Search results

  1. ichenjezya

    Natafuta chumba cha kupanga Mwanza

    Mazee nahitaji chumba cha kupanga singo iliyo na choo chake (master), bajeti yangu ni kisizidi tsh 80 elfu, malipo yangu taweza miezi mitatu kwanza, maeneo yote kuanzia Igoma, Buzuruga, Meco, Mkuyuni, Bwiru, Nyegezi, Mkolani. Kisiwe mbali na stendi ya daladala za kwenda mjini, kama unacho au...
  2. ichenjezya

    INAUZWA Kabati na sofa vinauzwa bei rahisi

    Pata kabati na sofa,vinauzwa...vipo Dar Kabati Tsh 150,000/= Sofa Tsh 150,000/= Call 0714260266
  3. ichenjezya

    Vitu vya ndani vinauzwa

    Vitu tajwa hapo vinauzwa, sofa mbili, fridge, meza na kabati. Vyote bei 400,000/- Muuzaji anahama yupo Dar. 0714 260 266 0625 627 164
  4. ichenjezya

    Dar kwenda Mbeya na passo

    Mazee habari,nauliza kama naweza kwenda Mbeya toka Dar na ka gari kangu haka kadogo ka toyota Passo nina dharula kidogo,na kwa wazoefu mafuta ya kiasi gani naweza tumia,ka passo kenyewe ni kale kadogo ka pistoni 3....kwa mzoefu naomba anidaidie!
  5. ichenjezya

    Fundi umeme wa magari kwa Dar

    Habari mazee! Nahtaji fundi umeme mzuri wa magari anaejua sio mpiga ramli....ka gari kangu kile kidude cha ku charge simu au kupachika mp3 hakipitishi umeme toka jana,....naishi maisha ya tabu nipo kwenye gari lakini nahangaika simu inaisha charge,nimenunua zile mp3 charge za kuchajia zaidi ya...
  6. ichenjezya

    Silielewi hili gari leo

    Wadau habari, Jana nimekatiza sehemu kuna dimbwi la maji mengi sana kutokana na haya ma mvua yanayoendelea,nikapambana nami nikapita baada ya kuona wenzangu nao wamepita Sasa baada ya kupita baada kama ya masaa matano hivi naona kwenye dashboard taa ya OD on/off inawakawaka na hata...
  7. ichenjezya

    Baada ya ushuhuda wa Diamond, jamaa yangu aapa kumkataza mkewe kwenda gym!

    Habari wadau! Baada ya kusikiliza mazungumzo aliyofanya msanii Diamond Platnum jana pale Wasafi Fm,na kufunguka kuwa mpenzi wake wa zamani Zari aliwahi ku cheat na Trainer wake, jamaa yangu flani anayekaa maeneo ya Mikocheni hapa mjini kanipigia simu leo kaniambia usiku wa jana amekosa kabisa...
  8. ichenjezya

    Naomba kufahamu shule ya msingi kwa Dar es salaam ambayo ada yake haizidi milioni moja

    Wadau habari! Naomba kuuliza kwa anaejua shule ya msingi kwa Dares salaam ambayo ada yake haizidi milioni moja(chini ya milioni moja)naomba anifahamishe,maana vyuma vimekaza,tukikomaa na ada tu,tutashindwa kumalizia kujenga,nataka mwanangu mwakani aanze darasa la kwanza!
  9. ichenjezya

    Friji linauzwa

    Wadau friji inauzwa,ina miezi minne tu toka inunuliwe,ni ya dukani,ina 90W kwaiyo sijawahi waza suala la umeme,haili umeme kabisa,bei Tsh170,000/=,nipo Dar.....mawasiliano 0714260266
  10. ichenjezya

    Ugumu wa uskani na taa ya eps kuwaka

    Wadau,kama somo tajwa hapo juu linavyojieleza,naombeni msaada kwa mwenye uelewa;,gari yangu PASSO kwenye dashboard inawasha taa ya EPS na uskani unakua mgumu,naweza nikaendesha hivyohivyo lakini kuna muda inazima uskani unakua mlaini,na sometimes inawaka tena uskani unakua mgumu tena,naomba...
  11. ichenjezya

