Search results

  1. MNDEE

    Wazee wa Box

    Utakwenda kama mtalii au, kama ndivyo je unafahamu unahitaji work permit kufanya kazi? Hata huko kwenye nyumba za kutawaza wazee nako ni hivyo hivyo. Wakwenya ni kweli hawachagui kazi, unakuta mtu ana PhD yuko nyumba ya vizee anawaogesha - ebo si bora ubaki kwenu ufundishe.
  2. MNDEE

    Je umemuona kijana huyu

    Wakuu Preta na Haluszedzele naomba muidelete picha ya kijana kutoka post mliyoniquote. Mkuu Izz wewe naomba uifute RB# kwenye post uliyoniquote. Mkuu Invisible, kama kuna uwezekano naomba usaidie hili na kufunga thread. Ahsanteni Mndee
  3. MNDEE

    Je umemuona kijana huyu

    Wanajamii, naona niwapatie details zaidi muelewe kilichotokea napengine itakuja saidia mtu mwingine. Kijana alipatikana hivi - mama mmoja msamalia mwema jana alikwenda hospitali ya Amana kumjulia hali mgonjwa , akiwa pale akasikia manesi wanamuongelea mgonjwa mmoja kuwa atapelekwa jela ya...
  4. MNDEE

    Je umemuona kijana huyu

    Wanajamii Bwana asifiwe kijana wetu amepatikana yuko hospitali hii taarifa nimeipata sasa hivi, sina details zaidi.
  5. MNDEE

    Je umemuona kijana huyu

    Tunajaribu pia kuweka magazeti ambayo yanasomwa na wananchi wa kawaida - tunahitaji kulenga vijana wa vijiweni, wanafunzi, makondo, mama ntilie, wauza mitumba, wafanyabiashara wanaotembeza bidhaa kwa miguu na wengine katika hili kundi. Tunaamini juhudi hizi zitazaa matunda, na pia tuko kwenye...
  6. MNDEE

    Je umemuona kijana huyu

    Hiyo RB inatolewa baada ya masaa 24 kupita. Kibaya zaidi haijalishi mtu anaspecial needs, kipofu, kiziwi, bubu au la - wote wanawekwa kundi moja na watu normal . Baada ya hayo masaa 24 unategemea kuna resource zozote wanatoa hakuna, tumeshangaa hayo masaa 24 walikuwa wanangoja nini - kutoa...
  7. MNDEE

    Je umemuona kijana huyu

    Tumepita huko kote Mkuu.
  8. MNDEE

    Je umemuona kijana huyu

    Tumejifunza mengi baada ya kupatwa na haya matatizo, kwamba kuna 'GPS locator and tracking systems' za watoto au watu wenye autisim ambazo zinasaidia kukualert kama atakwenda umbali usiotakiwa au kusaidia kumpata akienda mbali. Tuwasiliane tuone cha kufanya. Pia tutajitahidi kadri Mungu...
  9. MNDEE

    Je umemuona kijana huyu

    Mkuu, tunajitahidi kutoa update as we go, hapalaliki ndugu yangu, niliko sasa hivi ni saa tisa na nusu usiku niko macho na sitegemei kulala, it has been this way since kijana amepotea. Believe me you will be the first to know kama utakuwa unacheki hii post.
  10. MNDEE

    Je umemuona kijana huyu

    Wanajamii ahsanteni kwa ushauri, maoni na tips mlizotoa. Tunaendelea kufanyia kai, kikubwa sana tunahitaji sasa ni watu wa kjitolea kusaidia kwenye msako, kuweka matangazo na jinsi nyingine yoyote itakayosaidia kumpata kijana wetu. We are on our own hakuna branch yoyote ya serikali inasaidia...
  11. MNDEE

    Je umemuona kijana huyu

    Hii ndio XXXX
  12. MNDEE

    Je umemuona kijana huyu

    Namba zimetolewa sehemu nyingi, kama utakuwa umesoma hii post utakuwa umeona. Nimeeleza kwa nini tumefanya hivyo, hii ni baada ya ushauri kutolewa na watu wenye background na masuala haya. Wako watu wanatumia matukio kama haya si kusaidia bali kuleta madhara au kutafuta jinsi ya kunufaika...
  13. MNDEE

    Je umemuona kijana huyu

    Wamejitokeza wahuni wanapiga simu hata usiku wa manane kutoa leads za uongo. Hii imepelekea wanafamilia kwenda vituo mbalimbli vya polisi usiku kucha na kukuta taarifa hazikuwa za kweli. Kwa vile vituo vyote vya polisi vina taarifa tunategemea atakayemuona kijana wetu atatoa taarifa huko au...
  14. MNDEE

    Je umemuona kijana huyu

    Tunatanguliza shukrani kwa yeyote atakayeweza kutusaidia kwa aina yeyote iwe kushare hii taarifa, kugawa picha au hat kusaidia kuulizia misikitini, makanisani na shuleni. Tunaamini watu wengi wakifahamu hili itasaidia sana. Ahsante.
  15. MNDEE

    Je umemuona kijana huyu

    Webmaster naomba msaada uniwekee link ya hili tangazo home page.
  16. MNDEE

    Je umemuona kijana huyu

    Kama ugependa kujiunga nasi kwenye msako wewe peke yako au na kikundi chako unaweza kupm.
  17. MNDEE

    Msaada: Usaili Ubalozi wa Marekani!

    Maswali yatalenda hapa - anakwenda kufanya nini? Atakaa muda gani? Nani anagharamia safari yake? Ushahidi kuwa atarudi. Ajiandae kuonyesha document za kusupport majibu yake - Mfano proof kuwa utarudi (ties to Tanzania) barua ya kazi, properties na familia. Nani atagharamia safari - bank...
  18. MNDEE

    Je umemuona kijana huyu

    So you know- baada ya yale masaa 24 polisi waliyodai tungojee tulirudi tena polisi, tulishangazwa kuona tunapewa kitu inaitwa RB na kuambiwa sasa tunaweza kwenda tangaza popote. Swali je tulichokuwa tunangojeshwa masaa 24 ni hiki kipande cha karatasi? Nini tena kingine polisi wanafanya...
  19. MNDEE

    Je umemuona kijana huyu

    Ahsante sana, ni kipindi kigumu kwa familia.
  20. MNDEE

    Je umemuona kijana huyu

    Update 6:31CST - bado hatujafanikiwa kumpata kijana wetu. Tunaomba muendelee kumuweka kwenye maombi, kushare hii taarifa kwa familia, majirani na ndugu. Kwa wale wanaotumia usafiri wa mabasi tutashukuru sana kama mtawaeleza madereva au makonda. Ahsanten, Mndee.
Back
Top Bottom