Search results

  1. kichwa kikubwa

    Watalaamu tupieni maoni basi! Neno sahihi kati ya "hicho" na "hiko"

    Mambo vipi wakuu! Siku za hivi karibuni nilimsikia mtangazaji mmoja wa radio flani akizungumzia chuo flani huko mkoani Kilimanjaro. Neno alilokuwa akitumia ni "hiko" (tofauti na wengine niliozoea kuwasikia wakitamka "hicho"). Mtangazaji huyo alikuwa akitamka " Mkuu wa chuo hiko amesema...
  2. kichwa kikubwa

    Nahitaji kujuzwa, shule za vipaji maulumu ni zipi hizo?

    Nimeona taarifa hiyo hapo chini katika tovuti ya Tamisemi, ikisema wale wanafunzi 48 waliopata Div III walitakiwa kurudishwa kwenye shule za kawaida za A-level kwa kuwa hawastahili kupata Div III katika mitihani yoyote ile-iwe ya ndani ya shule au ya nje ya shule, kwa jinsi nilivyoelewa Mimi...
  3. kichwa kikubwa

    Wakati mwingine maisha ya ndoa siyo kabisa, hususani usipochanga karata zako vizuri.

    Duh! Inasikitisha sana. Chukulia kwamba enzi hizo ulikuwa ukisaka mke, hatimaye ukamuona binti ambaye kwa akili yako na moyo wako uliamini yeye ndiye tumaini la maisha yako, yeye ndiye haswaaa ktk safari ya maisha yako (yaani mke stahili kwako). Bila kusita ulimuelewesha, naye (binti) akakubali...
  4. kichwa kikubwa

    Sababu ni ipi katika utofauti wa madaraja ya ufaulu ilhari wote wana-points sawa?

    Wanataaluma wote salama? Nimeona matokeo ya kidato cha sita (mtihani wa taifa) mwaka 2007 shule nyingi tu, ambapo unakuta wanafunzi wa shule moja wanakuwa na points za ufaulu zinazofanana lakini madaraja ndiyo tofauti. Nimechunguza shule zaidi ya kumi naona hali ni hiyo hiyo, mojawapo ni shule...
  5. kichwa kikubwa

    Je; ni muhimu au ni lazima kuoa ukiwa umepata ajira?

    Wana JF habari zenu! Hii mada inawahusu wanaume ambao diyo wanaonekana kama waanzisha ndoa. Je, ni muhimu au lazima kuoa pindi tu utakapopata ajira? Nauliza hivi kwa kuwa wanaume wengi ambao bado wanakuwa wako singo (kuanzia miaka 28 and above) wanalaumiwa sana kwamba ni wazembe katika...
  6. kichwa kikubwa

    Kati ya Arusha na Mbeya, ni mkoa upi wenye baridi sana/Kali?

    Nawaulizeni swali hilo kwa kuwa kuna ubishi hapa ninapoishi. Kwamba Kuna wengine wanasema Arusha haifui dafu kwa Mbeya, wengine wanasema Mbeya haifui dafu kwa Arusha. Binafsi nilijaribu kuwaeleza kwamba Mbeya ni kiboko ktkt majiji yote, lakini wenzangu wamenibishia. Je; wewe kwa uelewa na uzoefu...
  7. kichwa kikubwa

    Chuo gani Tanzania kinachotoa walimu wazuri kitaaluma?

    Wakuu, Binafsi ninaguswa na mijadala ya mustakabali wa elimu yetu nchini. Kila aina ya watu wanajitokeza na mitazamo yao juu ya hali ya elimu kwa sasa; wapo wanaosema tatizo ni serikali yenyewe (hususani kipindi hiki cha Sera ya elimu bure), wapo wanaosema tatizo ni wanafunzi, wengine tatizo...
  8. kichwa kikubwa

    Je, ungekuwa wewe ungefanyeje?

    Mambo zenu. Haya sasa toa maoni yako hapa. Wewe ni mwanachuo wa chuo x. Unafahamiana na binti mmoja wa chuo hicho hicho (chuo x), kwa bahati nzuri wote mnajikuta mko program moja (tuchukulie B.arts with education). Mara unajikuta umependezwa na huyo binti ktk mahusiano, unadhamiria kuja...
  9. kichwa kikubwa

    Mahusihano kati ya introvert VS extrovert.

    Ndg wanajamii habar zenu! Natumaini kuna wazoefu wa mahusiano ya aina mbali mbali (mahusiaono ya mume na mke] humu. Binafsi sijawa mzoefu wa kujua maisha ya mahusiano kati ya mpenda kuongea sana ama kwa jina lingine mcharuko (extrovert] na mwingine Si mpenda kuongea ongea {introvert}; Je kwa...
  10. kichwa kikubwa

    Tofauti ya adobe Photoshop na adobe photostudio.

