Search results

  1. J

    Wahitimu wa Open University tunadharaulika bila sababu, kwanini?

    Nlimaliza udom thoz yearz, nimemaliza program ingine open universty recently, mziki wa open usipime, Nlidhan open ni lelemamaa hakika sio, nlichokisomea hakijadharaulika na kimeniinua kiasi, mentality ya kudharau OUT ipo cha muhim ni kutambua malengo yako na kuyasimamia.
  2. J

    Kanizalisha, ananibana kufanya mambo yangu na hana mpango wa kunioa, Nifanyaje?

    Asante kwa post yenye akili. Ukiwa mgeni unaweza kudhani wana Jf wote mambo safi kila mmoja anajirate so highly. Ujumbe murua kwa wana drama wote popote walipo.
  3. J

    Rungu la Magufuli latua Halmashauri ya Hai, 11 wasimamishwa kazi kwa ubadhirifu wa zaidi ya 512ml

    Hahaaaaa, walim wako walipata tabu sana, sasa huelewi nini? Wewe unajua kwamba 2010-2015 Hai dc ilikuwa inaongozwa na chadema au unahisi? Au unahemuka? By da way nani amekwambia chadema kuna malaika? Mpaka leo hata ofisi hatuna hilo hushangai? Wabunge wote chadema ni effective? Tumia reasoning...
  4. J

    Rungu la Magufuli latua Halmashauri ya Hai, 11 wasimamishwa kazi kwa ubadhirifu wa zaidi ya 512ml

    Weka majina mradi usiwe unamchafua mtu, mimi nimeshaweka.
  5. J

    Rungu la Magufuli latua Halmashauri ya Hai, 11 wasimamishwa kazi kwa ubadhirifu wa zaidi ya 512ml

    Sure, katika hawa watumishi hakuna hata mkuu wa idara, iweje hivi vidagaa vitolewe kafara wakubwa waachwe? Bado kuna majipu katika hizi halmshauri zetu kote nchini
  6. J

    Rungu la Magufuli latua Halmashauri ya Hai, 11 wasimamishwa kazi kwa ubadhirifu wa zaidi ya 512ml

    Maafisa utumishi waliokula pesa za watumishi ni Faraja Ndatu na Bayege. Hawa walishasimamishwa kazi pamoja na mhasibu walichukua mkopo CRBD kwa majina ya watumishi hewa na pia walikula pesa zote zilizotengwa kwa ajili ya watumishi wa afya hospitali ya machame, wameongeza upekuzi wamebaini...
  7. J

    Makala: Buriani Komredi Mawazo, Mpe Hongera Zangu Ken Saro-Wiwa

    R i p kamanda mawazo, unaoza wewe ili wengine wachipue, # ua a hero #
  8. J

    Swali la Kimantiki: CCM wamuue Alphonce Mawazo kwa sababu zipi hasa?

    Mbwambo mwenyekiti wa chadema kata ya usa river alikuwa threat kwa nani hadi kuchinjwa kama ng'ombe uchaguzi mdogo uliomleta Nassary bungeni? Kama Alphonce alikuwa mgomvi alistahili kuuawa? Ua so stupid!
  9. J

    Zoezi lililofanyika Machame Hospital, lifanywe halmashauri zote nchini

    Angalau serikali inawajibika, maafisa utumishi wa h/m ya HAI ndugu BAYEGE na NDATU kwa kushirikiana na idara ya fedha wameumiza sana watumishi wa afya, elimu na idara zingine. Nadhani kuwasimamisha kazi tuu haitoshi, waondolewe na wafikishwe mahakamani, ninaweza kusaidia TAKUKURU juu ya kesi za...
  10. J

    Zoezi lililofanyika Machame Hospital, lifanywe halmashauri zote nchini

    Mkuu sir luta mbona hujaweka hii habari kwa ukamilifu wake? Irekebishe tafadhali, binafsi nimeiona kwenye taarifa ya habari saa tano usiku huu.
  11. J

    If no dirty tricks, what is wrong with independent tallying for verification?

    Ua a genious brother, great analysis, Tanzania ina watu wanaoweza ku read btn the lines, siku nyingine usiumbue wanafeki kiasi hiki, MSAFARA WA MAMBA...!
  12. J

    If no dirty tricks, what is wrong with independent tallying for verification?

    Huna unachokisimamia, upuuzwe tu, leo hili kesho lile
  13. J

    Elections 2015 If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

    Watu wenye ufahamu ndio wapotoshaji wakubwa, mmekosa uzalendo badala yake mmetanguliza ubinafsi mbele, ulichokisimamia jana leo hukitaki, unachokisema leo baadae unakikana alimradi maslahi yenu yafanikiwe, aibu sanaaa!
  14. J

    Waarabu wabaya sana, CUF na Wazenji wanataka kurudisha waarabu

    Too general, too vague, onyeshen msimamo kma kina mzee moyo, tatizo mna viongozi wengi wanafeki kama huku bara, Mimi niko bara sio muislam na ninawaunga mkono, ziko familia chache tu zinaongoza tz bara na zingine chache visiwani, utawala huu hauturidhishi bara wala visiwani, so kuunganisha...
  15. J

    Waarabu wabaya sana, CUF na Wazenji wanataka kurudisha waarabu

    Muache udini, haki ni kuwa nchi unaweza kushirikiana na nchi nyingine sembuse Zanzibar yenye historia kongwe na wa Oman ambao wengine ni ndugu zao wa damu, Hongeren Wazanzibari kwa kuamua kwa amani kupitia sanduku la kura, ni muda tu unasubiriwa Rais aliyechaguliwa aweze kutangazwa na kuapishwa
  16. J

    CHADEMA msichezee amani ya Tanzania, angalieni sababu za nyie kushindwa

    Kajipange tena hizi porojo haziwezi kusaidia chochote wakati huu, hai halisi ianjulikana, ama vpi futeni vyama vingi mbaki wenyewe
  17. J

    Hivi DC Makonda anajisikiaje kupoteza majimbo yote wilayani kwake?

    Hasira za wananchi dhidi ya matusi kwa wazee ndio hapo alipkifikisha chama, waliomtunuku hii zawadi wajitafakari pia
Back
Top Bottom