Search results

  1. G

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Wakati wanaweka vikwazo, matumaini yao yalikuwa kufanya maisha Russia yawe magumu sana, Putin achukiwe na wananchi wake, mwisho uasi utakaomwondoa madarakani. Kilichotokea na kinachoendelea kutokea kimekuwa tofauti, waweka vikwazo hawaamini.
  2. G

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Biblia unayotuhimiza kuisoma imeandika katika Luka 23:43 kuwa, Yesu alimwambia mmoja wa wale waliosulubiwa pamoja naye, "amini nakuambia, leo hii utakuwa pamoja nami peponi". Unatuhimiza tusome biblia ipi tofauti na hii yenye maandiko haya!
  3. G

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Kabla ya Mzena sijui alikuwa anatibiwa hospitali gani! Mabeyo anasema Prof Janabi alikuwepo siku zote Mzena na madaktari wengine.
  4. G

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Labda jiwe aliangalia watangulizi wake walifanyaje. Mwinyi kamteua Kiaro kuwa mkuu wa majeshi akiwa na miaka 65. Alihudumu kwenye cheo hicho hadi 1994 alipostaafu akiwa na miaka 71. Mtangulizi wa Kiaro, Msuguri alistaafu akiwa na miaka 68.
  5. G

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Msaada Mr Nyani, hakuna namna ya kuweza kuitoa hiyo video kwenye youtube format?
  6. G

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hapa ndipo hawa wapuuzi wanakosea. Wanafikiri Iran ni koloni lao kwamba anaweza kupokea amri zao!
  7. G

    Kibonzo: Kuna kiongozi mfu anaangushiwa takataka

    😆😆😆 aliyoyafanya ndani ya kipindi kifupi cha utawala wake hayahitaji chawa wala mabango, yanajitangaza yenyewe.
  8. G

    Martha Mlata na Mwigulu wamkwamisha RC Serukamba kufanya kazi Singida, nani ataweza sasa?

    Wanatakiwa kuwa na umri na elimu sawa na mbowe.
  9. G

    Katika hii droo ya Yanga na Mamelodi ni nani hasa Analengwa atoke au asitoke mapema CAFCL 2023/24?

    Mods, toeni huu utopolo kwenye jukwaa la siasa.
  10. G

    Hayati Magufuli alikuwa Nabii katika angle zifuatazo

    Juzi hapa tumeambiwa kuna mtambo umewashwa JNHP, hivyo hakutakuwa na mgao wa umeme tena. Nikawaza, kumbe bila Magufuli kujenga lile bwawa tungedumu kwenye mgao daima! RIP nabii Magufuli.
  11. G

    Benki ya Dunia imefichua ukweli kuwa lindi la umasikini linaongezeka kwa watanzania!

    Ana watu wangapi wanaomsaidia kuila hiyo allowance?
  12. G

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Putin anastahili kuungwa mkono na kila mtu mwenye akili timamu toka nchi zetu hizi maskini. Marekani na nchi za ulaya magharibi wamekuwa wakiweka tawala zinazosimamiwa na vibaraka wao katika nchi za Afrika na Latin America kwa kisingizio cha demokrasia, jukumu la vibaraka hawa ni kuzifukarisha...
  13. G

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Militias can not accomplish what NATO has failed to accomplish.
  14. G

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    ‘Your vampire ball is over’ – Putin to Western elites The era of Western elites being able to exploit other nations and other peoples across the world is coming to an end, Russian President Vladimir Putin said in an exclusive interview published by Rossiya 1 and RIA Novosti on Wednesday. The...
  15. G

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hawa wanaojiita wasabato walianza lini na walianzia wapi? Wapentekoste je? Maandiko yako wazi, hiyo falme ya mwisho inayotajwa kuwa na maguvu ya kisiasa, kiuchumi na kijeshi na kuamua nani auze au anunue ndiye huyo US ambaye kila kukicha tunasikia akiyawekea vikwazo mataifa. Vatican atapata...
Back
Top Bottom