Search results

  1. Sokwe Mjanja

    Hii imekaaje!!

    Huyu Jamaa hajala Ban tu hadi sasa? Mods vipi jamani
  2. Sokwe Mjanja

    Nimfanyeje huyu mwanaume, jana almanusura ambake mpenzi wangu

    Kwanza pole kaka kwa haya yote yanayotokea mbele ya uso wa dunia yako. Lakini pia nikutahdhalishe kuwa ni makosa kisheria kufuatilia mawasiliano ya simu ya mtu mwingine hata akiwa ni mke wako sembuse wewe ni mpenzi wako, hebu jaribu kujiamini na kuachana na haya mambo yanayoweza kukuletea presha...
  3. Sokwe Mjanja

    Nauza mbwa aina ya bull dog

    Si ndio humu kapatia wateja we Mzushi
  4. Sokwe Mjanja

    Picha za Marais na wake zao.. Tupia humu

    Kaka umeua kabisa aisee! Yule jamaa pale darajani huwa hachoki kusimama!
  5. Sokwe Mjanja

    NIPENI MAJIBU YA HESABU YANGU HIi

    Wewe jibu lako ngapi mkuu? Litaje alafu tubishane kwa hoja
  6. Sokwe Mjanja

    NIPENI MAJIBU YA HESABU YANGU HIi

    Jibu ni 14 mkuu
  7. Sokwe Mjanja

    Tusichokijua kuhusu janga lililomsibu Ufoo Saro

    Polisi ipi unazungumzia? Hii ya kina shemeji yake na JK?
  8. Sokwe Mjanja

    Heshima kwa mwanamke huyu na wengine kama huyu.

    Huo hata sio ujasiri ni ujinga kwa kweli.
  9. Sokwe Mjanja

    Mwenge kuna nini Jamani!!

    Umefanya utafiti kwa mwenge au utafiti wako ulihusisha na sehemu zingine? Unatudanganya!
  10. Sokwe Mjanja

    Vp kuhusu chumba kimoja!?

    Mbona wengi sana tumeanzia huko tu jamani, tatizo ni kuwa unajilinganisha na walio na vyumba vingi. Kwasasa fanya uwezalo kuboresha mazingira ya hapo chumbani tu. Hakuna mtu anaekushangaa kwa kuwa na chumba kimoja, ni kawaida sana tu.
  11. Sokwe Mjanja

    Ninampenda sana lakini najilazimisha kumsahau

    Mi sijaelewa kitu kimoja Mtumishi wa Mungu hapa, umejuta na kuomba msamaha kwa mke na kwa Mungu wako sababu ya kumsaliti mkeo, lini sasa mbona umesema ulikuwa na huyu darasa la saba mwenzangu kabla hujaoa? Au baada ya kuoa uliendelea nae kidogo? Ulikosea sana kudhania Elimu ni kigezo kwenye ndoa...
  12. Sokwe Mjanja

    Waziri Mkuu Pinda aambiwa Watanzania 175 wamefungwa kwa madawa ya Kulevya China

    Nitaona jinsi kweli serekali yangu ilivyoshibana na wachina kama msamaha utatoka aisee maana wachina wako makini sana na adhabu zao, hata wananchi wao wanawanyonga kama kuku wakifanya makosa sasa wakituhurumia sisi nitashangaa kwa kweli. Ninachokiona labda watawasamehe lakini kwa masharti ya...
  13. Sokwe Mjanja

    Swali langu kwa Magufuli; Mbona Rwanda, Congo, Zambia etc hawalamiki?

    Kwahiyo sasa mmeweza? Mbona mmeachia?
  14. Sokwe Mjanja

    Wazanzibari waombwa Kuungana kupigania maslahi ya Zanzibar ndani ya Muungano

    Christopher kuna siku unakuwaga tofauti kabisa aisee, hii ni point sana umeongea nadhani tangu christmas mwaka jana, sijui siku zingine unaamkiaga wapi tu. Unanifurahisha sana hasa unapomshushuaga Bonge wa vimwana, Le-Mutuz..........
  15. Sokwe Mjanja

    Je Kuna Mambo Mengine Yaletayo FARAJA Tofauti Na Haya:"POMBE,MPENZI&SIGARA."

    Sasa mkuu kweli kama hupitii chochote kati ya hivyo unalalamika nini kuwa stressed? Mbona jibu tayari unalo mkuu. Unaishi kama uko dunia ya peke yako alafu unalalamika, chagua kimoja au viwili hapo uone kama utakuwa stressed.
  16. Sokwe Mjanja

    Je Hii tabia nliyonayo ni mbaya???

    Hebu naomba namba yako ya simu aisee.......
  17. Sokwe Mjanja

    Namtafuta mwanafunzi wa kupanga nae chumba

    Nami natafuta mtu wa kushea nae aisee, sina makuu na mtu na mimi, Baba yangu anatoka Sumbawanga na mama ni mtu wa Ukerewe kisiwani. Sinaga matatizo na mtu kama ananiheshimu. Sema tu niliwahi kufukuzwa nyumba mbili za kupanga sababu ya 'maneno -maneno' ya watu. Uko tayari mkuu nikutafute?
  18. Sokwe Mjanja

    Hivi huyu mwalimu mkuu anaogopwa na halmashauri ya manispaa Lindi????

    Kaka Jose umechemka kwenye hii response yako......
Back
Top Bottom