Search results

  1. GEOMO

    Aliyekuwa Mrakibu wa Polisi, Kinondoni akata rufaa dhidi ya hukumu yake ya kunyongwa hadi kufa

    Kwanini itolewe adhabu ambayo inawafanya wengine ndiyo wajifunze kama kweli kuna kujifunza badala ya mkosaji? Kwani yeye hastahili tena nafasi ya kujutia na kujirekebisha? N kama adhabu hiyo inawafanya wengine wajifunze mbona yeye hakujifunza kabla? kwani hakuna walio wahi kuadhibiwa kwa adhabu...
  2. GEOMO

    Aliyekuwa Mrakibu wa Polisi, Kinondoni akata rufaa dhidi ya hukumu yake ya kunyongwa hadi kufa

    Binafsi SIWEZI kushangaa wewe kuwa na maoni tofauti na ya kwangu maana natambua kila mtu ana utashi na fikra huru juu ya jambo au mtazamo fulani. Soma tena ulichokiandika kisha ukizidishe japo mara tano tu alafu ujiulize kwa mtindo huwa itakuwa inazalishwa jamii ya watu gani? Kuhusu maoni yangu...
  3. GEOMO

    Aliyekuwa Mrakibu wa Polisi, Kinondoni akata rufaa dhidi ya hukumu yake ya kunyongwa hadi kufa

    Adhabu hii ya kunyonga hadi kufa ni kiashiria kingine cha kupuuza utu wa mtu wala si kwamba inawafanya wahukumiwa kujutia makosa yao au waliobaki kuogopa kutenda makosa kama hayo.... Na ndiyo maana bado tunaendelea kusikia visa vya mtu kutekeleza mauaji ya watu kadhaa kwa sababu za kipumbavu...
  4. GEOMO

    Kufungua community based organization (NGO) Tanzania

    Mkuu aksante sana umetoa mwanga kwa wengi wenye uhuitaji ubarikiwe
  5. GEOMO

    Brother Mo Dewji, seriously??

    Siku zote ukiwa mbaguzi utatizama kila jambo kibaguzibaguzi tu!. Na usipoona viashiria vya ubaguzi kwa kuwa wewe mwenyewe ni mbaguzi, basi vile vimelea vya ubaguzi vinaweza kukusukuma Katika kujibagua.
  6. GEOMO

    Sakata la Ndege: Uchambuzi na maswali ya Zitto juu ya Ripoti Maalumu ya Gazeti la Jamuhuri

    Na Kama inapunguzwa bei mpaka kufikia $150m iweje na kwa hesabu Zipi $67m iwe ni 30% ya $150m!!?
  7. GEOMO

    Milinga: CCM haitumii miujiza kutawala; ashangaa Mbowe Div.O kuongoza PhD kimiujiza!

    Husein Bashe ni mbunge wa kuchaguliwa. Na Goodluck ni wa KUCHAGULISHWA. tofauti zao zinaanzia hapo na kamwe hawawezi kulingana na wala hawastahili kulinganishwa.
  8. GEOMO

    Milinga: CCM haitumii miujiza kutawala; ashangaa Mbowe Div.O kuongoza PhD kimiujiza!

    Ogopa Sana vitu vya rambirambi huwa Vina laana yake
  9. GEOMO

    Walokole, Wapentekoste na wasabato hupata wapi majina ya kubatiza watoto wao?

    Haukufundishwa wala Kuelewa falsafa ya kutokea kwa Musa na Eliya Katika mlimani ule wa maombi, Ila ukakaririshwa kuwa marehemu wanaweza kukuombea.
  10. GEOMO

    Mahojiano na Kafulila yafutwa Clouds TV

    Binafsi ntakuwa mtu wa mwisho kuamini kwamba huu haukuwa mpango mkakati wa Kituo kupitia kwa uongozi wake. Na hii inaweza kuwa ni ishara tosha kukujulisha kuwa Kituo hiki kinatumika vibaya na kundi la watu wachache Wenye malengo yao maalumu
  11. GEOMO

    IRINGA UNIVERSITY WASALITI.

