Search results

  1. GreatApe

    Wana jf siowa kufundiswa chama gani................

    Napenda kutoa mawazo yangu ya kawaida tu kuhusu chama boara Tanzania kwasasa kwamba; Wana-Jamii Forum sio wanachama wa kufundishwa chama gani ni bora zaidi ya vingine, kwani wanao uwezo wa kutafuta taarifa za nini maana ya chama na siasa. Wananchi ambao hawapati taarifa za vyama na taarifa za...
  2. GreatApe

    Vita ya urais CHADEMA: Dr. Slaa, Zitto na Mbowe hapatoshi!

    Ni kweli hapa nyumbani kwetu CHADEMA ili panoge inabidi Zitto agombee urais na Slaa awemgombea mwenza na Mbowe abaki mwenyekiti wa chama waheshima hapa CHADEMA itakuwa bonge la Party, au vp?
  3. GreatApe

    CCM yafurahia kapuya kubaka

    Yaani inaumiza sana, hii ingekuwa nchi ya wananchi makini hapa hawawafuatao tayari wangekuwa wamekwisha wajibishwa tayari; Sofia Simba, Anna Makinda na viongozi wote wa bunge, polisi wote waliohusika kuminya haki ya mototo mdogo huyo.
  4. GreatApe

    CV ya Mwanasheria mkuu wa Serikali Jaji Stephen Werema

    Mkuu Ben Huyu mtu mimi nakumbuka kesi mbili (sikumbuki wahusika) alizotoa hukumu ya kifo zilitenguliwa baada ya rufaa. Alipaswa kuwa DRC anawafukuza M23 sio AG an bungeni.
  5. GreatApe

    Vita hii ni ya Watanzania wote...

    Kwakweli mimi mkuu hamna kitu knachooniuma katika mali za Tz kama mauaji ya rasilimali hizi, wenzetu Africa Magharibi wame-declare faru weusi (black rhino) week iliyopita ndo wamekuwa extinct. Nafikiria uakaribu wa Wachina na nchi yetu hawa watu hawana huruma taifa lolote duniani ni hatari...
  6. GreatApe

    Serikali yatangaza viwango vipya vya alama za ufaulu elimu ya sekondari

    Wanajamvi na marafiki! Nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu msimamo wa kiongozi mkuu wa nchi kuhusu swala la Wizara ya Elimu na Hali halisi ya elimu ya nchi yetu. Hivi ni kweli haoni na hasikii kabisa malalamiko na kelele za wadau wa elimu ya Tanzania? Ni kweli muda mwingi hayupo nchini...
  7. GreatApe

    Siasa za TZ Ni Laana!!!!!!!!!!!

    Wana-JF habari, Naandika nikiwa nimepiga viroba vya Konyagi zaidi ya 30; kinywaji maridadi duniani (pole kwa nitakao wakera) lakini nina hoja; Tanzania ni nchi ambayo wananchi wake haelewi nini maana ya siasa na siasa inaumuhimu gani kweye maisha yao ya kila siku na mustakabali wa maisha yao...
  8. GreatApe

    Mwigulu kuhojiwa na kamati ya maadili na TISS kwa kuvaa sare za JWTZ

    Kwa kwelinchi yangu inaumiza mambo yanayoendelea, hivi jamani hili linafanyiwa kazi na TISS kweli? kweli my poor country Tanzania corrupted with unaccountable poor leaders whose political acrobat lacks constructive political culture and are always thinking, planning and coming up with only...
  9. GreatApe

    Hakuna Duniani kama Tanzania!!

    But this ain't no puzzle J, so u'r free to add any constructive idea no matter what it means ..................here is just to make our lovely Tz stand as it was in 1970s-1980s, therefore u're welcome J.
  10. GreatApe

    Hakuna Duniani kama Tanzania!!

    Zipo nchi kama Tanzania lakini hakuna duniani nchi yenye siasa kama siasa ya Tanzania; dunia ina nchi 196 lakini siasa za Tanzania hakuna nchi yenye mambo kama haya yanayotokea nchini kwetu kwamba rais amekuwa ndio tafsiri ya "conflict" kwa thamani ya CCM kwenye mchakato wa katiba mpya kwamba...
  11. GreatApe

    Rais wa Malawi auza ndege ya rais na magari 60 ya kifahari..je ni mtego kisiasa?

