Search results

  1. K

    Advans bank bado hawajaita?

    Wadau kwa kwel mim cjaelewa! Mbna hzo msg zinaoneka niza mwaka 2012? Inamaana tangu mwaka juz uliitwa kwenye intwv had leo hujaitwa kazin unadhania kwmba dado watu hawajaanza kaz tu! Vile vile mwaka jana walitangaza nafas pia deadline ilikuwa tar. 29 decmber! Na hzo vip kuna mwenye taarifa...
  2. K

    Msaada wakuu kwa graduate huyu

    Ndugu una wazo zuri la kijiajiri lkn mkopo hutweza kupata mpaka uwe na dhamana au biashara tayar! Pili hii kaz ya uwakala mim nina uzoefu nayo kma miaka 3. Sema sas hv mawakala wamekuwa weng sna so hailip tna kma mwanzon na pia kod zmekuwa nyng sna! So inatakuwa uwe na mtaji mkubwa kama mil 5 au...
  3. K

    Net Pay TZS 960,000

    Sio kwel usipotoshe wenzako kwa kitu usichokijua PAYE sio 30%.bal corporate tax ndio 30% na inalipwa kwenye faida tu endapo company imepata faida! So usiwaogopeshe wenzako kwamba PAYE ni kias kikubwa namna hyo!
  4. K

    Take home crdb!

    Wadau naomba mnijuze anayefahamu take hme ya CRDB Bank post ya Teller! Nmeitwa kwenye intvw! Ahsanten sna!
  5. K

    Net Pay TZS 960,000

    Net pay na take hme zna maana sawa! Yaan hapo umeshakatwa makorokoro yte wew unabeba unasepa!
Back
Top Bottom