Search results

  1. E

    Mpango wa kilimo cha matikiti maji ekari 3 May-July 2017

    Nawaletea mpango mkakati huu ili tupambane na umasikini.
  2. E

    Sadaka maisha plus

    Jana nilikuwa naangalia matukio katika kijiji cha Mama Shujaa wa Chakula pale Maisha Plus, kwa maana ya matukio yaliyojiri siku ya J'2. Nikaona ya kwamba ilikuwa ni siku ya Ibada kwa Wakristo na nikaona kuna Misa kama Mbili (2) tofauti zilifanyika. Nataka kujua SADAKA zao wale Wamama...
  3. E

    Wanalea nini

    Labda kama sijui vizuri naomba leo Wana JF mnijuze vyema. Utawasikia Njiani, Sokoni, Makazini oooh nalea mie au watoto wangu nimewalea vizuri kweli, wakati ukweli ni kwamba wao na Waume wanaondoka nyumbani saa 11 Alfajiri na kurudi saa 1 hadi 3 Usiku. Sasa najiuliza kulea ni kulala na Mtoto...
  4. E

    Honeymoon

    Nataka kujua SIFA za watoto wote wa kiume na kike ambao mimba zao zinatungwa wakati wazazi wao wakiwa kwenye Fungate la NDOA yaani (HONEYMOON), nipo kwenye ka UTAFITI kidogo nadhani Machi 2012 nitaleta matokeo hapa bila kuchakachua kitu. Nawasilisha.
  5. E

    Wanawake na uvaaji pete

    Kwenye maisha lazima utahitaji kuvijua vitu fulani kwa undani (Udadisi) ili kupunguza mawazo juu ya hicho kitu na kukielewa vizuri, Leo naomba kufahamu juu ya uvaaji wa pete mbili kwa akina mama (ya Uchumba na ya Ndoa). Naona wote wanaanza kuvaa ya Ndoa halafu ya uchumba inafuatia, wakati...
  6. E

    SUMATRA vs nauli za jijini

    Napenda kujua wadau hivi hizi nauli za hapa jijini ni nani hasa msimamizi, Labda ndio wanasimamia barabara kuu tu siye wa pembezoni mmmhhh. MFANO Nauli za Banana kuelekea Mwanagati, Kibeberu, Kinyantira, Kivule nauli ni 400/= badala ya nauli halali ya SUMATRA ambayo ni 300, ukiwapigia simu...
  7. E

    Mshenga kazua balaa

    Najiandaa kuoa, hivyo nikawajibika kutafuta mshenga, Nikafanikiwa kumpata Mzee mmoja wa miaka 80 hivi lakini alifiwa na Mke miaka 16 nyuma. nikiamini kwa umri wake na busara zake nikaona nimekula dume kumbe wapi, UTATA UKAJA Mara akaanza kujenga na mazoea na Mama Mkwe wangu (Mjane) kwa...
  8. E

    Marehemu

    Baba yangu alifariki mwaka jana mwezi wa saba, katika harakati za kufuatilia mali zake tukakuta kumbe nyumba moja imeshauzwa kwa Mpangaji anaekaa humo ndani kitambo tu. baada ya kupekua nyaraka za marehemu hatukukuta hata chembe ya "document" kuonyesha kuwa imeuzwa, Lakini katika zile hati za...
  9. E

    Marehemu

    Baba yangu alifariki mwaka jana mwezi wa saba, katika harakati za kufuatilia mali zake tukakuta kumbe nyumba moja imeshauzwa kwa Mpangaji anaekaa humo ndani kitambo tu. baada ya kupekua nyaraka za marehemu hatukukuta hata chembe ya "document" kuonyesha kuwa imeuzwa, Lakini katika zile hati za...
  10. E

    Hii imekaaje?

