Search results

  1. Mbonea

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    MGENI - KAPTENI KOMBA AKATAMBALA - MAUA CHENGULA
  2. Mbonea

    Naomba kusaidiwa wimbo wa Komba

    Huu wimbo wa MGENI hata mimi nautafuta... Mpaka sasa bila bila.
  3. Mbonea

    Lady JayDee vs Mwana FA

    Well said...!!!
  4. Mbonea

    KIMBELEMBELE CHA DIGITAL vs ANALOGY

    Wadau, nasikitika sana kuona watanzania bado tunasukumwa kwa manufaa ya watu wachache.... kila mwaka lazima "kibopa" fulani aibuke na njia za kuwanyonya wa-TZ... halii hii itaendelea mpaka lini? kipindi cha upungufu wa umeme, jenereta kibao ziliingizwa kama deal la watu fulani n sasa walaji...
  5. Mbonea

    kivumbiiii

    ,,,duuh
  6. Mbonea

    kivumbiiii

    .....duuh!
  7. Mbonea

    Kosa la nani hapa...?

    ...mhh!
  8. Mbonea

    Kumekuchaaaaaa....!

    ...duuuh
  9. Mbonea

    Movie na series unazozipenda

    Series: 1. Game of Thrones 2. Touch 3. The Mentalist 4. Prison Break 5. Breakout Kings 6. Spartacus 7. The Jeffersons 8. Sanford & Son Movies; 1. Glory 2. The Shawnshank Redemption 3. Good morning Vietnam 4. Guess Who 5. Pride 6. Man of Honor 7. The gods must be crazy 8. Unforgiven
  10. Mbonea

    Hatimaye Anti Ezekiel afunga ndoa

    Jamaa asije akazalisha tu nakutokomea...!
  11. Mbonea

    "Programming Competency Statement"

    Wadau, naomba yeyote mwenye "idea" kuhusu kichwa hapo juu anisaidie ili nifanikishe hatua husika. Swali n kama ifuatavyo;Write the "Programming Competency Statement" (The ProgrammingCompetency Statement should list your programming language(s),describe specifically your level of proficiency, and...
  12. Mbonea

    Windows 7 Ultimate 64 bit genuine product key

    shukran mkuu.... ngoja nijaribu
  13. Mbonea

    China yatoa msaada vifaa vya maktaba

    KAIMU Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Bw. Selestine Gesimba, ameushukuru Ubalozi wa China nchini kwa kutoa msaada wa vifaa vya maktaba ambavyo vitawasaidia wananchi kuongeza maarifa zaidi. Bw. Gesimba alitoa pongezi hizo Dar es Salaam jana wakati akizindua chumba cha maktaba...
  14. Mbonea

    Windows 7 Ultimate 64 bit genuine product key

    Wadau, naombeni msaada wenu kupata hiyo "key" ili ni activate machine yangu. Aksanteni
  15. Mbonea

    Wadau, Naombeni Naombeni ESET Smart Security 5 Key

    Thank you... Nilishatumia free trial ila nilikuwa naomba kama kuna mwenye ya mwaka mzima au hata miezi sita anipatie
  16. Mbonea

    Wadau, Naombeni Naombeni ESET Smart Security 5 Key

    Mkuu, nimejaribu ila Nod ika-block isiingie... i guess imeditect virus in it.... what should I do?
  17. Mbonea

    Wadau, Naombeni Naombeni ESET Smart Security 5 Key

    Sawa Chief, nafanya hivyo sasa hivyi.
  18. Mbonea

    Wadau, Naombeni Naombeni ESET Smart Security 5 Key

    Wadau wenzangu, naomba msaada wa kupata key za NOD32/ESET Smart Security 5 ili ni update machine yangu. Aksanteni
  19. Mbonea

    Mrisho Mpoto ana kesi ya kujibu

    Hahahaaa.... Wakenya kiboko! kipindi kile Babu wa Samunge alivyokuwa anatoa "dawa" yake, walitoa matangazo watalii washukie kwao kwa sababu yule babu yuko kenya.... inshort waliokuwa wakifika wanashukiakenya then wanasafirishwa mpaka kwa babu ilihali entrance fee zooote zinaishia kwao.
Back
Top Bottom