Search results

  1. 1

    Natafuta huduma ya forwarding kwenye CBM service

    Habari wana jamii forums,natafuta forwarding company wanaotoa huduma za CBM kutoka UK to Tanzania
  2. 1

    Shamba la ekari 10 linauzwa Morogoro

    hayo maeneo mazao gani yanasitawi
  3. 1

    Jombi, Jambazi aliyetisha wa Kimataifa aliyeishi Tanzania

    Umenikumbusha mbali miaka ya 80 nilikuwa shule hakuna mtu ambaye alikuwa hajui jina la Jombi, hasa kanda za kusini Iringa jina hili ilikuwa story zilizokuwa za kuogopesha vijiweni
  4. 1

    Rais Magufuli: 5,000/= wanazoomba trafiki barabarani hazina shida, ni hela ya kubrashia viatu

    Nikikupa wewe elfu tano ni Rushwa? tafusiri ya Rushwa ni kumpa mutu kitu chochote kwa kutegemea kupendelewa na rushwa zipo za aina nyingi.Ndio unaweza kumpa 5000 trafiki ikawa rushwa lakini Raisi hakusema umpe Rushwa isikilize speech ni wapi amesema ummpe Rushwa?Siwezi kwenda back to school...
  5. 1

    Rais Magufuli: 5,000/= wanazoomba trafiki barabarani hazina shida, ni hela ya kubrashia viatu

    labda nikwambie simutetei nimetoa tafusiri kwa lugha picha,nadhani ukiingia ndani zaidi utaelewa.
  6. 1

    Rais Magufuli: 5,000/= wanazoomba trafiki barabarani hazina shida, ni hela ya kubrashia viatu

    Nyamakwetu una Dictionary hapo Rushwa ni nini?ukisoma hiyo dictionary nambie ni ipi hasa maana kuna dictionary nyingi na waandishi tofauti.Lakini pia unasema niende shule umesoma mpaka level gani na ulisomea nini .Nilitaka tuu kujua
  7. 1

    Rais Magufuli: 5,000/= wanazoomba trafiki barabarani hazina shida, ni hela ya kubrashia viatu

    Nimekuwa nikisoma maada nyingi humu JF na kwenye mitandao ya kijamii kwamba Mtukufu Raisi ameruhusu Rushwa kwa Trafiki: Binafisi nilichokielewa raisi hakuruhusu rushwa bali alikataza: LUGHA YA PICHA KAMA NILIVYOIELEWA 1)Ukimpa trafiki elfu tano ya kubrashi viatu amekura rushwa na hao...
  8. 1

    Rais Magufuli: Wanafunzi UDOM waliofeli wakatafute vyuo vya saizi yao

    Mtoa mada wewe kweli ni tatizo na nadhani wewe ndio kilaza,Raisi kasema wale wanaoingia division four nakwenda chuo kikuu moja kwa moja hawakustahili(alitumia lugha yetu ya mtaani vilaza,kwani hawana qulification mpaka wakasome certificate halafu Diploma).Uvilaza wao ni kwamba walikwenda chuo...
  9. 1

    Nafikiria kuitelekeza familia nianze maisha upya, sababu zangu ni hizi..

    Kuacha mke si solution kwa sababu hakuna mwanamke mbaya wala muzuri, Binafisi huwa naamini kabla ya kumuhukumu hebu angalia source ya ugomvi wenu hata ukioa mwingine hiyo source kama ni wewe unatakiwa kuisolve utaingia kwenye matatizo tena.Wakati mwinginme ukifanya ugomvi kwa kujitizama wewe in...
  10. 1

    Cisco equipments kwa bei nafuu

    UNAZO switch na Router za CISCO kwa bei nafuu kushinda wauzaji wote hapa mujini. Tupo new Shamo tower second floor. 0786888824/0717031290 au md@msoft.co.tz
  11. 1

    Natafuta kazi, nina shahada ya Development Studies

    Hebu jaribu kutuma CV md@msoft.co.tz, Taja kwa upana masomo ambayo umesoma.I am waiting for your CV
  12. 1

    Business Development Officer needed

    awe amesoma sales and marketing, level Diploma au degree tuma cv md@msoft.co.tz
  13. 1

    Business development officer

    nilisahau tangazo hili litakuwa valid mwisho tarehe 30/6/2015
  14. 1

    Nimesoma Public Relations and Marketing, natafuta kazi!

    Tuma CV md@msoft.co.tz, au njoo shamower second floor jina la kampuni msoft utaona jina limeandikwa mlangoni
  15. 1

    Business development officer

    Halo, we are recruiting business development officer qualification sales and marketing diploma or Degree. This post is only for those graduated last year or those expecting to graduate this year . Those with Idea in IT,telecommunication will be given priority,in the mail put your expected salary...
  16. 1

    Makongoro Nyerere akutana na Jenerali David Musuguri

    Sheria mpya ya mambo ya habari ikisainiwa mutu kama wewe unafungwa, kwa sababu unaingilia mambo ya watu usiyoyajua vizuri
  17. 1

    Tunakopesha

    Tunakopesha hadi shilingi millioni tano hii ni kwa wakazi war Dar Tuu, Bondi Nyumba au Kiwanja Kwa pesa chini ya Millioni moja unaweza chukua udhamini kwa mwajiri wako (Kama usipolipa Mwajiri atalipa moja kwa moja toka kwenye Mshahara au Mali zako zitataifishwa) 0786888824/0717031290
  18. 1

    Tunatafuta maeneo ya Sheli (Petrol Station) Dar es salaam

    Kama una eneo la sheri Dar es salaam (Hata kama nyumba mbili au tatu inauzwa na eneo linafaa) Usisite kuwasiliana nasi. Dalali hatakiwi. Piga: 0786 888 824 / 0717 031 290
  19. 1

    Sethi: Tegeta Escrow namwachia Mungu

    Seth alizaliwa Iringa akiwa na ndugu zake watatu ambao wote walisoma Highlands secondary school.Kupata little detail alifikaje Kenya nenda global publishers waliandika historia yake
Back
Top Bottom