Search results

  1. K

    Mapendekezo Utaratibu wa vituo vya Mabasi kutoka Dar

    Kutokana na Kukua kwa Jiji la Dar. Ni muhimu kwa Serikali kufikiria namna ya kuwa na Stendi za kisasa za kwenda Mikoani katika Kila Manispaa ya Mkoa wa DSM. Kama tulivyo na Ofisi za Ki-Mkoa za DAWASA, JESHI LA POLISI, TANESCO, TRA nk. Ni wakati sasa kuwa na stendi ya Mikoani katika...
  2. K

    TCRA CCC Yatoa Ushauri kwa Watumiaji wa Huduma za mawasiliano

    Baraza la Ushauri la watumiaji wa Huduma za Mawasiliano latoa ushauri kwa watumiaji wa huduma za mawasiliano ikiwemo kutumia fursa zilizopo kwa manufaa ya kujiletea maendeleo
  3. K

    Idadi na Mgawanyiko wa Miradi ya Uwekezaji iliyosajiliwa mwaka 2018 Kimkoa

    Kituo cha uwekezaji Tz kwa mwaka 2018 Kiliweza kusajili miradi ya uwekezaji kama inavyoonekana kwenye Kiambatisho hiki
  4. K

    Hali halisi ya Umasikini Kimkoa Tanzania 2018

    Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Imetoa taarifa kama inavyoonekana Na chini ni TAKWIMU RASMI ZA HALI YA UCHUMI TANZANIA BARA 2012-2018 KWA UJUMLA: Kwa mujibu wa takwimu mpya za mwaka wa kizio wa 2015, Pato halisi la Taifa lilikua kwa asilimia 7.0 mwaka 2018 ikilinganishwa na ukuaji wa...
  5. K

    Manispaa ya Kinondoni nani anatoa vibali hivi?

    Kwanza kabisa naomba nieleze masikitiko yangu kwa yanayoendelea mtaa wa Kinondoni B nyuma ya open University. Kuna ibada zinaendelea tangu asubuhi leo ambapo wahusika wanatumia spika kubwa zenye kelele tangu asubuhi. Nilijua ni mhadhara wa kawaida utakaoisha walao saa 12 jioni kama kawaida...
  6. K

    Afisa afya Manispaa ya Moshi fanya Ukaguzi

    Ni rai yangu kwa Ofisi ya Afya Manispaa ya Moshi kufanya ziara ya kutembelea mgahawa/ baa maarufu iliyoko Bondeni garage eneo la CCM Jirani kanisa na mchungaji Lazaro. Ukifika hapo kunahali mbaya sana ya usafi kuanzia jikoni na chooni. Hakuna sababu kwa nn eneo kama lile bado linaendelea kutoa...
  7. K

    TANESCO Kilimanjaro mnakwamisha jitihada za kutunza mazingira

    Ni ukweli usiofichika kbsa TANESCO kilimanjaro hasa manispaa ya Moshi mnakatisha tamaa wadau wa mazingira. Kwa kipindi kufupi mmeharibu kabisa mazingira na mandhari ya mji wa Moshi. Mmekuwa mkikata miti hovyo kabisa....miti iliyopandwa miaka zaidi ya 20 iliyopita na miti mipya ndani ya manispaa...
  8. K

    Upotoshaji wa wazi kuhusu taarifa ya msajili kwa waraka wa KKKT

    Kwanza naomba nikiri Sijaona popote barua ya Msajili kwenda TEC kama tulivyoona wa kwenda KKKT. Hata kama kweli upo lkn najiuliza kwa nn wameruhusu ukavuja kwa kiasi kikubwa hvyo tofauti na huo tunaosikia wa TEC ambao hata Zitto nae kwenye andiko lake ameeleza kwa kusema kuwa Amesikia. Tukiacha...
  9. K

    Tofauti ya wazi ya waraka wa TEC na KKKT

    Binafsi nadhani ukiusoma waraka wa TEC na KKKT naona tofauti ya Kiuandishi na Mantiki. Waraka wa TEC ulijikita zaidi katika kipindi cha Kwaresma na Umuhimu wake kwa Wakristo hasa Wakatoliki. Sehemu kubwa ya waraka ulihusu wakatoliki na nini wafanye katika kipindi cha Kwaresma. Sehemu ikajikita...
  10. K

    TANESCO wilaya ya Hai acheni mazoea katika kazi

    Mh. Waziri wa Nishati tafadhali tupia macho TANESCO Wilaya ya Hai. Wanafanya kazi kwa mazoea na kila unapoenda kwa ajili ya huduma ni watu wa njoo kesho njoo kesho bila kujali wateja wanatoka mbali kwa ajili ya kufuata huduma. Pia lipo tatizo katika kupata huduma ya kuunganishiwa umeme na...
  11. K

