Search results

  1. kijana13

    Naibu wa Rais Rigathi Gachagua awahi ofisini saa 11 alfajiri kwa siku ya 3 mfululizo

    Yeye anawahi asubuhi Sana zile siku za maandamano..Hana la maana zaidi ya kupanga kutukana uhuru kila siku na kutuma watu wakaharibu Mali za uhuru... Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  2. kijana13

    Sasa hivi nguo za mitumba na Viatu bei chee Karume hamfuriki Kununua, ila Sikukuu zikikaribia tu mnaanza 'Kulialia' na kutia Huruma

    Umeona hizo nguo hapo chini huyo anauza elfu kumi na Tano kila moja (15,000). Ukienda machimbo ya karume na ilala hizo nguo ni Tsh 2,000 ,2500 ikizidi Sana 3,000..imagine badala kupata nguo sita unapata huku mtaani nguo moja ..majakets wanauza mtaani 20,000 Hadi 30,000 kule ni sh 5,000 tu...
  3. kijana13

    Kwanini wanawake wa Kitanzania wanadharau za kijinga?

    Niko platform Moja ya mazoezi inajumuisha nchi nyingi Sana duniani....wanawake wengi wa mataifa kama south Africa , Kenya, ulaya na america yaani wana socialize vizuri Sana...ukija wabongo Sasa kwanza ni fully kichefuchefu kwanza wanaringa , hawako social kabisa na wanajudge watu Sana kwa...
  4. kijana13

    Mabinti wenye umri wa kuolewa na hawajaolewa wafukuzwe nyumbani haraka

    Mabinti wengi hawana sifa ya kuolewa .. shughuli Yao kubwa ni kudanga....udangaji unafanywa na mabinti wa aina na rika zote ...Kuna siku moja asubuhi nilikuwa na kazi ya kitaaluma lodge Fulani ..so nlishinda kuanzia asubuhi Hadi jioni Kwa siku kadhaa ...kitu nilichokiona nkaacha kuamini wanawake...
  5. kijana13

    Daktari wa Saikolojia Radio One: Mwanamke akisaliti anakosa Amani na Anajishtukia ndani ya Siku 92

    Sio wanawake wa kizazi hiki ...wengi ni makauzu hatari....hakuna Cha kujishtukia hata chembe .... Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  6. kijana13

    Ruto, Raila kuelekea Jumatatu, Tanzania tuna mengi ya kujifunza

    Rutto asijifanye jeuri itamtokea puani...odinga is powerful...wiki ijayo maandamano yakiwa huru bila polisi kuzuia itakuwa ni maandamano makubwa kutokea Africa mashariki Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  7. kijana13

    Serikali kurejesha hoteli zake zinazoendeshwa na sekta binafsi ili kuboresha huduma

    Hivi ilo gofu hapo near posta office or ppf tower kulikoni ...maana miaka nenda Rudi liko ivo ivo ..hata mwekezaji hakuna au kuna mgogoro? Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  8. kijana13

    Baada ya miaka 7 Msama aibuka tena na Tamasha lake la Pasaka mwaka huu ni maalum kwa Rais Samia!

    Kama ni kweli juu yake yaliyosemwa na Rose mhando basi huyu jamaa ni ibilisi aliyejificha kwenye dini....huwezi ukawa unafanya uovu namna Ile halafu unaandaa tamasha la dini... Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  9. kijana13

    Waziri Mabula: Hatuhitaji miji iliyojaa fremu za maduka. Mipango miji izingatiwe

    Fremu saiv kama uyoga baadhi ya maeneo..wenye nazo wanasema zinalipa Sana tu Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  10. kijana13

    Gharama za ujenzi wa Barabara ya Njia 8 Kimara - Kibaha zapanda kutoka Bilioni 141 hadi Bilioni 218

    Hivi huwa najiuliza njia ya mwendo Kasi kutoka kimara Hadi mbezi mwisho huwa inashinda gani kuanza kutumika.maana zaidi ya miaka miwili Iko ivo vo...naona imejaa michanga, nyasi zimeota na Kuna sehemu zingine ni kama dampo kabisa.....SHIDA NINI HASA HAIJANZA KUTUMIKA? Sent from my Infinix X657...
  11. kijana13

    Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Nenda Yale maduka ya vifaa vya umeme pale near narungombe uliza duka la kitenge hapo utapata products za tronics Bei nafuu kabisa za jumla.. Achana na mambo ya Facebook na Instagram Kwa mizigo ya jumla... seriously seller hawanaga mpango wa kuwa huko...
  12. kijana13

    Nimemla shemeji mke wa kaka yangu baada ya kaka kwenda London

    Acha kushinda unaangalia movie za kinigeria... Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  13. kijana13

    Kinachotokea Afrika Kusini na Kenya inaweza kuwa sawa na Arab Spring kwa nyingine za Afrika

    Serikali ya Kenya Bora ingeacha waandamane kwa Amani...saiv ni fully battle polisi na raia...naangalia hapa citizen kibao kimegeuka polisi Kuna mahali wamechezea kichapo Cha mbwa Koko ... Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  14. kijana13

    Big Brother Titans (South Africa vs Nigeria)

    Yaani Tsasi Mungu wake mkubwa ila Yuko so innocent kama EBUBU na Justin Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  15. kijana13

    Big Brother Titans (South Africa vs Nigeria)

    Miracle op alibebwa sana na khosi Nana alibebwa sana na Thabana Blue eiva alibebwa sana kanaga.. So..ukiangalia views wengi wanawapenda sana Khosi , Thabana na kanaga...naukakika watabaki Hadi final ila naona hawatashinda... Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  16. kijana13

    Big Brother Titans (South Africa vs Nigeria)

    Labda yule demu white mnigeria...ukiangalia maoni ya watazamaji khosi, kanaga na Thabana hao wasingetoka maana views wengi wanawakubali sana Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  17. kijana13

    Big Brother Titans (South Africa vs Nigeria)

    Ukiangalia big brother hii wanaotoka saiv hawakuwa compitant ila walibebwa toka mwanzo na wenzao waliokuwa couple/team Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  18. kijana13

    Big Brother Titans (South Africa vs Nigeria)

    Kanaga is smart toka anaanza sitarajii Kabisa kutoka... Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  19. kijana13

    Big Brother Titans (South Africa vs Nigeria)

    Amekuwa na kisirani almost the week fully bad mood and harsh kuanzia challenge, kwa big Hadi Kwa wenzie..Bora alivotoka ... Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  20. kijana13

    Big Brother Titans (South Africa vs Nigeria)

    Eviction ya leo niliitarajia sana...na waliotolewa it's fair kabisa... Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom