Search results

  1. K

    Nani atapoteza kura yake kwa mgombea huyu wa CHADEMA?

    Angali mchanga ktk siasa. Kweli ulimwenguni humu kila mmoja ana madhaifu yake lakini huwezi kumlanganisha Mhandisi Chiza na Mwl.Eliya
  2. K

    Meseji (SMS) za dawa za Kiganga: Je, hawa ni matapeli? TCRA mko wapi? Namba wanatoa wapi?

    Wajinga hawa wanajifanya hawajui kuandika vizuri kigezo kwamba waganga wengi walikimbia shule! Mimi nawapenda kuwainjoyi tu. Cha kufanya unamtumia ujumbe kuwa tayari umeshatuma fedha. "angalia tayari nimekutumia 800,000/= jitahidi unirekebishie dawa haraka! Uone.
  3. K

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Kama ni kweli juu walinzi amebugi hatua
  4. K

    Waziri Mkuchika: Hatutapandisha mishahara (ya watumishi wa umma), tunafanya uhakiki wa umri

    Sasa hao arobaini wanauhusiano gani na stahiki za watumishi wengine au danganya toto
  5. K

    Waziri Mkuchika: Hatutapandisha mishahara (ya watumishi wa umma), tunafanya uhakiki wa umri

    Sasa hao arobaini wanauhusiano gani na stahiki za watumishi wengine au danganya toto
  6. K

    Uchaguzi wa Burundi waahirishwa

    Hizi katiba nazo bana ni changamoto! Katiba ya Burundi inamruhusu petero nkurunziza kugombea tena inasema "RAIS ATAKAYECHAGULIWA NA WANANCHI ATAONGOZA KWA VIPINDI VISIVYOZIDI VIWILI. Awamu ya kwanza hakuchaguliwa na wananchi. NCHI ZETU ZA AFRIKA KARIBU NYINGI ZINA MATATIZO YA KIKATIBA (hata na...
  7. K

    Nimewahi kuwa changudoa, nimjulishe?

    Nani kasha wahi kuambiwa aliye bikiri mkewe? Nakushauri usije ukamweleza hata siku moja. Jitahidi uwe mwaminifu kiasi kwamba hata akisikia atajua wanakufananisha tu. Bwana akutie nguvu usirudi nyuma. Amina
  8. K

    Escrow Scandal: Prof Sospeter Muhongo (Minister for Energy and Minerals) resigns

    A ni mjeshi ofisi ya RAIS anataka aibe wakimshtukia atajiuzulu
  9. K

    Kaburi la aliyezikwa na kuku lafukuliwa

    Juni mwaka huu imeshafika? Lakini jamani wasukuma mmezidi; mara nyingi sehemu za usukumani kama Geita, Mwanza na Kahama nimefika. Cha ajabu ninapojitambulisha mimi ni MUHA natoka Kigoma watu wengi hunifuata wakitaka niwapeleke kigoma kwa waganga. Sisi wenyewe WAHA hata kama wapo waganga huko...
  10. K

    Joseph Kabila awaongoza mabodigadi misitu ya kongo

    Sera zake dhaifu tu! Hii afrika yetu MUNGU ainusuru tu maana viongozi wetu karibu wote ni wachumia tumbo tu! Yeye mpango ni wa kubadili katiba ili aruhusiwe kugombea tena urais. Kwani udongo huo na wa Kasulu, Kibondo na Kakonko kuna tofauti gani? Wilaya tajwa hapo juu za mkoa wa kigoma serikali...
  11. K

    Msaada: Mtoto wangu ana hasira sana

    Duu! Humu yamo mengi kweli mimi wa kwangu ana miaka miwili sasa lakini yeye akiudhika hasa kwa kucheleweshewa huduma mfano chakula, kufokewa (kukaripiwa) anapokosea, n.k yeye anajitupa chini haijalishi ni wapi na kuna hali gani mfano amewahi jitupa chini sehemu yenye mawe na aliumia sana. Juzi...
  12. K

    Iringa: Mtoto huyu akutwa ametupwa porini eneo la Mafifi

    mtoto huyu handsome! Nimempenda sana kama wazazi wake wasipopatikana NAMWOMBA nimlee; ana sura ya kufanikiwa (ANAFAA KUWA MUSSA WETU WA WAKATI UJAO - RAIS). Kama kuna mtu mwenye namba na watu wa pale alipo mtoto anisaidie
  13. K

    Prof. Anna Tibaijuka atolea Ufafanuzi sakata la Escrow, agoma Kujiuzulu

    MWambieni kuna mtu anatafuta mke mzee na waziri aliyechukuwa fedha za EZROM
  14. K

    Ufafanunuzi mtikisiko mkubwa wa 4 kulikumba taifa

    Manabii wa sasa yaani ni raha tupu! wanaenda fedha sanaaaaaaaaaaaaaaa!
  15. K

    Duniani kuna mambo: Mwanaume afanyiwa upasuaji ili afanane na Kim Kardashian

    Jamani msionee wivu! Kapendeza sana hasa hilo DOMO! Kibuyu oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
  16. K

    Sumaye: Vijana kuleni pesa za mafisadi ila kura wanyimeni

    mi naona yupo sahihi! Mfano mwenyewe naomba ambaye ana masalio ya Escrow aniwezeshe nitamchagua tu
  17. K

    Serikali, Wahubiri hawa wana tofauti gani na waganga wa tiba za asili?

    Subiri tuone mwakani kama haohao kama siyo watakao panga foleni kwa waganga wakitaka wawe washindi kwenye chaguzi! Wenye watoto walemavu wa ngozi TAFADHALI anzeni kuwaficha watoto. Mwaka wa kafara unakuja.
  18. K

    Upole wa rais unawaweka madarakani hawa

    Rais ndiye mw/kiti wa chama taifa, Nnape na (masisiEMU mengine + wabunge wa sisiEMU) huwa hawana pa kukutania au hawakutani kabisa. Mpaka mpiga debe (Nnape na MasisiEMU mengine) kuwaita wale ambao mw/kiti aliwachagua akiwaamini kuwa ni MIZIGO; hapa si kumdharirisha Mw/kiti wao. Nilitamani ikae...
  19. K

    Kwanini Rais Asiwawajibishe Viongozi Hawa?

    Jamani msimlazimishe kufanya asivyoviweza maana kwa kauli kama hii aliyoitoa anawashtaki viongozi hao kwa wananchi ndo wawawajibishe {YEYE HAWEZI}. 2015 naomba tujitahidi tuchague raisi anayeweza kuwajibisha mafisadi. // huyu tumwache amalizie hisa zake asepe
  20. K

    Sekretarieti ya ajira na hii ni kali

    1. Kasi mpya, Nguvu mpya, Ari mpya na Kasi mpya. 2. Tumeweza, tumethubutu na tunazidi kusonga mbele. CCM imetengeneza nafasi nyingi za ajira hata hii ya ratio ya 1:90 ni sehemu ya masalia
Back
Top Bottom