    Ufafanuzi kuhusu kanisa Katoliki kutokuwafanyia maziko ya kikanisa baadhi ya waamini wake

    UFAFANUZI KUHUSU KANISA KATOLIKI KUTOKUWAFANYIA MAZIKO YA KIKANISA BAADHI YA WAAMINI WAKE: Jana mitandao ya kijamii nchini ilienea habari za kanisa kutokumzika tajiri mmoja kwa sababu alikufa katika hali ya "kinyumba" bila ndoa takatifu, na kwamba hakuwa mshiriki hai wa masuala ya kanisa...
  12. K

    Hapo Alipo Felchemi Mramba formed DG TANESCO

    Nakumbuka Saga la kupandisha umeme Tanesco na jinsi Muhongo alivyo mnanga mramba na taarifa yake na kupelekea kutumbuliwa kwa suala ambalo wizara lilijua. Leo ule msemo wa what goes around comes around unethibitika. Kikombe alichokinywea Mramba ndicho alichokinywea Muhongo leo
  13. K

    TRA Kilimanjaro kitengo cha leseni fanyieni kazi kero za watu

    Kwa kweli TRA Kitengo cha Leseni Kilimanjaro mnahitaji kujitathmini. Leo niliambiwa kuja kuchukua Leseni yangu baada ya leseni ya zamani kuisha na kutaka mpya ambayo nililipia siku 3 zilizopita. Ni huzuni sana leo nimetoka mbali na kutumia gharama kubwa hadi kufika Mkoani makao makuu hapa Moshi...
  14. K

    Kero katika kuhakiki TIN number TRA Kilimanjaro

    Zoezi la uhakiki wa TIN Number linaendelea mkoani Kilimanjaro na baadhi ya mikoa mingine kwa sasa. Kwa kweli zoezi hilo limekuwa ni usumbufu kwa wananchi kutokana na TRA kutojipanga vizuri. Ofisi za TRA kilimanjaro idadi ya wanaoendesha zoezi ni ndogo sana jambo linalosababisha foleni kubwa sana...
  15. K

    Wana Moshi na Arusha mmetisha

    Wadau yote tisa wana Moshi na Arusha na hasa Moshi mmetisha. Pamoja na Maneno meengi kwamba hawataenda nyumbani sikukuu hii hali ni tofauti kabisa na pengine Mwaka huu ndo mmetia fora. Raia ni wakutosha hatari kabisa na.mwaka huu wengi ni mambo ya private cars kuliko public. Maeneo mbalimbali...
  16. K

    Christmas holiday updates -Moshi, Kilimanjaro

    Mambo vipi wadau, Tukiwa katika msimu wa sikukuu ya xmas na mwaka mpya....popote ulipo bdani ya Kilimanjaro.....ikiwa umetoka maeneo mbalimbali ya nchi na nje ya nchi kwa ajili ya kuungana na familia na wazazi wetu. Tupeane updates ya yanayojiri maeneo mbalimbali kama vile Moshi town, Kibosho...
  17. K

    Kulinganisha usafi wa Njombe na Moshi au Iringa si sahihi

    Kwa maoni yangu nadhani kitendo cha kulinganisha hali ya usafi kwa Manispaa ya Moshi au Manispaa ya Iringa kwa kulinganisha na Mji mdogo kama Njombe si sawa. Nadhani Njombe inapaswa kushindana na Miji yenye ngazi ya miji kama Tunduma, Makambako, Hai, Himo, Korogwe N.K. Kuiweka katika kundi la...
  18. K

    Kwako mkurugenzi na Baraza la madiwani Manispaa ya Moshi

    Kwanza niwapongeze madiwani...Mkurugenzi na wengine wanaohusika kwa kazi kubwa mnayoifanya ya kuweka mtandao mkubwa wa lami katika Manispaa yetu. Kila unakopita sasa wakandarasi wako site wakikarabati barabara na kujenga zingine mpya...Kwa hakika tukienda hivi miaka mitano ijayo Manispaa ya...
  19. K

    Iundwe mamlaka ya kutathmini na kudhibiti gharama za hotel

    Kwa maoni yangu na hali ilivyo napendekeza iundwe mamlaka au chombo chochote kitakachopewa jukumu pamoja na mengine kutatmini ubora wa hoteli pamoja na kudbibiti bei hasa ya vyakula na malazi. Kwa wale ambao wanatumia sana hoteli hasa wawapo safarini kikazi au kwa shughuli zingine mtagundua...
  20. K

    Wachagga na Serikali ya Magufuli

    Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake... I feel dissapointed and seggregated...... Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila. very dissapointed
Back
Top Bottom