Search results

  1. M

    Nina hati kama dhamana, nahitaji pesa

    Waungwana wanajf. Naombeni msaada wa mawazo, nahitaji pesa za Tsh. 10m nizitumbukize katika mzunguko wangu wa biashara. Dhamana niliyonayo ni kiwanja cha kupimwa(Medium Density 1450sq. meters kiko Kigamboni kwa hati tulizopewa na serikali. Ni jinsi gani naweza kupata hiyo pesa kwa taasisi za...
  2. M

    Jihadharini na mabasi ya Falcon

    Wana JF, Nilikuwa nackia kuhusu huduma mbovu na uharibikaji mara kwa mara mabasi ya Falcon. Leo nimeshudia gari imetoka Ubungo saa 12.20 asubuhi na kuingia Mby saa sita na nusu usiku huu badala ya saa 11 jioni. Tukiwa njiani imesimama mara tano kwa ajili ya matengenezo na mara kwa mara niliskia...
  3. M

    IGP Mwema tusaidie, update ya intelligencia

    Kwa kweli ndugu yetu IGP Mwema, ulitusaidia sana juu ya kupata habari za kiinteligencia ambapo kwa kuruhusu maandamano hali ingekuwa mbaya zaidi kuliko umwagaji damu uliotokea hapa Arusha. Kwa kutumia hiyo hiyo intelligencia, je kuna usalama mama huyo Marry Chatanda kuendelea kuwepo hapo Arusha.
  4. M

    Katiba mpya, Bravo Startv

    Wana Jf, nimekuwa nafuatilia michango mbalimbali juu ya katiba mpya. Ili kuleta uelewa kwa kada mbali mbali binafsi nimeridhika na kituo cha Startv kwani wameona umuhimu kwa kuandaa kipindi kila wiki kuwahusisha wachambuzi mbalimbali. Hii ni njia muafaka ya kuwaelimisha Watz na ningeomba vyombo...
  5. M

    Nani mtetezi wa wakulima na wafanyakazi

    Katka mfumo wa chama kimoja and backwards wakulima na wafanyakazi ni makundi makubwa yaliyotetewa na chama tawala. Kwenye bendera ya ccm kuna jembe na nyundo ikiwa ni alama ya jembe kwa mkulima na nyundo kwa mfanyakazi. Kundi la wafanyabiashara halikuwepo na kama lilikuwepo basi kalikuwa...
  6. M

    Mmiliki Palm Beach adai kumiliki kihalali eneo lake

    Mmiliki wa eneo linalodaiwa kuwa la wazi Palm Beach, amekanusha kuvamia eneo hilo. Mmiliki huyo, Taher Muccadam, amesema anamiliki kiwanja hicho kihalali kwa mujibu wa taratibu za kisheria. Muccadam aliwaambia waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam kuwa Mahakama Kuu, Kitengo cha Ardhi...
  7. M

    Elections 2010 Matokeo Mbeya Vijijini

    Jamani, mwenye matokeo ya Mbeya Vijiji tujulisheni.:llama:
Back
Top Bottom