Uzuri wanaotaka kumtunuku UTAKATIFU ni wasomi zaidi yako, wanayajua mengi (ya Nyerere) zaidi yako; aidha Kwa maslahi yao au maslahi ya wengi (ukiwemo wewe). Deal likitimia nafikiri utaendelea na huzuni zako mpaka uugue shinikizo la damu.
Navyosema una chuki binafsi ni Kwa sababu kinacho umiza...
Chuki binafsi dhidi ya Nyerere ndiyo ninayoiona hapa. Mleta mada ana kihoro na Nyerere (na pia masalia ya Nyerere): aidha ulishafanyiwa figisu na Nyerere katika madaraka yako au masalia ya Sasa ya Nyerere ndiyo yamekulalua haswa kiasi Cha kuanzisha Uzi kama personal attacks Kwa muhusika/wahusika.
Dikteta uchwala hana sifa za kukumbukwa.
Tanzania ni kubwa kuliko Dikteta wa "mchongo", kamwe hawezi kutupotezea muda wetu wa kuendelea kumkumbuka Kwa maovu yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.