    Huo utimamu wa akili unao uzungumzia wewe unapimwa kwa misingi ipi hasa!? Yaani Unaona mtu aliyejitolea kufichua uovu siyo timamu kiakili kweli!!? You can't be serious. Na Kama walichofanya kilikuwa sahihi Mbona walikimbia na kuondoka shuleni hapo!? Waalimu katiri kiasi hicho unategemea...
  12. GEOMO

    IRINGA UNIVERSITY WASALITI.

    Sasa wewe ulitaka ifichwe ili iwe nini na kwa faida gani hasa!? Huyu alikerwa na uhuni ule na akachukua hatua wewe unatetea!? Au ulitaka awe Kama yule Mwalimu aliyetoa ushahidi wa kuwa alikuwa akipewa pesa ili awapeleke watoto wadogo wanafunzi wake kwa watuhumiwa wa kesi ya urawiti na...
  13. GEOMO

    Tuliaminishwa na Media kuwa Bakhresa anakwepa kodi kumbe upotoshaji baada ya kauli ya Rais

    Watu wengi na viongozi wao huwa wanaongea kwa mihemuko Juu ya mambo wasiyoyajua wala kuyafanyia utafiti. Bhackresa na makampuni mengine mengi ya watanzania wazalendo waliitwa wakwepa kodi kipindi kile cha taharifa ya sakata la upotevu makontena bandarini. Mamlaka ya Bandari TPA walitaka...
  14. GEOMO

    TAFFA yawakataa mawakala wa forodha kutoka Rwanda kuja Tanzania kufanya kazi

    Walianza kwa kufanyia assessment kwao huku wanakuja na release wanaona haitoshi,wakaweka utofauti kwenye cargo transportation bado hawakutosheka sasa wanataka waje kufungua office zao hukuhuku!? Hii sasa inareflect kile kisa cha tembo na ifadhi ya mvua
  15. GEOMO

    Treni za mjini ndani ya addis ababa ethiopia

    Tatizo linaanzia pale waleta hayo yanayoitwa maendeleo na wajenzi wa hiyo miradi ya maendeleo wanapotumia miradi Husika kama kivuli cha kuvushia migao yao. Mtu anaingia mkataba wa kuifilisi nchi alafu nchi anayotoka mwekezaji huyo inatoza Mkopo kwa ajili ya kuwajengea uwanja wa ndege wa kisasa...
  16. GEOMO

    Hivi kuna mwanamke maskini kweli?

    Hii ni kutokana na uzoefu au!?
  17. GEOMO

    Serikali ya Magufuli kutoza VAT kwenye "on transit goods" ni aibu na fedheha!

    Kubuni tukio ili kujenga hoja Si tabia ya kiungwana. Hiyo vat unayosema umeanza kutozwa toka July2015 ipi!? Na ni kwa mzigo wa transit!? Au unacheza mdundo tu bila kujua mashairi yanamaanisha nini!?
  18. GEOMO

    Serikali ya Magufuli kutoza VAT kwenye "on transit goods" ni aibu na fedheha!

    Huo ufafanuzi wa kwamba mzigo Ukiisha kuvuka Mwenye Mali atadai kodi aliyoitoa unautoa wewe Au!?? Maana kwenye sheria ya makusanyo Yaani bajeti halijazungumzwa hivyo Au kuna yaliyoachwa ili kuja kuyatolea ufafanuzi
  19. GEOMO

    Serikali ya Magufuli kutoza VAT kwenye "on transit goods" ni aibu na fedheha!

    Hivi visingizio vya kukwepa kujibu hoja kwa Kudai watu wanatumiwa ni vya kizembe. Kama tunahitaji kuongeza mapato ya bandari tubadilishe tariffs na rates tu siyo kutoza VAT tunachafua na kufukuza Wateja. Alafu hata hivyo Si kwa kustukizana namna hii. Ndani ya siku tatu tu umeanza kutoza kodi...
  20. GEOMO

    Serikali ya Magufuli kutoza VAT kwenye "on transit goods" ni aibu na fedheha!

    Kama hivyo ndivyo basi kodi hiyo haina adhi ya kuitwa VAT. Maana vat ikiwa na mlaji wa mwisho mtoa Huduma ni Wakala wa ukusanyaji tu
Back
Top Bottom