kwa sie wataalamu wa "food science" hakuna chakula chochote cha kiwandani kilicho salama kabisa. kwa mfano soda zote zina SORBATES sumu ya pili kwa kuua duniani baada ya CYANIDE.
Acha UVIVU katika kufikiri, nchi hii HAKUNA SERA ya kilimo kwanza bali tuna kilimo kwanza INITIATIVES ambazo ziko chini ya BARAZA la biashara Tanzania. kwa hiyo wana uwezo wa kuomba fedha popote wanapoona panafaa kukamilisha andiko lao.
Acha uongo bana, foleni kwa uzoefu wangu katika njia hii ni kitu ya kawaida kwa siku ya Jumamosi hususani kuanzia mida ya saa nne (4) asubuhi, hata hivyo lori lenyewe halikukaa zaidi ya saa moja. Magari yote yalikuwa yanapita vizuri tu kasoro yale yatokayo Gongolamboto kuelekea Buguruni. Trafiki...
unanikumbusha RUVU SEC SCHOOL 2000, Mkuu nami nakuja kwa UDIWANI kata ya RUVU STATION nakuahidi ushirikiano lkn tatizo la wazaramo kule ni njaa na fikra MGANDO. Mtafute na Mselewa kwa kata ya VISIGA.
Jana nilikuwa naangalia matukio katika kijiji cha Mama Shujaa wa Chakula pale Maisha Plus, kwa maana ya matukio yaliyojiri siku ya J'2. Nikaona ya kwamba ilikuwa ni siku ya Ibada kwa Wakristo na nikaona kuna Misa kama Mbili (2) tofauti zilifanyika.
Nataka kujua SADAKA zao wale Wamama...
Labda kama sijui vizuri naomba leo Wana JF mnijuze vyema.
Utawasikia Njiani, Sokoni, Makazini oooh nalea mie au watoto wangu nimewalea vizuri kweli, wakati ukweli ni kwamba wao na Waume wanaondoka nyumbani saa 11 Alfajiri na kurudi saa 1 hadi 3 Usiku.
Sasa najiuliza kulea ni kulala na Mtoto...
Acha uongo Stand ya Mzenga hakuna uwanja labda kama watakaa kwenye Barabara na Chini ya Umeme Mkubwa wa Tanesco ambao wenye umeme wao wanakataza. Hata hivyo nawaomba watu wa Kikongo, Mwanabwito, Ngeta, Lupunga, Kidau, Disunyara, Ruvu Station, Kitomondo pamoja na Kwala wajitokeza kwa wingi.
Acheni UPUUZI wenu, Mnaelekea kwenye malipo ya TV zenu hamsemi, hili la maji mnapiga kelele: kumbuka kulipia maji ni lazima. Soma sheria ya matumizi ya maji ya Mwaaka 2002. Na sio hao hata wale wanaomwagia MCHICHA kule msimbazi nao wanatakiwa kulipa ila tu kwa sababu ya ubutu wa sheria zetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.