Search results

  1. Seneta Wa Mtwiz

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wewe asali yako itakuwa kwenye taasisi mkuu, sio ya halmashauri.
  2. Seneta Wa Mtwiz

    Kwa comb ya HGL Chuo naweza kusomea nini?

    Kwa ufaulu wako, nadhani Dental Surgery itakufaa zaidi mkuu.
  3. Seneta Wa Mtwiz

    Mwanamke akikuambia jambo litafakari kwa umakini sana

    ACHANA NA MAZA, KWENYE MICHANGO TIMAMU NA YA MAANA MSHIRIKISHE FAZA.
  4. Seneta Wa Mtwiz

    Niko njia panda katika maamuzi yangu na wazazi wangu, wanataka nijiendeleze kielimu

    DAAAAAAAH!!!! Mzee amekaza sana, hadi OPEN anaiita MEMKWA!!!
  5. Seneta Wa Mtwiz

    Mzazi asiyejielewa ndiye atampeleka mtoto wake Pre-form one

    Mkuu, ada ya pre-form one ni Sh. ngapi hapo kituoni kwako?
  6. Seneta Wa Mtwiz

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    [emoji3516] Hawatuvurugi mkuu, Bali wanatupa mzuka.
  7. Seneta Wa Mtwiz

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    [emoji3516] Acha kuwatisha wenzio!!!
  8. Seneta Wa Mtwiz

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Taasisi gani mkuu? Mshahara wanalipwa?
  9. Seneta Wa Mtwiz

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkuu, Endelea hukohuko uliko.
  10. Seneta Wa Mtwiz

    Ushauri: Mawazo ya biashara kwa mtaji wa Tsh. Milioni 2

    Mwaka UHU utatoboa kwenye biashara ya electronics mkuu mwaka UHU.
  11. Seneta Wa Mtwiz

    Ushauri: Mawazo ya biashara kwa mtaji wa Tsh. Milioni 2

    Mkuu, Una uhakika kuwa umemaliza UDSM mwaka UHU??
  12. Seneta Wa Mtwiz

    Ushauri: Mawazo ya biashara kwa mtaji wa Tsh. Milioni 2

    Nasisitiza mkuu, Chukua ushauri wowote ufaao, Ila sio wa kuhama mjini. Nisikilize mimi.
  13. Seneta Wa Mtwiz

    Ushauri: Mawazo ya biashara kwa mtaji wa Tsh. Milioni 2

    Chukua ushauri wowote ufaao, Ila sio wa kuhama mjini.
  14. Seneta Wa Mtwiz

    Information Technology vs Computer Science

    Hizi nd'o kozi za kukuepushia njaa za hovyo mkuu.
  15. Seneta Wa Mtwiz

    Kati ya information technology na accountancy nichukue hipi?

    KWA KOMENTI HII, UZI UFUNGWE. IMEMALIZA KILA KITU.
Back
Top Bottom