Search results

  1. K

    Rais Samia, kataa ombi la Jenerali Venance Mabeyo kustaafu

    Nimeangalia video ambayo Mkuu wa majesho yetu, Jenerali Venance Mabeyo akiongoza harambee ya kuchangia fedha kwa ujenzi wa moja ya parokia ya Kanisa Kaoliki, nadhani ni ya Kawe kama sijakosea. Katika misa na hafla ile Generali Mabeyo aliwaongoza vizuri sana wanajeshi wenzake wakachangia fedha...
  2. K

    Rais wa Zanzibar anapigiwa mizinga mingapi?

    Siku ya kumbukumbu ya uhuru wiki juzi mwanajeshi mmoja alikuwa anafafanua gwaride na mambo ya kijeshi. Kuhusu saluti za mizinga alisema rais anapigiwa mizinga 21, makamu wa rais na waziri mkuu mizinga 19. Kwa ujumla alisema hivi, 1. Rais, mfalme, malkia, Sultani (21) 2. Makamu wa Rais, Waziri...
  3. K

    Waziri Ummy, zipo shule zimepania kukaidi agizo lako la shule zote kufungwa

    Kwa kushirikiana na waziri wa elimu waziri Ummy Mwalimu aliagiza shule zote zifungwe na wanafunzi wote warudi nyumbani, wapumzike. Lakini kumekuwa na ubishi wa kimyakimya na baadhi ya shuke tayari zimeshatoa agizo kwa wanafunzi hao warudi baada ya wiki moja tu. Hii ni dharau kana kwamba shule...
  4. K

    Tundu Lissu afutiwa kesi zote za uchochezi

    Hii ni habari iliyoandikwa na gazeti la MWANANCHI la leo. Wakati ni habari iliyotarajiwa ifurike maoni mitandaoni kinyume chake ni kama vile haipo kabisa. Hata mimi humu nimei post mara ya kwanza ikafutwa na sijui kama hii mara ya pili haitafutwa. ======== Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na...
  5. K

    Elimu yetu Tanzania: Mbona International Schools hazina 'Holiday Package' kama shule nyingine?

    Shule zinakaribia kufungwa. Hii maana yake ni nini? Maana yake walimu wamefanya kazi wakamaliza syllabus wamefunzidha vizuri. Wanafunzi mwamesoma vizuri na wamesimamiwa vizuri. Sasa wanaenda kupumzika kwa mwezi mzima. Ratiba ya shule imeisha inaanza ratiba nyingine ya nyumbani. Mtoto anahitaji...
  6. K

    General Venance Mabeyo kakosea kusimama kulia kwa Rais Samia. Mwanajeshi senior anakaa kulia kwa junior

    Hakuna siku ya furaha kama leo ambapo kwa mara ya kwanza Amiri Jeshi Mkuu wetu, Samia Suluhu amevaa magwanda ya jeshi. Binafsi kwangu nimefurahi kumuona mama na magwanda yake. Hongera mama yetu Rais Samia. Zipo porojo za wasiofahamu wanahoji kwa nini kavaa wakati Kikwete, Mkapa na Mwinyi...
  7. K

    Kesi ya Mbowe: Kina Kibatala waikatae diary na simu iliyotunzwa na mahakama, Watajuaje kama imefutwa taarifa walizotaka?

    Jana kwenye kesi ya Mbowe shahidi wa Jamhuri (polisi) amefumaniwa ameingia na simu na diary kizimbani baada ya akina Kibatala kumgundua. Hiyo ni kinyume na taratibu za kutoa ushahidi na shahidi kuwa kizimbani. Sasa jaji akaamuru mahakama ikae na hio diary huku jumatatu tukisubiri hoja kwamba...
  8. K

    Kesi ya Mbowe: Jaji hana mamlaka na document yenye wrong citation. Court of Appeal ilishaonya mara nyingi

    Leo (Nov 8. 2021) umetokea ubishi mahakamani kwamba akina Kibatala wamekataa document ya kumkamata mshitakiwa (seizure). Hoja ni kwamba sheria kwenyw document hiyo haipo hapo nchini. Kosa hilo kisheria linaitwa "wrong citation of the law". Mawakili wa Serikali wamejenga hoja kwamba hili kosa...
  9. K

    Rais Samia Hakuhitaji Kiapo cha Urais

    - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - Makala hii ilitoka July 13, 2021 kwenye RAIA MWEMA ukurasa wa 13 - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - Rais John Magufuli alifariki saa 12:00 jioni ya tarehe 17/03/2021, Rais Samia...
  10. K

    Kesi ya Mbowe: Kibatala na Mallya wameiondolea Mahakama uwezo wa kumfunga Mbowe hata ikishinikizwa

