Search results

  1. B

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Habari wadau Mimi leo naomba tujiulize kwa pamoja hivi raia wanateseka kwa usafiri monopoly wa mwendo kasi ni kwa faida ya nani ,magari yaliyopo yanamudu kuchukua abiria wachache kwenye vituo vikubwa kama vile mbezi mwisho na kimara mwisho ,kwingineko mtu unakaa kituoni masaa matatu ,unachoona...
  2. B

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Habari viongozi Nashauri mtafute njia mbadala ya kuwasaidia abiria wa vituo hivi vya katikati kama bucha baruti kona na baruti maana unakuta mtu anakaa kituoni masaa mawili hadi aanamua kutoka kwenda kutafuta njia nyingine na nauli hairudi hili mliangalie Kingine cha kusikitisha magari sasa...
  3. B

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Ushauri kwenu wakubwa ,ikiwezekana muwaambie wananchi baadhi ya vituo asubuhi muda fulani hadi muda fulani havitakuwa na huduma ,mmejimilikisha huduma ambayo kuna muda hamuwezi kukidhi mahitaji ya wateja hii sio sawa, inafika hatua mtu anakaa kituoni hadi anaamua kutoka kwenye kituo ili aokoe...
  4. B

    Vijana wa Arusha kuuona uhuni na usela ni ujanja kunazidi kulitafuna jiji, usalama umepungua, maadili yameshuka, serikali haina msaada

    Mwanadam hasikii asichoelewa ndio maana wewe unaona ni lifestyle mbaya wao wanaona ni ujanja ,kama vile wachawi wewe utaona ni ujinga kuacha mambo yako ukaanze kuroga watu ila wachawi wao wanaona kwao ni ujanja na wanaenjoi tu, maisha ndivyo yalivyo .
  5. B

    SI KWELI Mama anayenyonyesha akifanya mapenzi anaweza kumdhoofisha (kumbemenda) mtoto

    Mshana jr Upo Sahihi japo ni ngumu kuthibitisha kwasababu sayansi ya kiimani inahitaji jicho la tatu kuthibitisha jambo ambalo ni gumu kwa kuwa hilo jicho la tatu lenyewe huwezi kulithibitisha, lakini kuna ukweli nadhani 70% katika unachosema , mfano ni pale unaposema mke na mume ni mwili mmoja...
  6. B

    Haya ni matokeo ya Rais Samia kumpa nguvu CAG na uhuru wa vyombo vya habari

    Uwazi kama huu na hatua kali zikichukuliwa ikawa fundisho tunaweza kupiga walau hatua moja mbele maana tumechezewa vyakutosha Sisi tunahitaji viongozi wasio na huruma wala haya(aibu) na majizi kama haya MUNGU IBARIKI TANZANIA ,MUNGU WABARIKI VIONGOZI WOTE WAADILIFU
  7. B

    Kingetokea nini kama viongozi wa Tanzania wangefuata ushauri wa bwana yule

    Mtu akimponda JPM nazikumbuka speech za professor Lumumba pale udsm
  8. B

    Kingetokea nini kama viongozi wa Tanzania wangefuata ushauri wa bwana yule

    Huo ni ukweli mchungu ambao hata uupinge hakipungui chochote ,vumilia tu kwani sasa tumerudi kwenye zama zile za zamani
  9. B

    Je, ni vyuo gani vinaongoza kwa kutoa wasomi walioiva vizuri Tanzania?

    Uwezo Wa mwanafunzi na uwezo Wa chuo wakati mwingine ni vitu tofauti unaweza soma chuo chenye sifa kubwa lakini uwezo wako ukawa Mdogo kuliko aliyesomea chuo cha kawaida tumeshuhudia katika mazingira ya kawaida tu msomi anaishindwa kazi anakuja kuifanya mtu ambae elimu yake ni ya kawaida sana
  10. B

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tatizo letu Kwa huku kimara Baruti hadi kilungule kumekuwa na tatizo la low voltage Kwa miaka mingi sana kiasi kwamba wakati mwingine nyakati za jioni utakuta nyumba yako haina Umeme jirani yako unawaka nyumba tatu unawaka nyingine hauwaki ni shida sana kama kweli mnajali wateja wenu tatueni...
  11. B

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kusema kweli Tanesco mpo kwasababu hamna mpinzani lakini kungekuwepo na hata kijikampuni kidogo kikatoa huduma nzuri Tanesco ingefutika Mwenye uso Wa dunia yaani mnachukiza kama aanavyochukiza ibilisi
  12. B

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Inahuzunisha Sana mimi nikiwa Mteja tena wa miaka mingi nipo gizani leo siku ya tatu tena hapahapa mjini dar ,ninashida Mita yangu imetemper wakati naingiza token, sipati picha shida hii uipate kijijini nadhani utasahau na umeme wenyewe,naomba Sana tanesco hata kama hamna mshindani muwajali...
  13. B

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari wadau na watumishi Wa Tanesco Mimi ni mkazi wa baruti maeneo ya daraja la bajaji kuelekea kilungule njia ya umeme inayoanzia pale baruti hadi kilungule kila Siku inamatatizo ya low voltage kisha umeme kukatika na kurudi inaweza chukua hata siku mbili tupo gizani . Sasa mimi nina maswali...
  14. B

    Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar yazikwa

    Wewe msemajiuongo so msemaji kweli kama huna cha kuandika tulia, umetolewa ufafanuzi wa kisheria na were Njoo kisheria sio kumwaga povu
  15. B

    The English of President Magufuli of Tanzania

    Kujua lugha za watu wengine ni vyema lakini sio za kujivunia, ukimuona mtu anajivunia lugha za watu wengine ujue hajakombolewa kifikra
  16. B

    HomeShopping: Namna walivyokuwa wanapiga Madili Bandarini Pasipo Kulipa Kodi

    Wameficha hela kama vp jela na kazi ngumu,napendekeza hiyo mahakama ya mafisadi ije haraka, ee mola mbariki na umlinde rais wetu, ibarirki Tanzania
Back
Top Bottom