    Tanzainian president's Plane vs Malawian President's plane Sijui kama nakumbuka vizuri lakini Waziri wa Fedha wa wakati huo Ndg. Mramba alisema. "hata kama Watanzania watakula nyasi lazima ndege ya rais inunuliwe" swali, Watanzaninia wale nyasi ambazo hata simba akitindikiwa hula hizo...
  12. GreatApe

    muswada kurudi bungeni then what?

    Hii mkuu inachanganya vichwa sijui nani anayetupiga sindano za ganzi au nusu kaputi ili tusifikirie, na nikajiuliza maswali machache yafuatayo; Muswada umesainiwa tar 10/10/2013 manaake tayari ni sheria, sasa kinachorudishwa bungeni ni muswaada au sheria? Kwasababu kwa saini ya rais huu si...
  13. GreatApe

    Hivi Tanzania haina CRITICAL THINKERS?

    Wewe kiukweli ni Mtanzania ahasante sana, keep that spirit Bro/Sis
  14. GreatApe

    Moses Machali: CHADEMA kinaweza kuwa chama cha msimu

    acha unafiki kwanini usiseme CCM/NCCR/UDDP/UDP amesema chama kama chama sio chadema Nonetheless, wewe ni mtu mbaya sana, ukichukilia reading na listening analysis hikindicho umeona cha kuandikan? Mungu wangu Tanzania ina shida jamani bila hata kujua kiwango cha elimu lakini kama huu ndio...
  15. GreatApe

    Mwanasiasa na Bahati ya Ubunge, Khaaaaa...!

    Mwanasiasa anasema,"sisi tuliobahatika kupata ubunge tufanye/tuseme/tuwajibike/tushauri......." this is only happening in Tanzania, wanachi wake wanamsikiliza lakini ndo hivyo ni kwasababu ya "mtoto wa fulani" au mshikapembe wa tajiri fulani hii ndiyo inayoua uwajibikaji nchini Tanzania jamani...
  16. GreatApe

    Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

    Just lets derive the theory; tusilaumu wala kuthubutu kuhukumu muuaji wala waliokufa kwani lazima kuna kitu kikubwa kati ya wapendanao kilichopelekea haya yote. Take it slowly we'll reach the end point!
  17. GreatApe

    Viongozi wa Africa Hawana Huruma na Wananchi na Vizazi Vijavyo!!

    Wana JF viongozi wa Africa wana ubinafsi na hawana uchungu na bara pamoja na wananchi wa mataifa wanayoyaongoza kwa kuanagalia haya nimejaribu kudodosa machache tu kama ifuatavyo;- Vita vya wenyewe kwa wenyewe: hapaviongozi wengi wanataka kukalia madaraka kwa thamani ya maisha ya wananchi...
  18. GreatApe

    Tunapokumbuka baba wa taifaJK Nyerere,ni watanzania wangapi wanatafakari juu ya dira ya taifa ?letu

    "ni watanzania wangapi" hii ingekuwa "ni viongozi wangapi" wa Tanzania ingelikuwa poa sana kujadili kuanzia hapo.............
  19. GreatApe

    Huge Economic loss caused by Magufuli

    Bw. BAK mimi na maoni haya; Simply; Kwa kuwa analytical and critical kwa kuthibitisha hilo waje na takwimu zinazoonesha tofauti ya mapato kwenye ingizo la taifa kabla na baada ya action ya Magufuli ili kujua tofauti sio yu Magufuli amesasabisha hasara. Ni kweli hasara hiyo ndo taifa la Tanzania...
  20. GreatApe

    JK : NAWASHANGAA WABUNGE, Ma-DC na Ma-RC KULOWEA MIJINI

    What? Hahahahahahaaaaaaaaaaaa.....................This is really poor Tanzania!! Ma-RC, DC, MPs na Wananchi wanamshangaa yeye JK kuwa na safari za nje kila kukicha kwa ajili ya kuhemea. Usiwashangae hao bali jishangae wewe unae ihenyesha Tanzania yeney kila aina ya neema na utajiri...
Back
Top Bottom