Kuna kitu wazungu wanaita “paradox of plenty au resource curse” na labda kiswahili tuseme “penye miti hakuna wajenzi”
Kuwa na rasilimali nyingi sana kunapunguza ulazima wa kutumia akili tofauti na watu wanaoishi katika mazingira ambayo survival yao inategemea kitu kimoja tu, mfano nchi za...
Tuangalie pia hao walimu wao wanapata wapi pesa ya kuwaweka vijana kambini na kuwahudumia? Kama wazazi wao hawachangii hata buku wao wanatoa wapi pesa hizo? Kata mnyororo wa pesa zao jeuri yote itakwisha
Kuna mshkaji tulikuwa naye serikalini akapata deal ya international NGO, akaomba likizo ya “sabbatical” akapata akaenda.. mkataba ulikuwa wa mwaka mmoja na ni renewable, ila ulipoisha hakutaka hata kuongeza. Mpunga alipata mkubwa sana ila shuruba za kazi ni balaa.
Mawazo yangu:
1.) NGO ni...
Kuongoza vichaa ni lazima nawe uwe am u act kichaa. Haiwezekani mtu anaiba billions za kujenga soko au barabara halafu anakwenda ifungia hiyo hela ndani, kesho yake anapita ktk barabara mbovu au soko chafu kisha analalamika kuwa serikali haifanyi kazi. Kama sio ukichaa ni nini..
my take...
Sio tu mgumu bali hata hajaeleweka alichotaka kusema. Soma heading halafu angalia main body uone kama kuna uhusiano.. mimi sijamwelewa mantiki yake [emoji3525][emoji3525]
Mmh 750,000/= kweli?? Hivi kwa mshahara huo huyu mwalimu atakaa ajenge kweli? Au tuseme atafanya kazi miaka mingapi aje angalau kununua gari ya milioni 15? [emoji17][emoji17]
Hawezi kukujibu hilo swali. Tatizo la kutoa tafsiri kwa uelewa binafsi ndio linaanziaga hapo. Kajifanya kaelewa zaidi ya kilichoandikwa ktk Biblia ila trust me.. maswali yoyote utakayomuuliza hatoweza kujibu kamwe sana sana ataishia kukutusi tu
Mkuu, ndio maana nchi yetu iko hivi uionavyo na matatizo yake ni makubwa kutokana na watu wa namna hii.
Usitegemee kama nchi tukaweza pambana kiuchumi duniani na hata kucheza rafu kama wengine wafanyavyo ikiwa tutaendelea kuwa na watu kama hawa. Kwa Putin hawa ni kupigwa “nerve agent” tu kwa...
Kweli kabisa kwa sababu hata madhumuni ya daraja ilikuwa ni kuokoa muda unaopotea kwenye foleni pale salender. JPM kwa kuliona hilo akaweka daraja lililomaliza kabisa shida ile, sasa hizi mang’aa zingine zinataka rudisha stress tulizoanza sahau
Sasa kama alikuwa anaongoza madish kwanini yeye naye asiwe dish?
Kama vile unavyokataa kwamba hakuwa jembe vivyo hivyo wapo watakaokupinga kwa kukataa kwako..
Soma kichwa cha habari ndugu.. hili ndio tatizo letu kubwa wabongo, huwa tunasikiliza au kuona ili tubishane na sio kuona au kusikiliza ili tuelewe [emoji3525][emoji3525]
Tatizo la umasikini wetu wakati mwingine ni la kujitakia tu. Mfano unakuta mtu huko kijijini anamiliki ng’ombe 1000 lakini ukiangalia maisha anayoishi yeye na mifugo yake havina tofauti. Wakati ng’ombe mmoja akimleta mjini na kumuuza anapata sio chini ya laki 3-8 hivii, akiweza uza hata ng’ombe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.