Search results

  1. Kidege

    Jibu gani zuri lingemfaa huyu dada

    kwa hiyo liljustine21 anaitwa Felix Justine!
  2. Kidege

    Matiti kuuma

    Weka picha...
  3. Kidege

    Hon, Dr, Prof. JAKAYA MRISHO KIKWETE

    Sioni sababu ya kutumia hizo initials zote. Ndugu inatosha kabisa.
  4. Kidege

    Bila kushikwa mkono sahau kupata kazi sehemu hizi!!!!

    nayasema haya kwa kuwa najua ninachokisema. kama uko vizuri kwenye kazi unayoomba unapata bila kumjua mtu. wapo watu wamepata tra na tanesco bila kumjua mtu.
  5. Kidege

    Bila kushikwa mkono sahau kupata kazi sehemu hizi!!!!

    siyo kweli. huko ni kukata tamaa bila sababu ya msingi. wengi wamepata bila kumjua mtu.
  6. Kidege

    Nataka kugombea u-miss

    Weka picha yako tukuone kama una vigezo
  7. Kidege

    Miezi minne toka afunge ndoa, baba mkwe kaja kuishi nae

    1. Apange chumba kingine 2. Atafute mfanyakazi Wa kumsaidia mkewe. 3. Maisha yaendelee
  8. Kidege

    Mafuriko makubwa yaikumba Dar es Salaam

    Kweli shikamoo mafuriko ...
  9. Kidege

    Sakata la ESCROW ni pigo kwa Lowassa

    Ndugu Jakaya Kikwete bado ameiweka escrow kiporo.
  10. Kidege

    iphone 5 au 5s inahitajika haraka

    Hautaweza kununua. Nakushauri under apple store uchukue mpya kabisa. Ili kuondoa lawama ya bei.
  11. Kidege

    Michepuko

    Namba mbili ni shida sana.
  12. Kidege

    Mke wa jirani yangu

    Ukumdetela umyago
  13. Kidege

    Siku nne tu!

    Huyu ana reseat mtihani wa form four. Hiyo hela anayosema ndiyo ada ya kurudia mtihani wa form four. Sema inaonekana kijana mwenyewe ni bishoo ndo maana hataki kusema openly
  14. Kidege

    Kuanzisha kituo cha redio

    Tembelea mamlaka ya mawasiliano - TCRA. utapata ufafanuzi wa issue zote zinazohusiana na FM radios. Kama upo mikoani tafuta ofisi zao za kanda watakusaidia.
  15. Kidege

    Njia mpya ya kudhibiti kutokwa na machozi wakati wa kukata vitunguu, waionaje hii? Ahahahahaha

    Imekaa vyema. Sasa kama sina piki piki nitapata wapi kofia hii mkuu.
  16. Kidege

    Namna ya kumkamata mwanaume!!

    Ushauri mzuri. Let the ladies learn!
  17. Kidege

    Say no to Precission

    Nimependa msemo wa kwamba "PW=Please wait"
Back
Top Bottom