Search results

  1. L

    Manispaa ya Tabora kipande hiki cha barabara kimewashinda?

    Kipande cha Barabara cha Town Clinic ni Kibovu tangu nahamia Tabora Mwaka 2019. Ni Kipande ambacho hata Mita 100 hakifikishi, ndicho kinachoingia Salmini, sehemu Muhimu kiuchumi, Diwani wa eneo hilo nae Hakuna anachofanya, Shida ni Nini? Naona mnapambana kujenga Kingo za Barabara ya Cheyo KWA...
  2. L

    Wanaoihujumu ATCL washitakiwe kwa uhaini

    Simung'unyi maneno. Ni shirika ambalo limeshaisababishia nchi Hasara ya Kutosha. Ndege hizi zilisababisha watu wakaumizwa KWA kutoonekana Wazalendo. Shirika hili kufufuliwa iligharimu nchi KWA fedha nyingi sana. Halafu kuna wapumbavu wachache wameamua kulihujumu na kuliua tena shirika hili bila...
  3. L

    Hili la Barabara ya Morocco hadi Mwenge tutolewe tongotongo

    Kwa Wataalamu wa ujenzi wa Barabara, ni sahihi kutumia zaidi ya 70 Bilioni kujenga 4.3 Km? Hata kama ni njia nne, nahisi kuna jambo halipo sawa. Ile ya 2km kwa 700B tutakuja kuiongelea siku nyingine!
  4. L

    Napendekeza Mkoa Mpya wa Butiama

    Ndiyo! Namaanisha mkoa mpya wa Butiama. Hivi hakuna Wazalendo wa kuomba kuanzishwa huu mkoa kama kielelezo cha kumuenzi Baba wa Taifa hili? Twajua hakuwa Mbinafsi, na hakutaka kujipendelea licha ya kuwa na uwezo huo! Leo tunaona uzalendo sehemu fulani kuwa mkoa kutokana na mihemko sijui ni ya...
  5. L

    RC Mwanri, hili kama ni lako tafakari upya

    Nikiwa mkazi wa mkoa wako, na manispaa ya Tabora, na nikiwa mmoja ya wanaokuheshimu kwa kazi kubwa na kujitolea kwako kwa mkoa uliopewa, niseme tu, changamoto ya eneo la Ipuli hususani Freemason au kwa Sonda sio hao wanaolima Majaruba ya Mpunga. Tabora, kama ilivyo maeneo mengi ya nchi, kuna...
  6. L

    Kamanda Diwani Athuman, JPM anakuangalia tu anasema hiiiiii!

    Kwako Kamanda Diwani Athuman, naamini ulisikiliza hotuba ya Mpendwa wetu Boss wako juzi Wakati alipowaalika Taifa Stars na Mwakinyo kula nae msosi. Katika mazungumzo Yake yote, lipo Moja lilinipa tahadhari na Kama hukulisikia, Basi jua alikupa maagizo ya kimyakimya! Tiketi za Ziada zilizouzwa...
  7. L

    Natafuta machine ya ku print T-Shirts

    Nahitaji kufahamu Bei na range ya capacity kwa machine za ku print T-Shirts! Pia suppliers wa hizo machine! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. L

    Usidanganyike, Ni muhimu kwa Vijana kuwa na URAFIKI na jinsi tofauti

    Sijui Kama heading nimeiweka vizuri ila naamini mtanielewa tu. Kuna ushauri hutolewa na wazazi, ama walezi, na pia Viongozi wa Dini, kuwakataza Vijana wa kike na kiume kuwa na "URAFIKI"( yaani Boyfriend na Girlfriend). Hii sii sahihi, Madhara Yake nimeyaona. Mimi Ni victim katika Hili...
  9. L

    Humkomoi CAG wala NAOT, unaikomoa nchi na wananchi

    Wadau, ninayo machache ya kumweleza Spika wa Bunge letu la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. KWAMBA, kitendo Cha kuzinyima fursa Kamati za PAC na PIC na nyingine zinazohusika kuwa na vikao vyao vya Kawaida kisa tu watashughulika na Ripoti ya CAG, huko Ni kulihujumu Taifa. Haumkomoi CAG Wala...
  10. L

    Moto Upande wa kushoto wa tumbo

    Wadau habari za leo? Naamini muu wazima, na wale wenye changamoto ya Afya nawaombea kwa mwenyezi Mungu AENDELEE kutupigania. Naandika uzi huu kuomba msaada kwa wataalamu mlio humu. Juzi usiku muda wa SAA saba nilitokewa na Hali ambayo sijawahi experience maishani. Ni Kama Kuna mtu alikuwa...
  11. L

