Search results

  1. Hajto

    Naombeni driver ya wifi

    Habari zenu mabibi na mabwana, naombeni msaada wenu wa driver ya wireless USB Adapter. Nipo dar, ofa yangu ni elfu tano
  2. Hajto

    kuhusu Utumishi

    Habari zenu mabibi na mabwana,kuna kitu sijakielewa naombeni ushauri wenu,leo nimeingia kwenye ajira portol,kuna nafasi niliomba nimekuta nimeitwa kwenye saili,tarehe ya maelezo kwa kada zote inasema usaili ni tarehe 19,ila chini kabisa kwenye majina wameandika usaili wa kwanza ni tarehe 14 sasa...
  3. Hajto

    Benki gani nzuri kubadili Dola kwenda Shilingi?

    Habari zenu mabibi na mabwana, naomba kuuliza ni bank gani nzuri naweza kubadili dollar 500 kuileta hela yetu ya kibongo, ile ya kubadilisha iwe 2400 na sio 2300.
  4. Hajto

    Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi

    Habari zenu mabibi na mabwana, naomba kuuliza, juzi tarehe 10 Juni, 2022 UTUMISHI wametangaza ajira Chuo cha Ushirika Moshi, Je, kwenye barua address unatumia ile ya wao UTUMISHI ama address ya Chuo cha Ushirika Moshi, maelezo ya lugha pale chini yamenichanganya Msaada wenu tafadhali
  5. Hajto

    Ajira bila kupitia Utumishi

    Habari zenu mabibi na mabwana,naomba kuuliza jamani eti ni shirika gani ama idara ya serikali gani inaajiri wenyewe bila ya kupitia utumishi
  6. Hajto

    Dirisha lenye kutumia vioo na gundi yake

    Habari zenu waungwana, napenda kujua na kufahamu, kuna madirisha yale wanayotumia sana maeneo ya vijijini yenye kuwa na baridi sana, napenda kujua gharama ya vioo vyake hua ni vidogo, mfano kioo cha cm 36 kwa 45 ndio vipo vingi na vingine vikubwa vyake vipo cm 98-33 napenda kujua gharama yake na...
  7. Hajto

    Hospitali za bima ya NSSF kwa hapa Dar

    Habari zenu ndugu zanguni watanzania, Napenda kuuliza mie nina kadi ya NSSF kwa ajili ya matibabu, wife ni mjamzito sasa je napenda kuuliza ni hospital gani nzuri kwa hapa Dar kwa ajili ya uzazi kwa kadi za NSSF.
  8. Hajto

    Feni aina ya Evernal

    Habari zenu mabibi na mabwana, naomba kuuliza nahitaji feni aina ya Evernal, je nitapata wapi na napenda kujua bei yake je ni kiasi gani!
  9. Hajto

    Nahitaji kontena la futi 20

    Habari zenu waungwana, nahitaji kontena la futi 20, bajeti yangu milioni 2.......Likipatikana leo itapendeza zaidi
  10. Hajto

    Nahitaji kuweka meno bandia

    Habari zenu mabibi na mabwana, Meno yangu ya chini yameoza yaani chini ya meno yanakama ukungu,sasa naona yananiletea show mbaya wakati wa kuongea na kucheka, nataka kuweza ya bandia, je ni hospital ama clinic gani nzuri na bei zao ziwe chini. Naombeni msaada wenu.
  11. Hajto

    Usafiri wa mabasi ya Moshi kutokea Dar

    Habari zenu mabibi na mabwana, Naombeni kuuliza usafiri wa kutokea Dar ni basi lipi zuri na kujua nauli zao ni kiasi gani lile la hali kati ama ambalo linaenda na unafuu wa tozo,Basi linaloanzia Shekilango ama Mbezi napo nijue,
  12. Hajto

    Usomaji mita za maji dawasa

    Habari zenu jamani ,napenda kuuliza izi ajira za usomaji wa mita za maji dawasa jinsi ya uombaji wake na upatikanaji wake wa ajira ukoje.......
  13. Hajto

    Naomba ushauri kuhusu ramani hii

    Ramani hii kwa kiwanja chenye ukubwa wa urefu 15 na upana 11,je inaweza kufiti na pia kipi niongeze ama kipi nipunguze. Maoni yenu muhimu kwenye ili swala.
  14. Hajto

    Ajira za Dawasco

    Habari zenu mabibi na mabwana, Naomba kuuliza nimeona sehemu nyingi kuna branch mpya za idara ya maji Dawasco na soon kufunguliwa, ningependa kujua juu ya taratibu zao juu ya upatikanaji wa ajira ni Dawasco
  15. Hajto

    Natafuta ofisi ya kutengeneza kadi za mchango wa harusi Dar

    Habari zenu waungwana, Nataka kutengenezewa kadi za kuomba mchango wa harusi. Je, ni wapi naweza kupata kwa bei rahisi? Nipo Dar
  16. Hajto

    Ofisi za Redcross

    Habari zenu mabibi na mabwana,napenda kujua na kufahamu zilipo ofisi za Redcross kwa hapa Dar ama kama kutakuwa na staff wa redcross humu ndani kuna kitu nataka nimuulize
  17. Hajto

    Game za magari

    Habari zenu wadau,nina simu aina ya smartphone hua kila nikitaka kudownload play store game za magari ikishamaliza mwisho inaniletea maneno haya,Open the app na sehemu nyingine ni Scan for virus naombeni ushauri wenu je hapo niminye wapi na je izo game zitakuwa salama kwa wadudu simu yangu,
  18. Hajto

    Msaada: Laptop aina ya Acer inakuwa hivi ikiwashwa

    Habari zenu wana It,kuna laptop aina ya Acer,nimeiwasha inaonyesha ivyo......Je nifanyaje Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
  19. Hajto

    Game za playstore

    Habari zenu waungwana,nilikuwa nataka kudownload game za magari kwenye playstore lakini nikishamaliza kudownload mwisho inaniletea vitu ivyo niscan app pembeni yake inaniambia open the app halafu pembeni yake inaniambia scan for virus je zipo salama izo app,picha yake ipo chini hapa
  20. Hajto

    Nimepoteza kadi mbili ndani ya daladala za Mbezi/Makabe

    Habari zenu mabibi na mabwana, juzi Jumapili nikiwa maeneo ya Mbezi nikielekea Makabe nikadondosha kadi zangu mbili ya bank na leseni ya udereva. Msaada ninaoomba kwa mtu anayemjua dereva ama konda kwa ruti ya Mbezi/Makabe anipatie niwasiliane nae aniangalizie huenda wakawa wameziona hizo...
Back
Top Bottom