Search results

  1. CaptainDunga

    Jamani hii kitu vipi

    Kitambulisho cha "KULA".........Jichanganye uone
  2. CaptainDunga

    Njiapanda: Mtoto wa mke wangu niliyemlea tangu ana miaka 2 ameenda kutoa mahari bila kunishirikisha

    Shituka wewe…….. Mkeo itakuwa karudiana na mzazi mwenzie kapime DNA hao watoto 6.
  3. CaptainDunga

    Tiketi za simba zinauzwa buku mbili?

    Una hakika ni tiketi za Mnyama kweli?
  4. CaptainDunga

    Vyuo Vikuu Ukraine haviridhishi kitaaluma

    Kwa hiyo umeamua umuue mazima?
  5. CaptainDunga

    Maswali kuhusu Xiaomi

    Hahahahaha pamoja umeagiza Ulaya lakini bado mashaka kibao[emoji38][emoji38][emoji38]
  6. CaptainDunga

    Huu ujumbe WhatsApp humaanisha nini?

    Una vijibu vyenye karaha ndani yake akiishakuambia jinsia yake nn kitafuata?
  7. CaptainDunga

    Kibonzo; mama amejiandaa hataki utani

    Kuzibuliwa [emoji38][emoji38][emoji38]
  8. CaptainDunga

    Ummy Mwalimu awatumbua Mkurugenzi wa Temeke (Mwakabibi) na Mkurugenzi wa Sumbawanga (Msemakweli)

    Kichwa cha habari Mwakibinga……… barua Mwakabibi ni mtu mmoja huyo?
  9. CaptainDunga

    Niambieni ni mtandao gani wa gharama nafuu kwa sasa, hii ya tigo kwasasa ni zaidi ya ukibaka.

    Ukiishaona hivyo basi jua muda si mrefu ma kampuni yote yatapandisha bei za vifurushi.
  10. CaptainDunga

    Mtandao wa chanjo ya Corona ya Pfizer na BioNTech wadukuliwa

    Hihihihi wabongo bhana. Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
  11. CaptainDunga

    Hivi Halotel mna shida gani?

    Kama kutopatikana sehemu na sehemu unaita ni udhaifu basi mitandao yote ni dhaifu maana mitandao uliyoisifia kuna baadhi ya sehemu nako haipatikani mkuu mfano hao TTCL. Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
  12. CaptainDunga

    Hivi Halotel mna shida gani?

    Una walaumu bure kwani network imeisharudi sawa sawa? Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
  13. CaptainDunga

    Je, madereva wa gari za Frester wanatukomoa Wateja?

    Hamna magari humo….. Ukiyapa route ya 1000km yatatembea week nzima.
  14. CaptainDunga

    Je, madereva wa gari za Frester wanatukomoa Wateja?

    Acha utani wewe 241Km kwa masaa 6-7 hata Bajaj inaweza fika chini ya masaa hayo
  15. CaptainDunga

    Ni aina gani ya meseji ambazo mtu akisoma inafutika?

    Telegram Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom