzania...
  15. bopwe

    Diamond Platnumz apata shavu kutoka kwenye movie ya Coming 2 America

    Jana imeangalia hii movie na hamkuwemo wimbo wowote wa Diamond. Wimbo ulio kuwemo ni wa Davido. Na nikaangalia list ya nyimbo mwishoni mwa movies hakuna mahali Diamond ametajwa. Msidanganye haukuwemo
  16. bopwe

    Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huko? Ni biashara pekee ama kuna njia nyingine?

    Niseme tu hio projected size na growth sio sawa. Data hazipo sawa. Kwanza Three Major Religion ni Christians 1.5 billion Islam 1.2 billion Hindus 1.1 billion Figure zako hazipo sawa kabisa fanya research
  17. bopwe

    SGR Construction in Tanzania - UPDATES

    SGR to Dar es salaam Port inaingia lini ?
  18. bopwe

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Now hakuna Dar tena ni Ilala !
  19. bopwe

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Hamjambo humu ? SGR Dar-Moro tunafungua lini ? Waluguru tunamengojea sana . Tupo nyuma miaka miwili sasa au ndo Mvua [emoji41][emoji41] Gharama zinapanda na hakuna anaejua
Back
Top Bottom