Search results

  1. maatope

    Inasikitisha sana: Simba day ishafelishwa na tulioaminishwa ni wa kisasa

    Nikiwa kama mshabiki wa simba nawapa pole wote mnaoshindwa kununua tiketi za Jumapili, msiwe na wasiwasi ikifika Jumatatu wahusika watarudisha system yao vizuri Mwaka jana walifanikiwa ku frustrate wanunuzi wa tiketi na mwaka huu bado siku mbili jamaa wanaupiga mwingi sana hadi sasa huku kina...
  2. maatope

    Asubuhi tunapata update ya kesi ya Benard Morrison

    Issue ya kuzuia wachezji wa 3 wa first eleven ya wa nigeria kumjeruhi afisa habari wao na kuzuia viongozi wao wawili haiwezi kupita hivi hivi sababu usitarajie kitenge,priva,mwanaspoti waripoti. Kesho tarajia update ya kesi ya morriosn kitenge atakuambia kibuuuyu kinalia eeheee unasemaajeee...
  3. maatope

    Yanga ya gazeti la Mwanaspoti, Kitenge na Priva inatisha sana

    Kiukweli utakuwa mnafiki sana kuwalaumu wasomaji wa gazeti la Mwanaspoti na wasikilizaji wa Efm ambao hadi leo najiuliza wana akili gani za matope kudhani Maulidi ni mtu sahihi wa kuwa anchor wa kipindi chao wakati mwanadada mrembo Tunu Hassan alikuwa anafanya kazi inayoridhisha Anyway labda ni...
  4. maatope

    Mkuu wa Mawasiliano wa Rivers Utd ashambuliwa Dar, wachezaji watano waliokutwa na corona waahidi kisasi

    Yes msemaji wao alipigwa na kitu kisichojulikana na wachezaji wao watano wa kikosi cha kwanza walikutwa na corona masaa mawili kabla ya mechi ingawa siku tatu zilizopita walipimwa mara mbili na kukutwa NEGATIVE. WAPOPO wameahidi REVENGE ya kutisha huko river state kwamba utopolo players kumi...
  5. maatope

    Kwako Harmonize, chukua ushauri huu

    Kwanza hongera,show ya mtwara wewe ndiye ulikuwa star,ndugu yetu aliiingia akiwa amelewa kabisaaa mapombe sijui ecstacy anajua mwenyewe kaka ulivyoimba nyimbo za lucky dube kwanza hongera ulini suprise kwa ulivyojitahidi kuimbakiingereza,najua ulimeza maneno na background yako ya maisha...
  6. maatope

    NASA insight Mars landing live

    fingers crossed ,kitu kitatua au kitalipuka? cheki mwenyewe
  7. maatope

    NYERERE NA RAIS MVUNJA KATIBA

    RIP BABAAAAAAAA
  8. maatope

    Itungwe sheria ya kusapoti polisi kwa lazima

    Watu baadhi wanashangilia polisi wakiuawa on duty, sasa iwekwe sheria ya kulazimisha watu kuwasifu wanapofanya kazi nzuri kwa mfano jana huko Kigoma walipozuia yale majangili yaliyotaka kupora ardhi ya mwekezaji mwema hivi TCRA mlikuwepo wapi wakati polisi Singida walipotoa idea ya kum ban Tundu...
  9. maatope

    Wizara ya afya isimkwamishe Rais,iwe serious

    Rais ametoa agizo ya kwamba uzazi wa mpango usifuatwe,wazazi wafyatue tu sasa tunatarajia wahusika wa wizara ya afya kusimamisha mara moja vi NGO mara sijui family planning sijui nyota ya kijani vinavyodanganya watanzania wasizaliane,fungia hivyo vitamzuia Rais kutimiza malengo yake.
  10. maatope

    Ujinga wa Aggrey na Cliford na app yao

    Jamaa wa Aggrey and Clifford wamesainisha mastaa 40 wa bongo kupromote app yao ya binary na na madai yao hiyo inawapa uhakika wa kuwafikia watu milioni 30,REALLY? Ina maana hawajui ukiona huyu ana followers milioni 2,yule 1 yule laki 8 unadhani ni watu tofauti? Ni walewale tu tena na wengine...
  11. maatope

