Search results

  1. King Elly

    Watumiaji wa simu za Google Pixel pitieni hapa

    Natumia 4a gb 128 sijawah jutia hata siku na pia una magame mazito mazito yale ya gb 1 kifupi ni simu nzur hapa nataka nivute pixel 6
  2. King Elly

    Msaada PC ina shida

    Solution ni kuoga window itakaa sawa
  3. King Elly

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hii naitaji ila kazi kwanza malipo yanafata then nilete feedback
  4. King Elly

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Ethernet cable pia inaweza ikawa local area network
  5. King Elly

    Nataka nianzishe mradi wangu wa ku-flash simu za aina zote

    Simu zote zinazo flashiwa sio za wizi
  6. King Elly

    Nataka nianzishe mradi wangu wa ku-flash simu za aina zote

    Wako watu wanao tia pass na ku sahau so ikioelekwa kwa fundi lazima ipigwe nyundo pia zipo simu ambazo zikiwa zinawaka zinaishia kwenye logo so hapo lazima ipigwe nyundo pia zipo ambazo network zinazingua ki ufupi tuwaache wenye kazi zao
  7. King Elly

    Nataka nianzishe mradi wangu wa ku-flash simu za aina zote

    Unajua maana ya ku flash lakin mkuu?
  8. King Elly

    Nataka nianzishe mradi wangu wa ku-flash simu za aina zote

    Ku change IMEI ndo restricted [emoji724] ila kwa software amna shida fatilia
  9. King Elly

    I can't wait Tesla watoe simu zao niseme kwaheri na iPhone

    Mkuu mbona ziko chimbo nyingi tu mpaka sasa mtandao unasua sua hapa Tz
  10. King Elly

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mawasiliano yake mkuu Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
  11. King Elly

    Msaada kuhusu hard disk ya movie

    Copy vtu vyako achana na iyo disk ishakufa mkuu Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
  12. King Elly

    Msaada kuhusu hard disk ya movie

    Ngoja nikwambue tu iyo disk health itakua imesha shuka Cha kufanya intall software inayo itwa hard disk essential angalia health na perfomanc ya iyo disk afu uje unimbie Copy vtu vyako faster mana disk hako soon inakufa na ndo utakua ushapoteza kila kitu Itoe kwenye computer mana uwez...
  13. King Elly

    Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

    Gang of london Banshee Power The purnisher Mayor of london Snowfall
  14. King Elly

    Tatizo la Burnt backlight kwe flat Tv

    Wakuu yangu ni LG imepoteza ile qualit ya mwanzo yani tv ilikua ukiangalia movies au chochote kile kioo kilikua kinang'aa ila saiv imefifia tatzo hapo linaweza kua nn Msaada
Back
Top Bottom