HONDA XR600 INAUZWA!(ARUSHA!)
pikipiki iko kwenye hali nzuri kweli.
Imetembea km 25.000 km tu tangu mpya yake 1993.zaidi ya miaka kumi ilikaa bila kutumia. Kila wakati ilifanya service sawa sawa na sasa hivi sprocket zote na mnyororo aina ya o-ringchain ni mpya, vile vile tairi ya nyuma ni mpya...
Nataka kujua kama kwa mfano gari imekufa miaka kama mitatu kwa sababu spare ni ngumu kupata au nguvu ya kufufua gari hili ni ndogo :
je,ni lazima kulipia ushuru ya road license (hata kama hutembe barabarani!)
au namna gani unaweza kukwepa kulipia road license kama unaweza kufanya na bima.
Na...
Nashida na gari aina ya landcruiser hzj 75/78/79 hardtop/pick-up kwenye hali nzuri tafadhali, (sitaki mkebe au ambayo imepiga tindo), tafadhali niandikia email ( bei + picha) yake. Asante
watanzania wataweza kweli kununua tena sehemu ya kujenga nyumba yao.... kama vijana wanasoma kitu kama hiki wanakata tamaa, au vipi... kama kweli bei hii ni ya kihalali na ukweli, mimi naona nafuu kwenda Ulaya/Marekani na kununua sehemu kule kule, kwa 1mil/.USD (760.000 Euro) unapata eneo kubwa...
Nani anamjua mtu ambayo anasafirisha container karibuni kutoka Ulaya?? nahitaji nafasi ya 1m3 tu kwa jili ya kuweka spare moja tu ya gari. Haina uzito lolote, ni volume tu, gharama italipwa. Asante
Nani anamjua mtu ambayo anasafirisha container kutoka Ulaya karibuni na amebaki na nafasi kidogo, nahitaji 1m3 tu kwa jili ya kuweka spare moja tu ya gari??haina uzito lolote, ni ukubwa (volume) tu. Gharama nitalipa
Ni kweli, ghrama ya pasipoti imepanda kutokana na budget mpya ya june 2009??Formu ya kwanza ilikuwa 10.000tsh na wakati kupata ilibaki kama 40.000tsh. hii ndiyo iliviyo mimi nilijua lakini sasa kuna mtu kutoka Uhamiaji anasema bei imepanda?? ni kweli??
Naomba jibu haraka, asante,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.