Search results

  1. Sokwe Mjanja

    Msaada Tafadhali, Hali mbaya-ofisi chungu!

    Jamani natumaini mko salama kabisa na wale waungwana waliofunga kwa dhati basi rehema za mwenyezi Mungu ziwatangulie na toba zao zisikike. ndugu yenu nina tatizo moja na linakuwa serious kila muda unavyozidi kwenda. Nimeanza kazi mahali sina muda mrefu sana kuna bwana mmoja subordinate kwa level...
  2. Sokwe Mjanja

    Wanachama wa yale mambo yetu, karibuni nyumbani....

    Haya Jamani weekend ndio hii na mnamuona Msuya hapo, karibuni sana pameanza kuchanganya japo bado ni mapema asubuhi.....
  3. Sokwe Mjanja

    Unapenda sana pesa eeeenh?

    Johnny wanted to screw a girl in his office.....but she belonged to someone else... One day Johnny got so frustrated that he went up to her and said I'll give you a 1000 dollars if you let me screw you....but the girl said NO. Johnny said I'll be fast, I'll throw the money on the floor, you bend...
  4. Sokwe Mjanja

    Lawama zinauma!

    Kwenye mapenzi kweli lawama zikiongezeka zinaumiza sana yaani, kila mara mtu unaonekana hauaminiki, unafanya vitu vingi tu tena vikubwa kwa ajili ya future lakini kila mara ni kuonekana mkosefu tu! kweli Mapenzi ya mbali ni issue! Hakika ladha ya mapenzi huwa inapungua sana kunapokuwa hamna...
  5. Sokwe Mjanja

    Nyumba ya kukodi Dar kwa muda mfupi

    Wakuu natanguliza shukrani. Nategemea kuja Dar mwanzoni mwa September sasa ni wapi naweza pata nyumba ya kupanga kwa muda mfupi kama wiki 2 au less hivi, hakuna masharti magumu sana ila tu iwe sehemu nzuri ya kufikika na usalama. Iwe full furnished wakuu Mwenye nayo au amjuaye mwenye nayo ani PM
  6. Sokwe Mjanja

    kwenda Ushelisheli...

    Jamani kama kuna mtu ana details ya connections kwenda Seychelles please anisaidie, nina maana nikitaka kwenda naunganishia wapi ndege, nitashukuru kama kuna anaejua na nauli yake tafadhali! Mungu awabariki sana
  7. Sokwe Mjanja

    Naingia Town

    Wakubwa wapenda nchi naomba kuingia jamvini, nawaletea salamu nyingi sana toka Porini..........
Back
Top Bottom