Search results

  1. nkumbison

    Nini Matumizi ya High Power Clipper B/G/N USB Adapter

    Naomba msaada wakufahamu ni nini kazi ya hiki kifaa na namna kinavyotumika. Nimejaribu kuelewa lakini nadhani lugha imenichanganya kidogo huko mitandaoni. Kuna mtu kaniletea ajue kazi yake kanikuta na mimi sifahamu Sina camera nzuri, ila kina antena mbili na kadishi kadogo Kifaa kimeandikwa...
  2. nkumbison

    Silagi Kwa Watu

    Uzi Tayari Sent using Jamii Forums mobile app
  3. nkumbison

    Mara Paaap!! Tumebaki watu weusi tupu

    Nawaza tuu! Utakua ndio mwisho wa maendeleo ya Teknolojia. Vita kila mahali Na si ajabu maisha yakawa magumu na ya hatari zaidi ya ilivyo sasa. Na Hapo Ndipo Tutakapo Amini MZUNGU Ukitoa 'Z' ni MUNGU! Uzi Tayari!! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. nkumbison

    Naomba msaada katika hii Sheria ya kidhibiti vitu wakati kesi ikiendelea

    Naombeni msaada wa Kisheria. Jamani niliibiwa vitu vyangu. hatimaye wezi wamekamatwa na baadhi ya vitu walvyoviiba walikutwa navyo. Sasa unaenda mwezi wa tatu sijarudishiwa vitu vyangu naambiwa kesi bado ipo katika uchunguzi, huku vikiendelea kuharibika kutokana na mazingira ya utunzaji wa...
  5. nkumbison

    Vyama vya siasa ni adui kwa mwananchi

    Kwanza huwa vinadandia hoja za sisi wananchi nakujifanya wao ndio wanauchungu kuliko sisi huku kiuhalisia sio kweli maana hakuna kiongozi wala mpambe wa chama chochote cha siasa atakayeacha shughuri zake bila kuwa na uhakika wa kupata chakula eti akakipigie debe. Swali ninalojiuliza hivi...
  6. nkumbison

    Sasa hizi 29, 30, 31 za kalenda lengo lake nini au zinakuwa zinauzungumzia mwezi gani?

    Kuna kitu sijakipatia majibu kuhusiana na hivyo vitu hapao juu nilivyoviandika. SIKU, hii ni mjumuisho wa masaa 24 kamili. Wiki, ni mjumuisho wa siku saba kamili, Mwezi, ni mjumuisho wa wiki NNe kamili Kalenda ina mjumuisho wa vitu vyote hapo juu lakini mbona inadanganya. Wenda nilifeli...
  7. nkumbison

    UTOZWAJI FINE KWA MAKOSA YAHATARISHAYO MAISHA YA WANANCHI NDIO HUWA CHANZO CHA MAAFA

    Kama Mada inavyojieleza. Kwa mawazo yangu, kutoza fine kwa makosa yanayoweza kusababisha maafa ya watu wengi huchangia kuliendeleza tatizo kuliko kulimaliza. Mfano makosa ya uzembe barabarani kwa madereva yanayoweza kusababisha ajali na kupoteza nguvu kazi, makosa yakutokufanya usafi ktk...
  8. nkumbison

    Nini faida ya dini na ibada katika maisha yetu ya kila siku!?

    Natafakari hapa, ina maana bila dini au kuabudu tusingejua matendo mabaya hayatakiwi?
  9. nkumbison

    TRA VAT return: Nakokotoa na kutuma online; niite ulipo ndani ya Dar

    Kama uzi unavyojieleza, sio kila mfanyabiashara ni mjuzi wa haya mambo, nicheki PM tupatane nikufuate ulipo!
  10. nkumbison

    Msaada Wa kurecover 1TB external Hard Driver

    Niliangusha hd yangu, ikiwa inafanya kazi, baada ya hapo kila nikitaka kuitumia inaishia kwny ku load driver tuu. Nimejaribu kubadilisha cable na PC nyingine style ni ileile. Kwa awezaye kunitatulia, au location ya mtaalamu. Unaweza kuwasiliana na mimi kwa 0714 41 01 71.......
  11. nkumbison

    Bangi ijadiliwe kwa uwazi na kwa mapana yake

    Kama kichwa cha habari hapo juu, kumekuwa na hoja nuingi zihusuzo bangi. Lakini michango yake mingi imekuwa katika mtazamo mmoja wa ubaya wake pasi na kushusha hoja zinazothibitisha huo ubaya au madhara ya kilevi cha mmea wa bangi.Hivyo basi kwa wenye uelewa na bangi kama ina faida na kwa wale...
  12. nkumbison

    Fundi wa sound system

    wapendwa ni wapi nitampata fundi au karakana ya mafundi wa vifaa vya umeme hasa upande wa mfumo wa sauti. Walio na uwezo wakuagiza kifaa kama hapa bongo hakitapatikana kwa ajili yakukibadilisha na kilicho na tatizo. Nilikua napajua panasonic tu pale posta sa siku hizi hawapo tena. Natanguliza...
  13. nkumbison

    TECNO H6 primary camera error

    Hii cm nikiopen kamera inafungua ya mbele tuu so picha ni kujiselfie tuu. Msaada wenu, mi nimeirestore lakini bilabila je niiflash kabisa kwa pc au kuna njia nyingine?
  14. nkumbison

    Natafuta display ya lenovo - G510 laptop

    Kutokana na tatizo la kutoa mistari na rangirangi zinazofifisha muonekano wa display. Kwa anayejua duka au Karakana nitakayoweza kupata display husika tajwa hapo juu. Naomba anisaidie maana maduka niliyoyatembelea nimekosa, Hata kama. Wewe unacho nijulishe ulipo na bei tutasolve issue...
  15. nkumbison

    Fundi wa sound system

    wapendwa ni wapi nitampata fundi au karakana ya mafundi wa vifaa vya umeme hasa upande wa mfumo wa sauti. Walio na uwezo wakuagiza kifaa kama hapa bongo hakitapatikana kwa ajili yakukibadilisha na kilicho na tatizo. Nilikua napajua panasonic tu pale posta sa siku hizi hawapo tena. Natanguliza...
Back
Top Bottom