    Mrema atoa siku saba kwa Paul Makonda kujieleza

    Eti bwana Lyatonga kampa makonda siku 7 ajieleze kwanini bodaboda zinaingia town kati ni kweli? Kama kweli hakika hii sinema nia ya kiwango cha hollywood cheo cha parole kimemchanganya basi.
  12. maatope

    Siri ya u-genius wa Le Mutuz

    Amini usiamini siri ya mafanikio ya le akili kubwazz imejulikana leo baada ya kupost picha kiwa ze dodomaz katika harakati za kumkabidhiz chamaz Mr Pombe. Ni kidoti kilichopo unyayoni ambacho wataalamu wa elimu nyota wanakuambia ni alama ya magenius yaani akili kubwaaz. Hali hiyo iliwafanya ma...
  13. maatope

    Machungu ya life yanaongezwa na viongozi watafuta kick

    Zipo ripoti za watu fulani wakipita sehemu mida flani na wakikukuta upo na chupa ya maji au soda kama krest au sprite wananusa eti kama umeweka konyagi wengine wanavamia gesti eti wanasaka mashoga, ukikutwa na mwanamke mnaulizwa cheti cha ndoa.. Hivi hamjui kuna watu wanaishi na wenza wao na...
  14. maatope

    Ukweli kuhusu deal la Kiba

    kwako wewe lemutuz akili ndogoz ambaye uzalendo ni pale kunapikuwa na mazuri ya ndomo tu..shame on you wote mnaoponda msichoelewa Alikiba Becomes the Second African Artist to Sign a Global Music Deal With Sony Music haya soma kitu cha source magazines na sio kiblog chako kilichojaa posts za...
  15. maatope

    Nina hasira mbaya na huyu jamaa

    Hivi hakuna hata uchawi wa kumrushia huyu jamaa apooze mwili na kutuacha team yetu??jinga kabiiisaaaaa
  16. maatope

    DJ Rommy Jones kwenye kashfa ya ubakaji Sweden

    Inasmekana alimbaka mdada wakibongo aishie sweden anaitwa Deborah ukiingia insta page ya dougiemasta20 utaona hadio ushahidi wa police report na inasemekana sweden embassy ya tz washataarifiwa Wadaku wanadai Rommy Jones hakumaliza ziara ya chibu chibude huko ulaya kwani alikimbia soo na chat sms...
  17. maatope

    Njaa kali inakuja kwa wanamuziki wa Dansi na Taarab

    Ni baada ya Mr Makonda kusema mwisho wa kupiga mziki kwenye kumbi za wazi ni saa sita usiku badala ya saa tisa kama ilivozoeleka hili ni balaa kwa wanamuziki wa Dansi na Taarab, Hapa Kazi Tu Ombi langu pia kwa mheshimiwa Makonda asisahau na alichoombwa na wabongo movie kuzuia movie za nje...
  18. maatope

    Wengine wanalalamika mimi biashara imepaa

    Nimeona hapa ooh, eti Magufuli kaingia biashara zimedoda? Hivi nyie ni wa nchi gani, niko Mwanza city downtown nauza magazeti na vitabu vya mapenzi vya kina Shigongo huku kwa mbali nikisindikiza na magazines kali kama newsweek ambapo huko utapata nondo kali za ki panama papers. Kiukweli...
  19. maatope

    Update ya mbongo movie aliyeharibiwa sura na nyuki

    ama kweli binadamu hawana wema,yule dada anayekimbiza huko bongo movie niliyeleta habari ya kwamba kavimbishwa uso na nyuki imegundulika kwamba walikuwa ni nyuki wa uchawi na kwa sasa sura yake imekuwa nyeupe kama chokaa na maumivu anayoyasikia ni makali sana Please tumuombeee
  20. maatope

    Pumbavu kabisa,acha tu watozwe kodi

    Loe niliposikia vibanda umiza vinaanza kutozwa kodi niliona huruma lakini nilipoona hii picha nikapata hasira kali ya hili jipu..jinga kabisaaaaaa
Back
Top Bottom