Search results

  1. J

    Eneo la Selander Bridge limekuwa ni makao ya wauaji

    Jamani Bongo inatisha,na siyo hapo tu ni ukanda wote wa Ocean Road kuanzia Ferry hadi Agakhan Hospital,usidhubutu kushuka kama utapata tatizo kwenye gari na hata kama unatembea kwa miguu pia,kuna vijana hujitokeza wakitembea kujifanya kama wanaelekea uelekeo wako na hata sometimes opposite...
  2. J

    Nauza modem ya evdo ya sasatel

    Wonderful!,umesema imetumika kwa 3 weeks only!,at the same time unasema hujaitoa kata kwenye karatasi which is which?.Jamani Blog hii haijaruhusu kutapeliana mbona,matapeli wote ni sehemu ya mafisadi.
  3. J

    Camera na simu vinauzwa

    Duu!!,huu sasa ni uhuni,mambo ya biashara wala hayaendi hivyooo!!!!.
  4. J

    Makamba aanza rasmi kuwapigia debe watoto wake ubunge

    Damu nzito kuliko majiiii!!!!,tunachoangalia hapa ni uwezo,sasa yeye asidhani kuwa wanawe wana uwezo zaidi ya kuliko waliopo,waanze chini hukooo kwanza sio wanaibuka tuuu!! huo utakuwa ni ufisadi.
  5. J

    Msiba: Charles Masanja hatunaye

    Hakika Bwana alitoa na bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe!!.
  6. J

    yoyote yule anayatake ni mtengeneze computer yake

    Sawa,lakini sijaona namna ya kukupata!hebu nielekeze namana ya kukupata kwa means yoyote!.
  7. J

    Wanafunzi wanaswa wakifanyiana mitihani IFM

    Duuh huu sasa kweli upumbavu,kuanzia Frank Kaduma pamoja na washiriki wake,vimini vitawaponza watoto,mabinti wengi wa IFM wanachanganya watoto,baba zao n.k. Mtu mwenye akili zako huwezi kukubali kumfanyia mtu ona sasa mnavyodhalilika.Frank kimemponza kimini,IFM wanatega saaaaaaaaaana,shauri zenu.
  8. J

    Pambanua

    Huu ni msemo kama mingine!,mbona wataalamu wanasema binadamu wa kwanza fuvu lake limepatikana Tanzania Kule Arusha je lilikuwa la mweusi au mweupe?.Lilikuwa la Mkristo au Mwiislamu????? inakaaje hiyo!.
  9. J

    Kesi ya Abdallah Zombe: Mashitaka, hatia, hukumu na yanayojiri

    Binadamu tunacheza na mungu,lakini ole wao kama ni kweli waliua na sasa wako huru,basi mungu atahukumu kwa haki na wala si wa haraka,yatima walioachwa wameumbwa na mungu na watahangaika kwa kadri shetani atakavyoona inafaa,lakini jicho la huruma la mungu litaona na litajibu.
  10. J

    MIKUTANO YA SHULE NA WAZAZI (St.MARY's International school)

    Jamani naomba tuongelee hili la shule ya mama RWEKATARE kule Mbagala,mbona hakuna mikutano ya wazazi?,mwanae Rose ameanzisha duka pale na kuuza chocklate watoto wana shuka sana kielimu maana watoto muda wote wanafikiria ice cream na chocklate tu!.
  11. J

    Mchungaji Lwakatare Arudisha Yatima 250 Kwao

    Mimi sina tatizo kabisa na huyu mama,ni mama jasiri na anyewawezesha watu watu wazima na vijana,pia ni mama mbunifu na mjasiria mali kwelikweli.Matatizo niliyoshuhudia mwenyewe ni matatizo ya kiutawala tu na hasa pale shuleni kwake Mbagala St'Marys School,Utawala wa pale unanitia wasiwasi kwa...
  12. J

    Waraka maalum kwa Wakristo Zanzibar (?)

    Poleni sana mlioandika waraka huu!!!,Unajua tumeuzoea usemi usemao "Wanao kaa pamoja ndio wanaojuana,kama si kwa lugha basi kwa matendo hata kwa ishara tuu. Ukisoma waraka huu kama wewe ni mkristo utajua wazi kwamba waraka huu umeandikwa na mtu asiye mkristo yaani aidha mpagani au dini...
  13. J

    Gazeti la Jambo Leo... Vituko vitupu!

    Hili ndio tatizo la baadhi ya watanzania na hasa ambao ustaarabu kwao ziro!,maendeleo ya wenzao kwao shida,hii ni hatari sana!!. Elimu ya darasani haina maana ndio kuukata katika maisha!!!.
  14. J

    Gazeti la Jambo Leo... Vituko vitupu!

    Hili ndio tatizo la Mtanzania,mwenzako anaanzisha kitu kwa faida ya watanzania wewe unaanza kumpekua badala ya kumpongeza,ni upotofu wa akili ati kumchambua mtu hata kwenye spelling,this is not fair at all!,kwani unasahihisha mitihani hiyo?. Kufanya kosa sio kosa ila kurudia kosa ndio...
Back
Top Bottom