    Naombeni utofauti wa prgamm hizo mbili ktk matumizi. Naamini kuna watu wengi humu wamekwishazitumia.
  11. kichwa kikubwa

    Mwenye software ya oxford english dictionary

    Tafadhali naomba msaada wa software ya oxford advanced learner english dictionary. Kwa matumiz ya kwenye kompyuta.
  12. kichwa kikubwa

    Kuoa dini tofauti

    Salamu kwenu! Tukiwa katika mapumziko ya maulidi kwa upande wa Waislamu; na pia katika hatua ya kuifikia sikukuu ya chrismass hapo kesho. Kuna suala nahitaji kujua kwa upana zaidi juu ya matokeo yake ktk ndoa kwa kuoana dini tofauti; Mf:baba ni mkristo na mama ni muislamu. i/Je;kiwango cha...
  13. kichwa kikubwa

    Tatizo la MBs kuwahi kuisha

    habari zenu nyoote! kwa mujibu wa kichwa cha habari hapo juu;Nahisi kuna tatizo ktk settings za kompyuta\laptop. Ni kwamba MEGABYTES zinawai kuisha fasta,naomben msaada wa kiufundi. Chief-Mkwawa
  14. kichwa kikubwa

    Ant-virus ya window 8!

    Ni ipi ant-virus inayostahili kati ya unazozijua wewe kwenye window 8?
  15. kichwa kikubwa

    Kutuma ujumbe wa kielectronik kutoka Jamiiforums

    Hamjambo! Rejea kichwa cha habari hapo juu, napenda kujua kama kunauwezekano wa kutuma UJUMBE WA FARAGHA {private message} kwa kutumia akaunti yangu ya humu jamiiforums kwenda kwa mtu mwingine wa akaunti ya Google,yahoo,microsoft n.k. Je,kwa mnaoelewa hii inawezekana? Natanguliza shukrani...
  16. kichwa kikubwa

    Lugha ya kiingreza katika kufundishia darasani

    HABARINI WANATAALUMA: Leo tuzungumzie lugha ya kingreza ktk kufundishia darasan HUSUSAN SHULE ZA SEKONDARI, sote tukitambua ya kwamba imekuwa ni changamoto kubwa kwa wanafunzi na walimu ktk kuitumia kwa USAHIH\UFASAHA na kwa UKAMILIFU mkubwa. Maswali: tunapoitumia kama lugha ya kufundishia...
  17. kichwa kikubwa

    Mkoa unaoongoza kwa kutoa wasomi wengi Tanzania

    Salaamu kwenu wajuzi: kwa mara nyingine najitokeza kwenu kupeana ujuzi, kubadilishana mawazo,maarifa nk; ambapo ni muhimu kwa kila mmoja wetu kuweza kufaidika na elimu {ufahamu} tunayopeana. Hoja yangu inajikita ktk kufahamu mkoa unao ongoza kwa kutoa wasomi wengi zaidi hapa nchini tanzania...
  18. kichwa kikubwa

    Msaada wa jinsi ya ku-activate window 8

    Habar zenu wandugu: Nina pc yangu kwa mda wa mwezi mmoja sasa, niliweka window 8 software, lakin kwa mda wa wiki moja sasa imekuwa ikiniambia "ACTIVATE WINDOWS" 'go to pc settings to activate windows' nimejaribu kuangalia hizo settings lakin sijafanikiwa, pia nimejaribu kuingia kwenye...
  19. kichwa kikubwa

    Nafasi ya lugha ya Kiswahili kimataifa

    mambo zenu wakuu: samahan kwa mnaofahamu,napenda kujulishwa kwamba: je; kiswahili ni cha ngapi katika lugha za kimataifa?; na je, inawatumiaji wanaokadiliwa kufikia wangapi duniani? pia maeneo ya nchi ambayo yanajifunza\fundisha kiswahili {ukiacha nchi za afrika mashariki} ni nchi zip hizo...
  20. kichwa kikubwa

    Wanaohitimu MUCE na DUCE

    Habar zenu wakubwa! Samahan naomba kuwaulizen, il nipate kufahamu. iv kwa wanachuo wanao hitimu shahada za elimu {bachelor of education} katka vyuo vishiriki vya UDSM-yaan MUCE na DUCE, Je; nao pia uhesabiwa ni wahitimu wa chuo kikuu cha dar-es-salaam?. naomba kujua tafadhali.
Back
Top Bottom