    Jana tumesikia polisi akitoa ushahidi wake kwenye kesi ya Mbowe. Tumesikia na siyo mara ya kwanza wakijitetea kwamba maelezo waliyoandika wamejisahau wakakosea yaani "typographical error". Je, sheria na mahakama zinasema kuhusu hiki kinachoitwa "typographical error"? Ukweli ni kwamba mtu...
  11. K

    Kuanzia kesho kwenye kesi ya Mbowe tutarajie lolote kumtokea Boniface Jacob mahakamani au nje ya mahakama

    Kesi ya Mbowe inaendelea kuumbua watu na hasa jinsi tunavyopata proceedings sahihi na kwa wakati. Tumeona jinsi maafisa polisi wanavyoumbuka kwenye maswali ya akina Kibatala na wenzake. Hapo tusisahau kwama tuna hamu kubwa IGP Simon Siro atakapoitw kama Kibatala alivyoomba. Hii maana yake...
  12. K

    Kesi ya Mbowe isizuiwe watu kutaarifiwa

    Jana dunia nzima ilifaidi kesi ya Mbowe na hata Jaji alisema ana taarifa kwamba proceedings za kesi hiyo zinataarifiwa mitandaoni. Tulifaidi RPC wa Kinondoni alivyhojiwa na Advocate Kibatala hadi akaomba kwenda kukojoa. Jioni watu wakanusa mkakati wa kukatazwa kuingia na simu, siyo Mahakama...
  13. K

    Mawaziri na Wafanyakazi wanaodumu kazini ni wale wanaomsoma Rais yukoje na siyo wale wanaoisoma Katiba na Sheria

    Rais Samia amesema kwa muda wa miezi sita amekuwa akiwasooma mawaziri na wateuke wake wote na wao pia wakimsoma. Hii maana yake nini. Maana yake ukiwa kaxini usihangaike kusoma sheria za kazi na za nchi zinasemaje hangaika kujua bosi wako anatakaje. Ukiteuliwa na yeyote hangaika kujua...
  14. K

    Tetesi: Inadaiwa UDOM imekosa hela za kulipa posho za wahadhiri

    Juzijuzi Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alipohojiwa alisema hivi karibuni watamwaga pesa nyingi mtaani. Sasa badala ya pesa kumwaga sasa hata za kulipa watu zinakosekana. Taarifa zilizopo ni kwamba Chuo Kikuu cha Dodoma hakina pesa. Kukosekana kwa pesa kumesababisha wahadhiri wasipewe posho...
  15. K

    Kifo cha Jaji Rweyemamu ni funzo la kuishi wa uadilifu

    Mitandao yote na kila kona watu wanalia au tunalia kifo cha Jaji Regina Reyemamu. Hutokea kwa nadra sana jaji akifariki halafu umma wote usikitike kw sauti moja kama inavyotokea leo kwa Jaji Rweyemamu. Hii ni uhibitisho kwama Jaji Rweyemamu alitenda haki. Tena wanaomlilia wengi ni wale wenye...
  16. K

    Mahakama Kuu ya Zanzibar ina umri gani?

    Wiki jana ilikuwa ni sherehe za miaka 100 ya Mahakama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ukiangalia kiusahihi utaona kwamba hii ni miaka 100 ya Mahakama ya Tanzania Bara. Hii ni kwa sababu Zanzibar wana mahakama yao tofauti kabisa na hii iliyotimiza miaka 100. Nasikia Mahakama ya Zanzibar...
  17. K

    Rais Magufuli na Jaji Mkuu Siku ya Sheria: Msongamano wa kesi Mahakama ya Rufani kikwazo cha kupata haki

    Siku ya sheria imekaribia na Rais Magufuli atahutubia na jaji Mkuu atahutubia. Hatujui Rais atasema nini lakini ni wazi hotuba ya Jaji Mkuu itasheheni historia ya Mahakama Kuu (High Court) kwa miaka hii 100. Hongera sana Mahakama Kuu. Hakuna majaji watenda haki kama Mahakama ya Rufani. Ukiwa...
  18. K

    Hata Magufuli alidukuliwa tofauti ni kwamba alipodukuliwa hatukupiga kelele kama hawa wa sasa

    Mwanzoni mwa mwaka 2015, Waziri wa Ujenzi, Dr. John Magufuli alitembelea moja ya migodi huko kanda ya ziwa. Wakati yuko pale mgodini alikuwa wafanyakazi wa pale na rafiki zake nadhani mmoja alikuwa ni Kitwanga. Katika yale mazungumzo alielezwa jinsi mgodi ule unavyozalisha aina mbili za...
Back
Top Bottom