Search results

  1. ichenjezya

    Nimeanza na kudeposit 100,000, nataka ninunue gari

    Tafuta namna upate mkopo,au hiyo laki ingia namna uanze kucheza mchezo na wenzio,then uchukue pesa kubwa, au jiunge na saccoss zipo nyingi unWeza kopa hata maratatu ya pesa yako. Achana na wanaosema kukopa ili kununua gari ni big mistake.Wengi tuna magari ya mikopo
  2. ichenjezya

    Men Talk 4: Mwanaume usitongoze kila mwanamke aliyekaribu na wewe, hata kama anavutia kiasi gani. Some are meant to be just friends

    Mimi nimefanya vice versa aliekua mpenzi wangu saizi ndio kawa rafiki....and we have our partnership kwenye masuala ya biashara,niliona akiendelea kua mpenzi napata presha za bure!
  3. ichenjezya

    Uume unasimama lege lege sio kama mwanzo

    Ni woga tu ndio unamsumbua huyu dogo.Mimi nina manzi yangu,nimepiga sana show za kibabe hadi inaomba niisamehe,tulikwazana mwezi mmoja umepita,tumerudiana juzi nimeshindwa kupiga ngoma imegoma kusimama,sikua na hofu,nikamwambia ni uchovu wa kazi,kalala usiku mzima haamini.Ila anajishitukia yeye...
  4. ichenjezya

    Wako wapi mabinti waliotajwa na FA kwenye wimbo wa “Mabinti”?

    Usipime hilo dude,"najaribu kuandika rymes ili hali wino sina........",toka kwa B ushauri wa kirafiki,msiongee nikiwa sipo wanafiki, njooni sitawadhuru mademu zenu,zimia bovu washikaji zangu kama navyowazimia machangu,"....ipo boom play kule nenda utazikuta zote
  5. ichenjezya

    Wako wapi mabinti waliotajwa na FA kwenye wimbo wa “Mabinti”?

    Huu ndio ulikua mziki.Nakumbuka nilitoloka shule Kibaha Secondary nikaja Dar kihudhuria show ya FA pale Chuo kikuu Mlimani.Nani kama FA,nilikua namkubali sana kuliko madogo wanavyomkubali Mondi. Mimi nikiwaona kina FA Jay Mo,Solo huwa nafurahi sana coz hicho ndio kizazi chetu cha muziki...
  6. ichenjezya

    Attitude ya Harmonize yafikisha views Million 3 ndani ya masaa 27

    Namkubali dogo,ana make efforts kwenye kutafuta matokeo, business is all about smartness as long as huvunji sheria. Tumia kiki au whatever ili mradi ku push kazi zako.Kuna umuhimu wa kua na team pia na wasanii wengine wajue hilo! Nampa hongera dogo kwa kuanza kufanya mapinduzi ya muziki,alafu...
  7. ichenjezya

    Natafuta chumba cha kupanga Mwanza

    Mazee nahitaji chumba cha kupanga singo iliyo na choo chake (master), bajeti yangu ni kisizidi tsh 80 elfu, malipo yangu taweza miezi mitatu kwanza, maeneo yote kuanzia Igoma, Buzuruga, Meco, Mkuyuni, Bwiru, Nyegezi, Mkolani. Kisiwe mbali na stendi ya daladala za kwenda mjini, kama unacho au...
  8. ichenjezya

    Msaada wa aliyewahi kufanya written interview ya Relationship Officer

    Ndio mnaenda kufanyia Donbosco Oystebay au?
  9. ichenjezya

    Nimeendesha gari toka Kilimanjaro hadi njombe lakini km zimeongezeka sio kama zilivyo kwenye ramani ni kwa nini?

    Mkuu mbona simple sana.....google map mara zote huwa inakupa shortest distance from your location to the destination.......haiwezi kuwa exactly na real distance,lazima zitapishana kidogo.....tunaotumia google map tunalijua hilo..
  10. ichenjezya

    Msaada indicator ya gari ABS imewaka

    Mkuu umejibu thread ya mwaka 2015[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]...nahisi jamaa hata hilo gari hana saa hizi!
  11. ichenjezya

    INAUZWA Kabati na sofa vinauzwa bei rahisi

    Meza ilishauzwa
  12. ichenjezya

    INAUZWA Kabati na sofa vinauzwa bei rahisi

    Wanaume tunarithi kwa baba....sijui wenzetu mnakosea wapi[emoji848][emoji848]
  13. ichenjezya

    INAUZWA Kabati na sofa vinauzwa bei rahisi

    Usafiri kwenda wapi juu yangu.....mkuu unapenda mtelezo itabidi nikupe bure aisee [emoji16]
  14. ichenjezya

    INAUZWA Kabati na sofa vinauzwa bei rahisi

    Pata kabati na sofa,vinauzwa...vipo Dar Kabati Tsh 150,000/= Sofa Tsh 150,000/= Call 0714260266
  15. ichenjezya

    Msaada wa tatizo la Kelele kwenye engine ninapowasha gari

    Kuna vitu vingi vinavyoweza sababisha gari kutoa mlio,vitu kama berings za Ac au oil pump inaweza sababisha mvumo,...oil pia kutopanda vizuri kuna sababisha vyuma kupiga ka ukelele flani....mimi kwakua najua mafundi wengi wa Dar ni wazee wa kukisia kama wapiga ramli....nachofanyaga natafuta...
  16. ichenjezya

    Vitu vya ndani vinauzwa

    Fridge ishauzwa mkuu
  17. ichenjezya

    Vitu vya ndani vinauzwa

    Mazee meza imeshachukuliwa,kwaiyo imebaki Fridge,kabati,na sofa
  18. ichenjezya

    Vitu vya ndani vinauzwa

    Hilo siuzi mkuu
Back
Top Bottom