    Nahitaji mkopo wa haraka laki 5

    Jamani habari,nimepata shida ya ghafla nahtaji pesa ya dharula Tsh 500,000/-, dhamana mhusika atachagua nina Tv flat Samsung inch 32 original,au kiwanja kina mkataba wa maiziano,au fridge ndogo haijachoka....naomba kwa alie na hicho kiasi cha pesa anicheki....nipo tayari kufuata masharti yake...
  12. ichenjezya

    Mashine ya Selcom inauzwa

    Wadau mashine kwa ajiri ya vifurushi,umeme,dawasco,dstv inauzwa bei 300,000/-maongezi yapo.....muuzaji anapatikana kwa 0714260266
  13. ichenjezya

    Msaada: Nahitaji kwenda Mbeya haraka iwezekanavyo leo

    Habarini humu ndani, Naomba msaada wa kujua namna gani naweza fanikisha safari yangu ya kwenda Mbeya leo hii, nimechelewa basi asubuhi. Nauliza kama kuna mdau anajua any alternative, now nipo hapa Ubungo, hakuna basi hata moja la kwenda Mbeya. Am just waiting for ur fast response!
  14. ichenjezya

    Kuongeza daraja la leseni ya udereva

    Habari wana Jf Nahtaji kuongeza daraja la leseni yangu ya udereva,nahtaji class C3,hii niliyonayo ina Class A,A2,B,D,na G tu,sasa nahtaji C3 itanitosha,kwa anaejua naomba maelekezo jinsi ya kuipata,au kama kuna mdau anajua process mtu anamjua ani pm ili tuone tunaanzia wapi....Nitashukuru
  15. ichenjezya

    Nijulisheni taratibu na vigezo vya kujiunga na uber

    Habari, naomba kujua taratibu na vigezo vya kujiunga na Uber kwa sasa vikoje, nina kagari kangu nataka nijiunge huko, msaada kwa anaejua alie na current information.....asanteni! ======
  16. ichenjezya

    Kubadilisha umiliki(ownership) wa gari TRA

    Habari wana Jf Nahtaji kubadilisha umiliki wa gari yangu toka kwa mhusika nilienunua toka kwake,tatizo lililopo ni kuwa sina kitambulisho cha yule alieniuzia(first owner),ila nina mkataba tu ambao tulisainishana kwa mwanasheria! Naomba msaada wa maelekezo kipi cha kufanya kwa anaejua!
  17. ichenjezya

    Binti wa kazi za ndani anahtajika

    Kuna ndugu yangu anahtaji binti wa kazi mwaminifu,asizidi miaka 24,mzoefu,asiwe na mtoto,eneo la kazi ni Dar,kama yupo niPM
  18. ichenjezya

    Msaada, Laptop yangu imemwagiwa maji

    Habari ya muda huu wadau wa hapa! Nina laptop yangu aina ya Dell imemwagiwa maji na mtoto kwenye maeneo ya keyboad,kwa mujibu wa huyu chautundu wangu inaonyesha amemwagia maji kikombe kizima,huwa namwachia Laptop anatazama makatuni yake,sasa leo nataka niitumie nawasha haiwaki,nikajua labda...
  19. ichenjezya

    Msaada: taa ya Check engine inawaka

    Habari ya mida hii wana Jf Nina gari yangu Passo,jana baada ya mvua mvua hizi zinazonyesha hapa mjini Dar,mara taa ya check engine imeanza kuwaka,sielewi tatizo ni nini,nikajua labda nikiizima then nikiwasha au ikikaa mpaka asubuhi ya leo taa itazima lakini wapi bado inaendelea kuwaka,lakini...
  20. ichenjezya

    KIWANJA KINAUZWA TSH 1,200,000/=

    Wakuu nauza kiwanja changu japo kwa bei ya hasara,kipo Chanika-Zingiziwa,ukubwa wake ni kama ifuatavyo:urefu mita 18 upana mita 12,kwa maelezo zaidi nicheki pm au kwa no 0625627164 au 0714260266
Back
Top Bottom