Search results

  1. Kyooma

    Kanisa la 'Roman Catholic' linaipotosha Pasaka

    Yaani wewe umekuja kuuliza kutafuta majibu wakati kichwani una majibu yako tayari ata unapojibiwa haulewi Alafu nikukumbushe humu husijione ww unajua biblia na maandiko yote kuliko wote humu kuna watu wamenyamaza kwan baada ya kujua kuna ka upumbavu kichwani mwako hutak kujua bali kubishana
  2. Kyooma

    Tofauti yetu na Kenya, Malawi au Zambia sio Umasikini ni levo ya ujinga, sisi tuko juu kwa ujinga

    Kwa hiyo unadhani kila mtanzania anafanya kaz mchana tu kuna watu wanafanya kaz usku wanatoka asubuhi
  3. Kyooma

    Vijana wote wenye miaka kuanzia 18, wapewe mashamba walime

    Walime bila kupewa elimu wanachokilima bila zana za kisasa za kilimo?
  4. Kyooma

    Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Anayeuza king'umuz cha azam bila dish nicheki Pm
  5. Kyooma

    Ushauri: Nampenda lakini sijui niendelee kumtongoza au niache

    Bado unaendelea kutia boko vizirii ndo nini Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Kyooma

    Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Bado kipo? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Kyooma

    Kilimo cha Mpunga Bahi

    Na mimi nmeku pm
  8. Kyooma

    Wana Yanga michango yenu inatumika kulipa faini za kijinga!

    Kipindi cha manji nyie aliwainamisha mara ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Kyooma

    Msaada wa namba za simu wa waziri Kangi Lugola

    Asante mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Kyooma

    Msaada wa namba za simu wa waziri Kangi Lugola

    Wakuu najua apa kuna watu tofauti nina shida na no za waziri wa mambo ya ndani kangi lugola tafadhali mwenye nazo anisaidie Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Kyooma

    Msaada: Nataka kuchimba kisima

    Wazima wakuu. naitaji kuchimba kisima maeneo ya VIGWAZA MBUYUNI naomba mwenye kujua gharama za pale kwa wale wenye uzoefu na maeneo ya uko. pia naomba mwenye contact za company za uchimbaji .kuna uzi kipindi cha nyuma nlisoma unahusu gharama za kuchimba visima maeneo mbalimbali naomba anaeweza...
  12. Kyooma

    Wana body naomba kuuliza kuhusu hii taasisi : Step Up Loans

    Ndugu hao ni matapeli walisema wapo dodoma nikasema nielekeze office zao zilipo kwa sababu nipo dom wakanikatia simu nikapiga hawakupokea alafu kuna jamaa niliwasiliana nae wamemla laki 2 bila kumpa huo mkopo na wameblock
  13. Kyooma

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Kuongoza kuwa na watumiaji wengi sio kigezo cha kuwa na poor service kwa customers wake wafanyie kazi hili Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Kyooma

    Nimekusaliti mke wangu

    Mke wangu naomba unisamehe...leo ctaki kuamin nemesaliti mke wangu kwa miaka mtano ndani ya ndoa sijawahi kutoka nje leo nimekutana na ex wangu na tumefanya. Nimeona tofauti nimekumbuka utamu wako na uzuri wako nimekumbuka tabasamu lako nimelikumbuka nolipokua na ex. Kwanini nimefanya hivi...
  15. Kyooma

    Ipi ni nzuri kati ya DHL na EMS kupokelea mzigo?

    wakuu naomba mnisaidia kwa mara ya kwanza nimeagiza parcels zangu toka china ipi njia bora kati ya dhl na ems ipi mzigo unafika haraka zaidi
  16. Kyooma

    Kuacha kazi kufanya ujasiriamali

    Mleta post kulingana na maekezo yako sikushauri kuacha kazi cha msingi ambacho naona apo dom na kwa akiba ulionayo fanya utafiti wa mahali apo then fungua tigo pesa na Mpesa (kulingana na mtaji wako) before that fanya uchunguzi wa eneo husika kuhusu hyo business ata kama utapatapa commission ya...
Back
Top Bottom