    Una kidemu chako kitaa, ambacho umedumu nacho kwa miaka kama miwili hivi ghafla siku moja unakutana na Bro wake mara anakuambia kaka nashukuru kwa kuwa unammega Dadaangu, hongera kaka kwa hilo. Ila tu naomba umlinde, kama ni wewe utajisikiaje?
  11. E

    Tangazo gazetini

    Hivi ingekuwaje? wanaJF kama kila tukiachana tunaenda Gazetini kuweka tangazo la rangi na ukurasa wa mbele kama hivi. TANGAZO Kuanzia leo tarehe.................., mimi ...................... natangazia umma rasmi ya kwamba uhusiano wangu na...
  12. E

    Kukiri kungonoka

    Ndugu WanaJF nina nipo kwenye uhusiano na Mpenzi wangu kwa muda wa miaka 2 sasa, nampenda naye ananipenda lakini kwenye mwezi wa nane (8) mwaka nikasex na mtu mwingine mara moja TU. kumbe katika kipindi chote hicho huyo mpenzi wangu alikuwa akichunguza mienendo na mawasiliano kati yangu na huyo...
  13. E

    MASIKITIKO vs BIKIRA

    Nashuka basi stend hapo Mlandizi, nakutana na jamaa yangu kachafuka ile mbaya. namuuliza nini tatizo anasikitika tu huku akisema kwa huzuni "demu wangu katolewa bikira hapo zahanati muda si mrefu rafiki" Akaanza kunipa mkasa vizuri. anadai alikutana na huyu demu akamwimbisha ikawa Ok, kisha...
  14. E

    Nahitaji vidonge vya kuongeza ashki

    Jamani wana JF naomba mnisaidie kwani mwaka wa 10 sasa sina hamu na watu wa jinsia nyingine (wanawake). Niliachana nao rasmi tangia muda huo kwani kila nikiwavutia room nakosa kabisa hata hamu ya kuwanyonya wala kutomasana. Kwa ujumla nakosa ASHIKI kabisa. Naleta mada hii kweni kwa kuwa...
  15. E

    Haya malezi au vipi?

    Natoka kwa Job naelekea zangu home nafika nyumba moja kabla ya kufika kwangu (kwa jirani). Nakuta Mke wa jirani anafua nguo za watoto wake watatu (3) wote wa kiume huku wakiwa wamemzunguka mmoja ana miaka kama 9, wa pili miaka kama 7, na wa mwisho ana miaka kama 4. katika hali ya kushangaza...
  16. E

    Ukweli kuhusu mwanamke ni upi?

    Wana JF Hivi mwanamke kaumbwa kutokana na Udongo au Ubavu wa Mumewe? kama ni Udongo mbona hawana utii kama ule waliopewa viumbe viumbavyo kwa udongo, na kama ni Ubavu wa Mume mbona hawana subira wala utii kwa waume (mbavu) wao.
  17. E

    Kwa wapendanao na marafiki.

    kwa bahati nzuri au mbaya nimefanikiwa kuyanasa mazungumzo fulani kati ya watu wawili wapendanao GF: kwanini uniambie, kata kwanza simu kuna mtu ananipigia BF: alikuwa ni bosi wangu anataka taarifa za ofisi GF: kwani hamkuonana ofisini BF: nilikuwa field mchana kutwa wakati narudi ofisini...
  18. E

    Hii inamaanisha wanaume ni wangonokaji

    Kwanza kabisa sifa moja kuu ya msomaji habari ni pamoja kuwa na uwezo wa kuichambua na kuielewa habari husika Basi ndugu zangu wa JF siku ya jana nilipata bahati ya kupitia habari moja kutoka gazeti moja la michezo la kiswahili litokalo mara mbili kwa juma yenye kichwa cha habari kisemacho...
  19. E

    Miaka 48 ya Uhuru na matatizo yetu

    Its 48 years of Independence. Unfortunately most of youths are not free in their mind! We nowdays thinkof harversting without raising crops "MAFISADI" Let's unleash our thoughtsand make "UNLIMITED THINKING" Dont think of good life....think of how to legally get it!. Dont think of...
  20. E

    Mapenzi na mwaka 2009

    Mwaka ndio huo tena unaishia JE? MAPENZI yamekufanyia nini? 1. Umehonga shilling ngapi? 2. Kiasi gani umelipa GESTI 3. Umetumia kiasi gani ukikodi au kumkodia mtu TAXI kwa ajili ya MAPENZI 4. Umetumia kiasi gani kununua VOCHA umpigie na wakati mwingine kumtumia. 5. Kiasi gani umetumia kumtoa...
Back
Top Bottom