Search results

  1. Jumakidogo

    Kauli dhidi ya Malawi: JWTZ wamshushua Lowassa!

    Sasa hapo Lowasa ana kosa gani wakati utayari wao wenye JWTZ Waliuonesha hadharani wakati wa sherehe za miaka 50 ya uhuru.
  2. Jumakidogo

    Dk.Slaa lipa deni hili la CHADEMA

    dawa ya deni kulipa, sasa kama mtu halipi wengine watapaje fursa ya kukopa kama yake.
  3. Jumakidogo

    Dk.Slaa lipa deni hili la CHADEMA

    mkuu matusi ya nini tena kaka. kama mtu anao ushahidi basi hoja yake ni ya msingi, tumpuuze akishindwa kutuletea ushahidi hapa.Ama ingekuwa nzuri zaidi ungekanusha kwa hoja. Wengine wataishia kusema katumwa, lakini ni vizuri mtu huyo akalipa hilo deni kabla ya kuingia ikulu manake asije kutumia...
  4. Jumakidogo

    Tanzania ina nguvu kubwa ya jeshi kusini mwa Africa

    Binafsi nilipata mashaka makubwa na kukosa amani siku ya sherehe za miaka 50 ya uhuru. Nilikosa amani kwa kuwa silaha zilizoonyeshwa na jeshi letu zilikuwa duni na isitoshe zilikuwa za kizamani sana. Kuna wakati nilivuta hisia kuwa jeshi la Wavietinam miaka ile lilikuwa linapita mbele yangu...
  5. Jumakidogo

    Rais Kikwete akutana na wahariri; asema madai ya walimu hayatekelezeki!

    Mbona tbc wanagonga kwaya tu. Bora muda huu wangetuwekea bunge tu.
  6. Jumakidogo

    StarTV Live: Uwajibishwaji Viongozi wa Halmashauri nchini

    Kwanza napenda kupongeza msimamo wa madiwani wa kata za Mwanza kwa kuonyesha msimamo thabiti katika kutetea maslahi ya jamii. Hili lisiishie Mwanza tu, Halmashauri nyingi nchini madiwani ni kama wapo katika usingizi mzito na wengi hawajui wajibu wao. Waamke sasa nao waingie katika mapambano ya...
  7. Jumakidogo

    Pikipiki zilizokodiwa na pesa za CCM Makao Makuu kumpokea Nape Kigoma

    Inamaana chama hakina wanachama wenye putuputu?
  8. Jumakidogo

    Lowassa akiwa Rais...

    Siwezi kushindwa kwa jina la muongo aliyeudanganya ulimwengu atarudi mpaka leo miaka zaidi ya 2000 hajaonekana.
  9. Jumakidogo

    Lowassa akiwa Rais...

    Nchi imekuwa na hali ngumu. Ubadhirifu wa mali ya uma kila kona. Raia wamechoka! Mbaya zaidi hata ajira zao za kuokoteza mitaani wameacha kufanya na badala yake wanajadili vituko vya wanasiasa...Dhaifu kashindwa, anahitaji ushauri ili akae pembeni kwa amani aache vidume washike hatamu. Kwa hali...
  10. Jumakidogo

    Taarifa kwa Membe, Nahodha na Lowassa

    Mkuu huwezi kupewa nguvu za kijeshi na jamaa bila kupambana na magaidi ana kwa ana. Peleka jeshi likapigane na Taleban uone. Siku 2 unapewa madege ya kivita.
  11. Jumakidogo

    Chembe za msingi ya kutibu magonjwa na kutengeneza

    Makala bomba sana. Je! Kushuka kwa chembe hai nyeupe za damu. Ni lazima kusababishwe na virusi vya ukimwi? Au kuna mambo mengine pia?
  12. Jumakidogo

    Kwa msimamo huu wa spika Makinda; Naamini CCM inawatoa kafara la damu watanzania!

    Bunge liliahirishwa wakati gani na madai ya wapinzani yalikuwa wakati gani? Kuahirisha kujadili hotuba iliyokuwa imepangwa haina maana wabunge wote waende kuzamia kwa ajili ya kuokoa watu. Ni spika kuruhusu hoja ya dharura ili bunge lijadili hatua gani ya dharura serikali ichukue. Kubali...
  13. Jumakidogo

    Kwa msimamo huu wa spika Makinda; Naamini CCM inawatoa kafara la damu watanzania!

    Usiulize ajali ya treni ilitokea wapi! Ajali ni ajali tu. Kwa watanzani ikitokea ndani ya mipaka yao zote ni ajali sawa bila kujali imetokea umbali gani kutoka Dodoma lilipo bunge. Kwani wanaosafiri ndani ya mkoa wa Dodoma kwa akili yako ndiyo binadamu. Wakishatoka nje ya mkoa wanakuwa ngedere?
  14. Jumakidogo

    Kwa msimamo huu wa spika Makinda; Naamini CCM inawatoa kafara la damu watanzania!

    Tofauti ipo mama Makinda. Wabunge wanawawakilisha moja kwa moja wananchi kwa sababu huingia pale kwa kura zao. Tofauti na mihimili mingine. Wananchi wanapopata majanga mtu wa kwanza kwenda kushirikiana nao anatakiwa awe muwakilishi wao katika serikali. Sasa unataka hakimu aje akuwakilishe wewe...
  15. Jumakidogo

    Kwa msimamo huu wa spika Makinda; Naamini CCM inawatoa kafara la damu watanzania!

    Mkuu, jaribu kuwa na ubinadamu kidogo. Pamoja na ubinadamu, pia kuna dawa unazoweza kutumia ili kuondoa kichwani mabaki ya bangi uliyowahi vuta zamani. Ukatili na kutokuwa na huruma ni dalili ya kuathiriwa na bangi katika akili. Kumbuka, ilipotokea ajali ya treni. Spika mwenye huruma aliahirisha...
  16. Jumakidogo

    Kwa msimamo huu wa spika Makinda; Naamini CCM inawatoa kafara la damu watanzania!

    Kuna mambo yanayosikitisha. Ambayo hata ukiambiwa mtu mwenye akili timamu huwezi kuamini. Ni kichaa peke yake, tena yule mwehu ambaye hajapata matibabu ndio anaweza kuamini kuwa, spika wa bunge anaendelea kuendesha bunge wakati ambapo kuna meli inazama ikiwa na mamia ya watu ndani yake. Tena...
  17. Jumakidogo

    Ni mv skagit na sio sea gull imepinduka na haijazama bado iko inaelea

    Helkopta zote mkuu, hata zile ambazo huombea kura kwa wanaozama ile ya CCM na CDM ziko wapi?
  18. Jumakidogo

    Wabunge wote wa upinzani watoka bungeni baada ya Spika kukataa kuahirisha bunge

    Mkuu kwa kanumba ni bunge lipi lililosimama? Au umeongeza chachandu kidogo?
  19. Jumakidogo

    Mwanasheria atekwa, apigwa, aachwa porini

    Huyu naye katekwa na serikali kama Ulimboka. Nchi hii si haina watekaji na watesaji zaidi ya serikali?
  20. Jumakidogo

    Fujo za Iramba: Waliofanya fujo wanatoka Dar (soma majina)

    Marehemu Ditopile alipewa dhamana kwa kifungu gani?
Back
Top Bottom