Search results

  1. mankachara

    Picha ya siku

  2. mankachara

    Msaada wa samsung smart tv

    Habari wanajamii na Skukuu ya Eid njema. Nimenunua Tv ya Samsung Smart tv used, nimeunganisha internet na simu yangu na imekubali vizuri tu na simu yangu ina Gb za kutosha za kuweza kuperuzi internet. Vilevile ninapojaribu kufungua internet kwenye web browser, mwanzo inafunguka vizuri na...
  3. mankachara

    UNGEPENDA NCHI GANI KATI YA HIZI?

  4. mankachara

    Fainali ya UEFA ni Liverpool Vs Manchester City

    Habari za jumapili Nikiwa kama shibiki wa mpira na hasa mipira ya ulaya. Natabiri wazi kua falinal ya uefa itakua ni kati ya liverpool na man city. Tuanze na robo final. Liverpool vs Porto. Hapa sote tunajua kua porto atatolewa nje kwa haya mashindano. Barcelona vs Man united. Na hapa pia...
  5. mankachara

    wale wa physics pitieni hapa munipe jibu

  6. mankachara

    Wasanii 10 wanaoongoza kwa pesa nchini India

    1) SHAHRUKH KHAN (UTAJIRI$600 Million) Huyu ndie actor namba moja mwenye mkwanja mrefu kwa india, wenyewe wahindi wanamwita “THE KING OF BOLLYWOOD” . amezaliwa 2 November mwaka 1965 mjini New delhi, mkewe anaitwa Gauri Khan sliyemuoa mwaka 1991 na mpaka sasa ana watoto 3. Kama ni mtazamaji...
  7. mankachara

    Hii flat screen bei gani?

    ....
  8. mankachara

    Brain challenge for genius

    .........
  9. mankachara

    mambo ya michepuko

    Jamaa mmoja kakodi tax akiwa anatembea katika jiji mara akapita gest moja akamuona mkewe akiingia ndani ya gesti, jamaa akamwambia dereva simama, jee? unataka laki tatu za chap chap? dereva akajibu ndio, jamaa akamwambia nenda mle gesti kamtoe mke wangu picha yake hii hapa, tena uwe unampiga...
  10. mankachara

    How many fish left?

    ........
  11. mankachara

    Huu uchokozi sasa

    .....
  12. mankachara

    Brain challenge

    Nipe jawabu
  13. mankachara

    Member only, mbongo wa kwanza kufika eritrea

    Jionee
  14. mankachara

    Wanaume wa siku hizi

    Mwanaume mmoja aliwatongoza wanawake watatu tofauti na nia yake ni kufanya upembuzi yakinifu ili mmoja wao awe mkewe. Hivyo jamaa aliamua kuwapa jaribio kwa kuwapa Tsh. 500,000/= kila mmoja huku akitaka kujua ni namna gani watazitumia. Mwanamke wa kwanza alitumia pesa yote kununua vipodozi...
  15. mankachara

    Breaking news

    BREAKING NEWS FA imefuta matokeo ya mchezo kati ya Chelsea vs Liverpool. Mchezo haukua huru na wa haki, Klopp alijitangazia ushindi wa kishindo kabla muamuzi hajamaliza mpira. Hivyo mwenyekiti wa FA amefuta matokeo ya leo na mechi itarudiwa baada ya msimu wa baridi kumalizika via...
  16. mankachara

    Kweli wazanzibari wameshajiandaa

    Abgali mwenyeo
  17. mankachara

    Wazungu wameshindwa hata kufananisha?

    ......
  18. mankachara

    msaada kwenye wi-fi

    habari za jioni wakuu, poleni na kazi, natumia samsung galaxy 5 (s5) tangu jana simu yangu imekumbwa na tatizo la kuwaka wi-fi automatic. naomba mnisaidie jinsi ya kuondoa hilo tatizo
  19. mankachara

    Maongezi ya Pinda na Wassira

    Majadiliano kati ya Pinda na Wassira baada ya matokeo; Pinda: Oya kaka vipi, mbona unasinzia tuuu, tayari huko Wassira: •0ƒ7•0ƒ7•0ƒ7 Tayari?! Vipi, mzee kapita? Pinda: Yaani wewe badala ujiulizie wewe unauliza watu wengne?! Wassira: "9ü9"9ü9"9ü9 kwani mkuu...
  20. mankachara

    Bibi harusi mbona uko bize

    ...........
Back
Top Bottom