Search results

  1. DSE Tanzania

    Tembelea blog ya Dse kwa habari mbalimbali zinazohusu HISA.

    Please visit DSE Blog and Social media pages for more information about Stock exchange. facebook: https://www.facebook.com/dsetanzaniia twitter:https://twitter.com/dsetanzania Blog: Dar es Salaam Stock Exchange Youtube: dsetanzania - YouTube Linkedin: tz.linkedin.com/pub/dse-tanzania/7a/345/b06/
  2. DSE Tanzania

    Mazungumzo ya Mwendelezo wa Vipindi Vya lijue soko la hisa Video

    Mahojiano ya lijue soko la hisa #01 Mahojiano ya lijue soko la hisa #02
  3. DSE Tanzania

    Mahojiano ya DSE na Maendeleo Bank, SwissPort Na Tanga Cement Video.

    Huu ni muendelezo wa vipindi vya Dar es salaam Stock Exchange, na Leo DSE inakuletea Mahajiano na Makampuni yaliyooredheshwa katika Soko la hisa nayo ni Maendeleo Bank, SwissPort Na Tanga Cement
  4. DSE Tanzania

    Interview with CMSA Chief about SMEs access to Capital

    Please follow the Interview made by The Guardian with Ms Massinda, CEO of Capital Markets & Securities Authority (CMSA) about Entrepreneurs use of Capital Markets to get long-term capital. Read for yourself: Home
  5. DSE Tanzania

    Hisa za NMG sasa kuorodhesha DSE

    Kuhusu mchakato huu wasiiana moja kwa moja na wataalamu waliopewa leseni na mamlaka husika kwa kazi hiyo kupitia: (DSE: Dar es Salaam Stock Exchange). Kwa maelezo ya jumla tembelea tovuti ya Dar es Salaaam Stock Exchange (DSE), facebook page ya DSE (https://www.facebook.com/dsetanzania), blog...
  6. DSE Tanzania

    Uwekezaji kwenye Hisa

    Hii ni taaluma nyeti na hili kupata maelezo yatakayokidhi kiu yako wasiliana moja kwa moja na wataalamu waliopewa leseni na mamlaka husika kwa kazi hiyo kupitia: (DSE: Dar es Salaam Stock Exchange). Kwa maelezo ya jumla tembelea tovuti ya Dar es Salaaam Stock Exchange (DSE), facebook page ya...
  7. DSE Tanzania

    Financial institution inayotoa huduma ya Sinking Fund.

    Huo mpango wako ni mzuri. Ukiwasiliana na Market Participants wa Dar es Salaam Stock Exchange (DSE: Dar es Salaam Stock Exchange) watakupa maelezo ya kina kuhusu products/plans zilizoko nchini ili uweze kufanya uamuzi.
  8. DSE Tanzania

    Lack of trust among local businesspersons hampers SMEs' growth, By The guardian reporter

    Lack of trust among businessmen could be the main reason behind the failure of ventures to expand, unable to compete with incoming foreigners and scooping all business and contracts as locals are sidelined. Read more: Home
  9. DSE Tanzania

    Mahojiano ya DSE na Makampuni yaliyoorodheshwa kwenye Soko la hisa la Dar es salaam Stock Exchange

    Mahojiano ya DSE na Makampuni yaliyoorodheshwa kwenye Soko la hisa la Dar es salaam Stock Exchange, makampuni hayo ni Precision Air, TCC na CRDB. Part 1 part 2
  10. DSE Tanzania

    Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

    LIJUE SOKO LA HISA, MOTIVATIONAL TALKS VIDEO, ni muendelezo wa vipindi vya Dar es salaam stock exchange, ambayo vinaendelea kuonyeshwa kwenye Television na Radio mbali mbali hapa Nchini Link to video Kama ulikosa kuona. Lijue soko la Hisa - Motivational Talks 1- #01 - YouTube Kwa ratiba za...
  11. DSE Tanzania

    Wasanii wamliza tena mama kanumba

    WASANII wa Kenya, Rwanda, Uganda na Burundi waliofika kuzuru kaburi la aliyekuwa legendary wa sinema za Kibongo, marehemu Steven Kanumba ‘The Great’, wameibua simanzi upya na kumsababisha mama wa marehemu, Flora Mtegoa kuangua kilio upya kwa mara nyingine. Kwa picha zaidi Tembelea Blog ya...
  12. DSE Tanzania

    Wekeza inalipa Movie Launch.

    Jana tarehe 11 oct, Waziri wa Habari,vijana,Utamaduni na michezo Dr. Fenella Mukangara,alizindua ile filamu inaliyokuwa inasubiriwa kwa hamu, Yaani Wekeza inalipa, iliyoigizwa na wasanii wakali kutoka East Africa, yaani Kenya,Uganda,Rwanda, Burundi na Tanzania. Hii habari imechapishwa na...
  13. DSE Tanzania

    Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

    Hizi hapa ni address za DSE kama ulivyoomba. Dar es Salaam Stock Exchange, 14th Floor, Golden Jubilee Towers, Ohio Street. P. O. Box 70081, Dar es Salaam, Tanzania Tel: 255 22 2135779, 2123983, 2128522 Fax: +255 22 2133849 Email: info@dse.co.tz Website: DSE: Dar es Salaam Stock...
  14. DSE Tanzania

    Filamu kali ya kukuza ujasiriamali kutoka kwa wasanii mashuhuri wa East africa,

    Dar es salaam Stock exchange inakuletea filamu kali, ikishirikiana na wasanii maarufu wa East Africa, yaani Kenya, Uganda,Rwanda na Burundi. Filamu hii itakuwa inahusu kukuza ujasiriamali, huu ni muendelezo wa DAR ES SALAAM STOCK EXCHANGE kukuza ujasiriamali kupitia kampeni yake ya WEKEZA...
  15. DSE Tanzania

    Ratiba ya vipindi vya redio vya dse kwenye kampeni ya wekeza inalipa

    Tunalifuatilia kwa makini pendekezo lako, tutajibu. Kwa sasa unaweza kupata bei moja kwa moja kutoka tovuti ya DSE: DSE: Dar es Salaam Stock Exchange
  16. DSE Tanzania

    Ratiba ya vipindi vya redio vya dse kwenye kampeni ya wekeza inalipa

    Week ndio inaanza, Usikose kuangalia mwendelezo wa vipindi vya "WEKEZA INALIPA" kwenye TV na Radio. RATIBA. TBC1: Wednesday: 19:00-19:30 TBC Taifa: Wednesday: 19:30-20:00 ITV: Thursday: 18:30-19:00 RADIO ONE: Thursday: 17:30-18:00 STAR TV: Sunday: 15:00-15:30 RADIO FREE AFRICA: Sunday...
  17. DSE Tanzania

    Wajue mabalozi wa Dar es Salaam Stock Exchange kwenye kampeni ya 'Wekeza Inalipa'

    Mabalozi wa DSE kwenye kampeni ya wekeza inalipa kutoka kushoto ni Slim Omary, Rose Ndauka, Yobneshi Yussuph aka Batuli na mwisho kabisa ni Richie Mtambalike. Richie Mtambalike Yobneshi Yussuph aka Batuli Rose Ndauka Slim Omary Kwa hisani ya: Dar es Salaam Stock...
  18. DSE Tanzania

    Government focuses on boosting SMEs

    Ni kweli, orodha tuliyoonesha ni "firms" ndizo zilizopewa leseni kama NOMADs, ambapo kati ya waajiriwa wao wapo representative ambao nao wanapaswa kuwa na wamefanya na kufaulu mtihani unaotolewa na mamlaka husika (CMSA).
Back
Top Bottom