Search results

  1. K

    Jirani Yetu Mtata Sana

    naONA BAADHI YA WACHANGIAJI HAPA HAWAJAELEWA HUYU AMEANDIKA NINI!! Alichoandika hapa ni kuwaomba jirani zake waongeze kelele wakati wa kufanya majamboz. kwa sababu wao wakianza na yeye anapiga punyeto kwa mzuka wa sauti zao. sasa siku hii sauti zilikuwa chini sana akalazimika kuweka kikombe...
  2. K

    Birthday ya diamond demage hoteli ni kiboko

    muziki wa bongo ni kama hii big g ninayomung'unya hapa sasa hivi. baada ya muda nitaitema mbali. huyu Dogo kawekeza wapi? anajirusha tu na madem wabongo anadhani yeye ni wa kwanza kwao?? tutamuona siku si nyingi. jana tu kuna mwingine ambaye alikuwa akitesa na mwenzake leo naambiwa kakamata...
  3. K

    University of Dodoma - Photos !

    the truth is kazi ya ujenzi ilianza wakati wa Mkapa ila yeye kamalizia. tunamsifu kwa kumalizia. angeweza kutumia hizo hela kwa safari za nje kama alivyofanya kwa miradi mingine. so hongera JK .
  4. K

    Wasanii wa bongo na sifa ya ushombeshombe!

    nakumbuka wakati tuko wadogo kuna wimbo tulikuwa tukiwaimbia hao mashombeshombe hasa hawa wanaokaa uswahilini: Mwarabu koko ko anakula ukoko!! ilikuwa inawakera hadi wanakimbia wakituona anga zao, na mipira yetu ya chandimu au manati yetu shingoni. kutupiga hawawezi maana tulikuwa wababe na full...
  5. K

    Kwaito Kwenda Mbele . . .

    mnacheza jaiving mnaita kwaito? kwaito kamwangalie yule jamaa wa Hakunaga.
  6. K

    The best photoz ever....zina maana kubwa sana....

    sowing seeds of Revolution.
  7. K

    Mwigulu Nchemba: Umeihujumu CCM Arumeru?

    Avanti, wafuasi wa ccm wasingeamini maana hakuna kiongozi wa chadema aliongozana na polisi jana kukamata vijana wa ccm na kuwaweka ndani. usidhani wana ccm ni vilaza wote. kwanza ndio waliopiga kura za kumfanya Nasari ashinde. Wangewaacha polisi na huyo ambaye angekataa matokeo wakaenda zao...
  8. K

    Live on star TV mtazamo baada ya matokeo ya Arumeru

    Jambo nililijifunza katika uchaguzi huu na ambalo lilijitokeza pia wakati wa uchaguzi mkuu ni kuwa vyombo vya dola vijipange vizuri na viache kuwa na wasiwasi usiokuwa na sababu. vurugu nyingi zimekuwa zikitokea wakati wa kuhesabu kura au kutangaza matokeo ambayo tayari watu wanakuwa wanayo...
  9. K

    Msimamizi wa uchaguzi Arumeru anastahili

    Kagenzi aliishi na Tarime na akajifunza tabia ya kutopindisha mambo, jambo ambalo wengi wetu tuliowahi kufanya kazi huko tumejifunza pia. kule mbwai mbwai! kijiko ni kijiko na sepetu ni sepetu!! kama hutaki sio juu yao. Sasa sijui na huku pia watamzushia kesi sijui wampeleke wapi!? niliwaambia...
  10. K

    Vituko vya kp

    alex kipanya ni habari nyingine. infact ni mmoja wa wachora katuni waliopeleka katuni katika level ya juu iliyopo sasa. kumbuka kipindi cha uchaguzi wa ubunge temeke kati yaLyatonga mrema na cisco mtiro. alichangia sana ccm kushindwa, na pia akaja akaanza kuwabana viongozi waDar kipindi kile...
  11. K

    Elezea hii photo ulivyoelewa ufikishe ujmbe kwa wengine

    remebering that you are going to die is the best way to avoid the trap of thinking that you have something to lose
  12. K

    Sleeping poshoooz vs oncall poshoooz...cheki mwenyewe!

    rekebisha: dr akiwa call ni masaa 24 waakti Mbunge anakuwa anasinzia mjengoni maximum amsaa 8 tu baada ya hapo wanaenda chakonichako kujivinjari na wanafunzii na wasanii wa movie za bongo.
  13. K

    Marco Tibasima

    Marco yuko dar ingawa siku hizi ameachanana magazeti navijarida. yeye na mwenzake Ndunguru wameingia katika kampeni za ukimwi na miradi ya wamarekani. kama mnafahamu Uzikwasa ( wale waPangani) ubongo uliohusika pale ni wa huyu jamaa. Tibasima na ofisi pale karibu na Biafra ( na anaishi...
  14. K

    Dj Steve B Vs Dj JD

    nadhani mjadala huu unafanywa na watu ambao hawakuweppo wakati akina DJ JD wako active kwenye fani. hao mnaowataja siku hizi sioni umahiri wao. ukitaka kuhakikisha hilo angalia kwenye hizo radio station zenu na tv. utagundua kuwa kila alikopita JD na wenzake wa kizazi chake ( kina Rankim, fast...
  15. K

    NBC yachangia kituo cha afya cha Mt. Benedict Kitunda, Dar

    we acha masihara lizombe Kitunda? Ritungu hilo!! huoni shingo zilivyokaa?
  16. K

    Mtazame mkulu, mungu si athumani.

    watu wengi ni wavivu wa kutafuta ukweli. siku hizi kuna vyanzo vingi vya habari na hizi picha nyingi za Obama akiwa kenya na kabla hajawa Rais zipo hata kwenye baadhi ya machapisho yake yeye mwenyewe. binafsi nakubaliana na aliyesema hapo juu kuwa hana makuu!! mengine anayofanya ni kwa sababu...
  17. K

    Yupo wapi kada maarufu wa CCM Nicodemus Banduka

    Banduka huyu alisababisha tunyang'anywe viwanja tulivyokuwa tumenunua kihalali pale Kibaha maili moja baada ya yeye kujihalalishia viwanja zaidi ya mia kwa jina lake, akiwa mkuu wa mkoa wa pwani. Serikali iliposhindwa kumnyang'anya ( kwa sababu ya mfumo wao wa kubebana ki magamba) ikaamua...
  18. K

    Should African Countries Recognize The Libyan Rebels?

    Hatuishi kwa kigaiga ila kwa kuombaomba!!
  19. K

    Don't need sex

    lol!!!
  20. K

    mabomu mengine Dar?

    ni wahindi mungu wao kaja.
Back
Top Bottom