Search results

  1. D

    Elections 2015 Mambo 10 niliyojifunza 'sanaa za maonyesho' za Lowassa - Arusha

    Kwa jinsi nilivyoona advertise ya Lower Sir jana wengi waliopania kutangaza nia itabidi wajipime upya kwani muziki wa jana haukuwa lelemama. Kigwangala, makamba,sita, mwigulu membe etc wataingiwa na woga sana. Mimi ningeshauri lower Sir angekuwa wa mwisho ili na wenzake wapate vifua...
  2. D

    Mgombea wetu

    Tumemwona.... Labda utufahamishe mgombea wenu anagombea nini. Inawezekana anagombea bakuli la wanzuki tu...kunawatu watamuunga mkono kwa hilo. Au anagombea kula nyama naona ameshaandaa meno ya kutosha tu.
  3. D

    Gharama za matibabu Bugando zinatisha, Serikali haitoi ruzuku?

    Mwenendo wa Hospitali ya Bugando umeanza kuzorota tangu kanisa katoliki kwa kuhusisha askofu mkuu wa jimbo la mwanza kufanya mabadiliko wa mkurugenzi mkuu. Yule aliyekuwepo aliaminiwa sana na wahisani na alikuwa ni mwenye kuleta maendeleo. Nadhani mnakumbuka hata serikali haikufurahishwa na...
  4. D

    Unawafahamu hawa?!!!!!!!!!!!!!!!!

    Hawa ni starfish mobile, google utawapa!
  5. D

    PVC V/S Aluminium Windows

    ngoja tusubiri wataalamu watupe shule
  6. D

    Uvimbe ukeni

    Mkuu hiyo ni inguinal hernia, inatibika hospitalini kwa operation. Ni vizuri akatibiwa mapema, ikicheleweshwa inakuwa obstructed na inaambatana na maumivu makali. Mpe pole sana.
  7. D

    SERIKALI yanyang'anya ukumbi wa STARLIGHT ambao ulikwishalipiwa na MADAKTARI

    Drs are not cheap like how think madame! hivyo vitisho walizoea kuwapa watu wa kada nyingine, doctors ni watu wanao kutana na mambo ya kutisha zaidi ya hayo ya kufukuzwa kazi. Busara ndogo sna inahitajika kuutatua huu mgogoro, Pinda uwezo wake ni mdogo hili swala nadhani liko juu ya uwezo wake...
  8. D

    Waziri Mkuu awaamuru Madaktari kuripoti kazini Kesho!

    Tatizo hili ni complex, na limekuwa complicated na blandina nyoni. kuondolewa kwa huyu mama pekeee kunaweza kuleta suluhu ya haraka ya tatizo hili. Kama wanabisha wajaribu waone, blandina akitoka leo ma drs watarudi kazini mara moja kwani watakuwa na imani kwamba madai yao yatasikilizwa...
  9. D

    Maumivu wakati wa kukojoa

    Urethritis na inawezekana ikawa ni maambukizi ya bakteria. Nenda hospitali wewe na partner wako mkatibiwe.
  10. D

    Mimba imeingia...mwanamke ni mgonjwa mgonjwa..tutaitowaje? Msaada jamani

    Ni kwa sababu gani alifanyiwa operation ya kwanza? Bado naona hamna sababu ya ku abort, akianza klinic mapema na akawa kwenye uangalizi mzuri wa wataalamu, nadhani anaweza kumaliza hiyo safari yake salama. Otherwise kila lakheri...
  11. D

    Hi,

    pole sana, ni kweli hiyo siyo kawaida na ukuaji wake utakuwa sio wa kawaida pia na inaonesha amepata 'cerebral palsy', kama uko Dar, nakushauri umpeleke muhimbili ili aanze physiotherapy mapema. Na ninyi wazazi mnahitaji pia psychological counselling ya jinsi ya kumlea na kumtunza.
  12. D

    Elimu kuhusu Kifafa cha Mimba: Fahamu Chanzo, Dalili, Tiba na Tahadhari

    RK nashukuru sana kwa hili darasa huru ambalo umeamua kutupa, nimepitia post yako na inaonekana ina mapungufu makubwa sana hasa kwenye sehemu hizo nilizo highlight! Approach uliotumia kuelezea hili tatizo sio sahihi kabisa; huwezi kuanza kuelezea tatizo kwa kutuelezea risk, kabla hujaeleza...
  13. D

    abruptio placenta??

    Pole sana Phina kwa yote yaliyotokea, Abruptio placenta ni hatari sana kama walivyosema wachangiaji wengine, lakini pia hutegemeana na duration na extent ya abruption yenyewe ili kuweza ku predict fetal outcome, kama ni marginal abruptio placentae unaweza kumpata mtoto even in six to 8 hrs na...
  14. D

    Uume wangu una matatizo wanawake wananikimbia

    Mkuu pole sana kwa hayo yaliyo kupata, huo ugonjwa unaitwa vitiligo na huwa hautibiki cha msingi ni wewe kuikubali tu hiyo hali na inabidi uende kwa wataalamu wa magonjwa ya ngozi kwa ushauri na huduma zaidi. Kwa wapenda picha hii hapa:
  15. D

    Nini kina sababisha siku za hedhi kupitiliza kama huna mimba?

    Ni tatizo la hormones tu, balance ya hormones ni tatizo linalowapata mabinti wengi hasa pindi wanapoanza hedhi na hata wamama wanapokaribia kukoma hedhi. Huwa wanapata unovulatory cycles ambazo huambatana na mzunguko usio wa kawaida (menstrual irregularities) ni vema kwenda kwa wataalamu...
  16. D

    Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Hapa tanzania ni kwa mkemia mkuu wa serikali tu ndo wanafanya hiyo kitu. Walivyoanza mwanzoni ilikuwa mtu yeyote anaweza kwenda kupima, baadaye kidogo ilileteta matatizo na ikabidi mpaka uje na hati maalum ya mahakama, kwa sababu hii ni medical-legeal na inabidi iende kisheria zaidi.
  17. D

    Jamani wataalam mimba kutungwa karibu na cervix ni hatari??

    Uterus imegawanyika katika sehemu mbili, body na cervix; mimba ikisha tungwa na wiki zikasogea body pia hugawanyika mara mbili upper segment na lower segment. Lower segment ndo sehemu iliyo karibu kabisa na cervix endapo mimba itatungwa (au placenta) kwenye lower segment, mama atapata tatizo...
Back
Top Bottom