Unapata Mshahara 3 M Kwa Mwezi, tena ukiwa homeLand..!
Sasa Kwenda Marekani Kufanya Nini tena? Au nimesikia Vibaya?
Chance Yako ya Kupata mtaji kupitia huo Mshahara ni Kubwa na Kuanzisha biashara saizi ya Kati au Kubwa unayo.
Hapa kunahitajika Ukombozi Wa Fikra tu...!
Asikudanganye mtu,hata...
Tena kitendo hicho Sio tu Ukosefu Wa Uzalendo Bali ni Ufujaji Mkubwa Wa Kodi za Wananchi ikiwemo Kodi Yangu...!
Na tunao Vijana Wengi Wengi tu ambao hiyo nafasi Wanaitaka... !
Huyo kashajiona Star,Wa Nini Kumng'ang'ania..? Apigwe Chini tu next time.
Naunga mkono hoja!
Wewe Achana na Mambo ya South....! Kula ugali wako ushibe
We Maradona Kashawai kuifunga England goli La mkono....!
Mpaka Leo Matokea hayajabadilika itakuwa kutolewa Yanga....ndo ishatoka iyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.