Search results

  1. P

    Viongozi wa CHADEMA ni Walaghai

    Viongozi wa CHADEMA wanakosa sifa ya kuaminika kwa umma kama chama mbadala. Wametanguliza maslahi binafsi kuliko ya wanachama wao. Kwenye masala ya Fedha CHADEMA hawajawahi kuwa wawazi. Hii ni dosari kubwa kwa chama kinachoikosoa Serikali. Hakuna operesheni hata moja ya michango ambayo imewahi...
  2. P

    Ni muda gani viongozi wetu wanakaa na kutulia kufikiria uelekeo wa Taifa

    Ukiwa Kiongozi wa Nchi pamoja na mambo mengine ni kuwa mtulivu , kuwa na muda mrefu wa kutafakari kwa fikra tunduivu uelekeo wa Taifa. Kwa kufanya hivyo unatoa uongozi na majawabu pale vyombo na taasisi zilizopo kisheria zinapokushauri. Meditation inahitaji muda na utulivu . Nachoshangaa ni...
  3. P

    Kwa ujio wa Jerry Silaa Wizara ya Ardhi, Open Spaces zitakiona cha Moto

    Jana kumefanyika mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Katika mojawapo ya Wizara iliyoguswa ni Ardhi ambayo Jerry Silaa ameteuliwa. Nipende kusema kwa ushahidi pale tumepigwa. Namfahamu vizuri ndugu Waziri tangu akiwa Meya hadi Mwenyekiti wa Kamati ya Uwekezaji Bungeni. Jamaa ni mtu wa dili...
  4. P

    Rais Samia, kwa unyenyekevu mkubwa epuka huo mtego

    Mheshimiwa Rais, suala la Mkataba wa Bandari limefichua nyufa kubwa za Taifa letu hasa katika suala la Dini, Muungano, Ukabila, Ukanda, Jinsia na Itikadi za Siasa. Sasa naomba nikushauri kwa unyenyekevu mkubwa epuka mtego wa wasaidizi wako hasa huu wa kukamata watu na kuwaambia ni wahaini. Huu...
  5. P

    Ummy Mwalimu unatumia ukaribu wako na Othman kuwaangamiza wenzako

    Wote tunajua nguvu aliyonayo huyu jamaa wa Tanga former DGIS katika uongozi wa Nchi kwa sasa. Hata huyu bwana aliyewekwa toka Kigoma kawekwa na hao hao wenye nguvu. Ummy Mwalimu anatumia sana uwezo wa kumfikia mwenye Mamlaka kuwaharibia wenzake anaofanya nao kazi. Alianza kwa Major General...
  6. P

    Alianza mwendo vizuri, ila sasa kaanza kukengeuka kama mtangulizi wake

    Namuongelea Kiongozi wetu, alianza vema sana kazi zake kwa kuhakikisha teuzi nyingi zinazingatia sifa, weledi, umoja wa kitaifa, dini na hata jinsia. Hata hivyo, kwa siku za karibuni ameanza kukengeuka kama mtangulizi wake. Anateua watu wenye kutiliwa mashaka weledi wao angalia kama huyo KM...
  7. P

    Fatma Mwasa na Halima Dendego taswira halisi ya 'unamjua nani'

    Uteuzi wa wamama hawa wawili unadhihirisha tatizo kubwa la Mamlaka ya Urais wa Kisultani hapa Tanzania. Miaka yote Marais wetu wamekuwa wakigawa nafasi za URC na UDC kwa marafiki , maswahiba na hata wapenzi wao. Inachukia sana . Tabia hizi zilikuwa bayana wakati wa JK, zikaota mizizi kwa JPM...
  8. P

    Imetosha Rais Samia, rudi Nyumbani sasa

    Sipingi umuhimu wa safari ya Royal Tour Nchini Marekani, natambua faida za kimsingi za safari hiyo. Mhe Rais tangu uondoke ni takribani wiki moja na ushehee sasa. Tumeona msafara ulioambatana nao ukijumlisha na gharama za wasaidizi wako wa karibu, niseme imetosha Mhe. Rais rudi nyumbani...
  9. P

    Viongozi Wakuu wa Chadema wanakifanya chama chao kuwa irrelevant kila siku

    Ndo ukweli wa wazi pamoja na Chadema kuwa na wafuasi wengi mashinani lakini wanaangushwa sana na viongozi wa juu wa Chama hicho. Mbowe ana maono makubwa na Chama ila kufungwa kwake kumesababisha amekuta ungozi wa juu wa Chama umetekwa na wanaharakati wasiokuwa na ajenda. Ajenda za Chama...
  10. P

    Baba Askofu Shoo na Wazee wenye kuheshimika shughulikieni suala la mbowe atoke Mahabusu

    Baada ya maelezo ya Mhe. Rais jana akijibu ombi la ZZK kuhusu kushughulikia Kisheria Mhe. MBOWE kesi yake ifutwe nimeona nitoe maoni yafuatayo. Kwanza natambua uungwana mkubwa alio nao Mhe. RAIS SAMIA. Mama huyu aliongea kwa unyenyekevu namna anavyojiandaa kuliunganisha Taifa. Kikao cha jana...
  11. P

    Wanaharakati wa Twitter wajuaji wa kila kitu, wanafanya kazi muda gani?