    Mtoto Mdogo kuharisha kijani

    Salama wadau? Mtoto wangu wa Miezi 11 na majuma mawili siku Kama Tano zilizopita alipandisha joto Sana nikamkimbiza Hospitali, tulifanikiwa kumpima damu na kukutwa na Malaria 7. Hadi hapo tayari alikuwa akiarisha, sometimes anaharisha maji ya kijani, saa nyingine uharo mzito kidogo wenye...
  12. L

    2020 Tutawaahidi na kuwapa Watanzania HAYA:

    1. Maendeleo bila Ubaguzi, bila kejeli, bila Matusi, bila kuziona Kodi za Watanzania Ni Mali Binafsi ya Rais au Chama. 2. Umoja wa KITAIFA, udugu na mshikamano! Dini, kabila, jamii, jumuia, na Makundi yote yatashiriki Ujenzi wa Taifa lao bila Ubaguzi wa Kiitikadi, Rangi, Ukanda, na Dini! 3...
  13. L

    Dear Dr. Mashinji

    When we last met, I remember to have advised you on strengthening, among other areas, THE LEGAL TEAM! You promised me that you'll take that and act upon. It has been moths now, and I'm asking you another thing, TO SEE THE LEGAL TEAM TOMORROW AT THE COURT, FILING FOR COURT INJUCTION AGAINST what...
  14. L

    Tumeshuhudia Wakurugenzi wa Halmashauri zilizopata HATI CHAFU wakifurumushwa bila kujitetea

    Katika Sakata la Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali, tumeshuhudia Wakurugenzi wa Halmashauri zilizopata HATI CHAFU wakifurumushwa bila kucheleweshwa. Ni Jambo jema, hao Ni Majizi ya fedha za Walalahoi ambazo Mh.Rais ameapa kuzilinda. Lakini Ripoti hiyo haikuishia tu kutaja madudu...
  15. L

    Nini kimeikumba ITV leo?

    Nimefika nyumbani muda wa SAA mbili kamili Usiku na kuwasha TV Kisha kwenda Moja kwa Moja kwenye channel ya ITV ili kutizama Taarifa ya Habari! Nilichokutana nacho Ni kipindi Cha Ijue Sheria kilichopaswa kuanza SAA Moja Usiku Hadi SAA Moja na Nusu, na kilipaswa kufuatiwa na Isidingo Kisha...
  16. L

    TANESCO Mwanza inahitaji kufumuliwa kuendana na Sera ya Viwanda

    Maeneo mengi ya Jiji la Mwanza Mgao wa Umeme ni mkali haswa! Tumebaki tunajiuliza, hawa wapo tayari kumsaidia Mh. Rais kukamilisha ndoto yake ya Tanzania ya Viwanda? Viwanda hivi vinahitaji Nishati muda Wote, lakini huwezi kuamini imeshakuwa ni kila Leo Umeme kukatika kwa masaa mengi tu, huo...
  17. L

    TRA Mwanza, SITTA Supermarket ni yenu?

    Za asubuhi wananzengo wenzangu, Kuna jambo ambalo nimekuwa nikitatizika sana mimi kama mlipa kodi wa nchi hii. Naiuliza TRA Mwanza wana uhusiano wowote na SITTA Supermarkert iliyopo maeneo ya Samaki? Hawa watu hawatoi Risiti iwe ya EFD au ya kawaida, ni kwa nini? Are they exceptional? Watoa...
  18. L

    TEF/MOAT Clouds Wamewasaliti

    Ni majuma machache yamepita, jukwaa la Wahariri pamoja na Wamiliki WA vyombo vya habari waliweka msimamo wa kumsusia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa chochote kile, hususani kumpa coverage. Nakumbuka pia Kuna mtangazaji wa Clouds aliadhibiwa kwa kumtaja na kumsifu Makonda kwa masuala yahusuyo...
  19. L

    Wako Wapi Jukwaa la Wazalendo?

    Wadau, naamini nyote mu Wazima! Leo ni takribani miezi kadhaa Kundi la vijana lililotambulika kama Jukwaa la Wazalendo limekuwa kimya tofauti na hapo Awali ambapo karibu kila siku walikuwa wakiibuka na Utetezi dhidi ya Serikali, na tuhuma dhidi ya baadhi ya watu maarufu nchini! Jukwaa hili...
  20. L

    Tunahitaji kufumuliwa na kuundwa upya kwa TAKUKURU na DPP, na sii Mahakama ya Ufisadi

    Kumekuwa na taarifa za kukamilika kwa mchakato wa uanzishwaji wa Mahakama ya Mafisadi. Swali ni kama tunaihitaji Mahakama hii kwa sasa ilihali kuna Mahakama zenye uwezo wa kushughulika na Jinai zote. Maoni yangu ni kuwa, suala la Ufisadi ni gumu na zito, ila ukweli ni kuwa, mahakama zilizopo...
Back
Top Bottom