Kuvua nikuvua tu haijalishi ni nani madhari umevua kufanya mapenzi umevuliwa tu na dhamani yako kama haipo haiopo tu
Wanandoa wangapi wameumizwa kwa kuvua nguo tuu jamaa kaowa kapata alichoitaji kasepa
Tafakari upya kuvua sio kushushiwa hadhi labda kingine kwangu uwe umevaa au la nakushusha...
Kutokana na utafit uliofanywa na International political economy (IPE) umebaini kwamba Tanzania ndio nchi inayoongoza duniani kwa kuwa na maprofesa wengi wanasiasa. Bwana John Lexburg kutoka shirika hilo alikaririwa akisema, tatizo kubwa la nchi za kiafrika ni kutojua ni nini maana ya siasa...
Sina hakika kama mama huyu anatambua kiini cha kifo cha mme wake
Wanawake wengi wakikosewa huwa ningumu kusamehe na kasahau na mda mwingine wanafika mbali kwenye malipizi.
Kwa wakristo tunakumbushwa kusamehe ili nasisi tusamehewe mbinguni
R.I.P Rob mungu atahukumu sawa sawa na mapenzi yake
Wasomaji nadhani mnapata taabu kuelewa huyu jamaa aliandika historia ya wazee wa kiislamu na siyo historia ya Tanganyika kwakuwa haijui
Nahili nijambo la kawaida mtu akitafuta historia ya jambo fulani kwa manufaa yake inakubalika ingawa nidhambi tena kubwa kuupotosha UMA kwa uwongo hii ni...
Sisi watumiaji wa barabara ya Alhasan Mwinyi tukifika salenda tunakerwa sana na tabia hii ya maaskali wako kutusimamisha kwazaidia ya dk 15 mpaka wewe upite sidhani kama hii ni sawa leo tumekaa zaidi ya dk 18 ndiyo wewe unapita
Tunavyojuwa wakuu wa nchi ndiyo wanaruhusa yakutuweka wewe uko...
Nakupa mengine.
1.Alikuwa mpenzi wa LULU
2.Mbunge aliyelewa madaraka kwenye bunge la katiba
3.Kafa kwakutunga nyimbo za katiba nyingine wengine watakupa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.