    Naam kuna kakikundi kapo twiter kanaongozwa na binti wa waziri mstaafu profesa wa kijaluo, pia kuna jamaa lingine laitwa MMM na mwingine Ole mtetea na wngineo. Swali la kujiuliza hawa watu wanaojidai kupigania demokrasia mbona wao hawaheshimu uhuru wa wenzao kujieleza?. Wanapenda maoni yao...
  12. P

    Ndege mbili za Airbus kupokelewa siku ya Ijumaa, Uwanja wa Abeid Aman Karume Zanzibar

    Naam, kumekucha tena siku ya ijumaa mchana tarehe 08 Oktoba, 2021 katika uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume kutapokelewa ndege mbili za Airbus aina ya 220 - 300. Ndege hizo zitapokelewa na Dr. Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Itoshe kusema ATCL inaendelea kupata...
  13. P

    Rais Samia Suluhu tumia madaraka yako mwachie huru Mbowe

    Kwa heshima kubwa Mheshimiwa Rais SSH nawasilisha kwako ombi maalum kwamba, kwa mamlaka uliyo nayo na kwa kutumia ofisi zilizopo kikatiba mwachie huru Ndg. Freeman Aikael Mbowe. Hoja yangu naijenga katika misingi ya kuliponya Taifa na majeraha ya chuki na kutokuelewana. Mhe. Rais nakariri...
  14. P

    Zitto Kabwe ameongea vizuri; wahafidhina ndani ya CCM wamuache Rais Samia atekeleze maono yake

    Nilipenda maelezo ya ZZK Kiongozi wa ACT katika Kikao cha Kamati Kuu ya chama chake iliyofanyika Zanzibar jana tarehe 08 Agosti, 2021. Alirejea ukweli kuwa Rais Samia alianza vema sana uongozi wake baada ya kifo cha JPM. Hata hivyo kwa siku za karibuni kuna kila dalili ametishwa na kundi la...
  15. P

    Ukiondoa Mwalimu Nyerere aliyetupatia Uhuru, na ukiacha Benjamin Mkapa kwa kiasi, Tanzania inaongozwa na Viongozi wenye uwezo wastani sana

    Kama mada kwenye kichwa ilivyo, ukimuondoa MZEE NYERERE aliyetupatia uhuru na kisha baadaye kuwa na Mzee Mkapa katika awamu ya tatu, niseme wazi Tanzania imekuwa ikongozwa na viongozi wenye uwezo mdogo na wastani sana. Katika Uongozi, Mzee Mkapa ndiye angalau aliimarisha mifumo ya Serikali na...
  16. P

    Balozi Hussein Katanga msaidie Rais ipasavyo, teuzi za Wakuu wa Wilaya kuna dosari kubwa

    Mhe. Balozi Hussein Katanga, Katibu Mkuu Kiongozi, nakuomba na kukusihi sana msaidie ipasavyo Mhe. Rais kutekeleza majukumu yake. Nimefuatilia teuzi za U DC kuna dosari kubwa. Kuna uwezekano makundi fulani yenye maslahi yanapenyeza ajenda zao katika teuzi hizo na yanakushinda nguvu wewe kama...
  17. P

    Spika Ndugai: Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wapo kwenye mikono salama

    Leo Bungeni baada ya kipindi cha maswali na majibu, Spika wa Bunge Job Ndugai amesimama na kumkemea Nape Nauye, Mbunge wa Mtama ambaye hivi karibuni alitoa maoni yake binafsi kuwa wale wabunge 19 waliotimuliwa na CHADEMA sio wabunge halali. Ndugai, akonekana mwenge wasiwasi na aliyepoteza...
  18. P

    Livingstone Lusinde, Mbunge wa Mtera aina yako ya siasa haina nafasi kwa sasa, Pole

    Namsikiliza Livingstone Lusinde, kama kawaida yake anafikiri zile siasa zake za kutukana na kupayuka Bungeni bado zina nafasi kwa Tanzania ya leo. Nampa pole, nafahamu siku za nyuma alikuwa akitumwa na Chief Whip kwa agenda zao Bungeni hasa kufunika masuala kadhaa ya ufisadi , kushambulia...
  19. P

    Uchaguzi 2020 Kauli ya Jaji Kaijage na yanayopangwa kufanywa na NEC kwa wagombea Urais

    Kauli iliyotolewa jana na Jaji Kaijage ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ya kuvitaka vyama kuteua Wagombea makini ili baadaye Tume isilaumiwe siyo ya bahati mbaya. Taarifa za uhakika nilizopata toka ndani ya NEC ni kuwaengua Lissu na Membe kwa technicalities. CHADEMA NA...
  20. P

    Orodha ya magazeti ya kufungia nyama Tanzania (The meat wrapping news papers)

    Katika awamu hii ya tano kumejitokeza viherehere wasiokuwa na taluma na wala wasioheshimu taaluma ya habari na kufungua vijigazeti vyenye propaganda za kijinga. Pamoja na ukweli kuwa hata zile media zilizokuwa zinaheshimika siku za nyuma nazo kujigeuza kuwa za ovyoovyo siku hizi, lakini...
Back
Top Bottom