Search results

  1. G

    Waafrika tuna matatizo gani?

    Jacob Zuma kahudumu kama rais wa Afrika kusini zaidi ya miaka 8, leo akiwa na umri wa miaka 81 anataka tena kugombea ubunge. Ni kitu gani anaweza kuifanyia nchi yake akiwa mbunge, ambacho asingeweza kukifanya alipokuwa rais?
  2. G

    Kwanini Dialysis Zanzibar ni bure na Tanzania bara 180,000 kwa siku

    Tanzania na Zanzibar ni nchi mbili tofauti? ======= Mdau anahoji kwanini wagonjwa wa figo wanafanyiwa kwa gharama ya Tshs 180,000 kwa siku Tanzania bara ilhali Zanzibar ni bure. Amesema wapo wanaotakiwa kufanyiwa dialysis mara mbili au tatu kwa siku. Mdao ameomba majibu kwa waziri wa afya.
  3. G

    CCM mnatekeleza ilani ipi?

    2020 ballot paper ilikuwa na picha ya Magufuli na mgombea mwenza Samia. Baada ya March 2021, inaonekana kila alilofanya Magufuli lilikuwa baya. Ni ilani ipi mnayotekeleza? Au chama kina ilani zaidi ya moja!
  4. G

    Haya malipo nje ya mfumo wa gepg yanakwenda kwenye mfuko gani?

    Polisi wa usalama barabarani wanatuuzia sticker za wiki ya usalama barabarani kwa sh 5,000. Kwa idadi ya magari nchini, pesa inayokusanywa ni nyingi, kwanini pesa hiyo isilipwe kwa mfumo wa malipo ya serikali? Pesa hii inakwenda kwenye mfuko gani? Lest it be a scam.
  5. G

    TCRA angalieni Airtel wanavyowaibia wateja

    Leo nimepiga simu airtel huduma kwa wateja kupitia namba 100 kama wenyewe wanavyoelekeza. Ajabu hadi dakika 10 zinakwisha, sijaunganishwa na mtoa huduma, napewa tu maelekezo, bonyeza 1, mara bonyeza 6. Baada ya maelekezo hayo, napata sms kuwa nimetumia dakika 10, na kweli dakika 10 hizo...
  6. G

    Mwenyekiti wa kwanza/muasisi wa CHADEMA ana mamlaka gani kikatiba kwenye chama?

    April 2014 kwenye bunge la katiba, Tundu Lissu alitoa mashambulizi makali sana kwa baba wa taifa Mwl Nyerere. Moja ya mashambulizi hayo ni madai kuwa mwalimu alizoea vya kunyonga, hivyo asingeviweza vya kuchinja. Mashambulizi hayo yaliwaudhi baadhi ya watanzania, akiwemo mzee Mtei aliyelazimika...
  7. G

    Kitabu gani hiki tunachohimizwa kukisoma?

    Msikilize huyo mama!
  8. G

    Kwanini Ikulu hawapokei simu zinazopigwa kwenye line walizotuwekea?

    Kwenye tovuti ya Ikulu zimewekwa namba za simu unazoweza kutumia kuwapigia simu. Ukipiga kupitia namba hizo simu inaita pasipo kupokelewa, tatizo ni nini? Simu zinapokelewa Ikulu ya Marekani, hata taasisi kongwe na tajiri kuliko taasisi nyingine yoyote duniani, wenye makao yao makuu Vatican...
  9. G

    Kuna nini kati ya hazina na VODACOM?

    Juzi nimekwenda TRA kulipia vehicle license, nikapewa utaratibu mpya wa kulipia kwa MPesa. Mashine tunazolazimishwa kutumia kutolea risiti za mauzo zimeunganishwa kwenye mtandao wa VODACOM. VODACOM ndio mawakala rasmi wa kukusanya mapato ya serikali? Walipewa na nani uwakala huu?
  10. G

    Why did Machali and Mkosamali quit CHADEMA?

    Moses Machali na Felix Mkosamali walikuwa wanachama na viongozi waandamizi wa CHADEMA hadi uchaguzi mkuu wa 2010 unakaribia kufanyika. Wote wawili waliondoka CDM na kujiunga NCCR walikogombea ubunge na kushinda. Ni sababu zipi zilizowafanya kuhama CDM na kujiunga NCCR? Sera mbovu za CDM, au...
  11. G

    Mhimil mmoja wa serikali unaingilia kazi za mihimili mingine

    Kinadharia, jamhuri yetu inasimamiwa na mihimili mitatu. Mihimili hiyo ni Bunge ambalo kazi yake ni kutunga sheria, serikali ambayo kazi yake ni kusimamia na kutekeleza sheria zinazotungwa na bunge, na mhimili wa tatu ni mahakama ambayo kazi yake ni kutafsiri sheria hizo. Majuzi tumeshuhudia...
Back
Top Bottom