Search results

  1. s.fm

    Hizi gesti sasa...du,

    Mbali na kuwa zinajaa sana siku za sikukuu...kuna kitu nimegundua yani mh dunia hii Nyingine eti zinamatundu ili kupiga chabo...sasa ngoma iko hivi! Hata kupiga chabo pia unalipia eti sh 500, yani unafika pale unamwona mhusika unatoa jero mzee unapelekwa kwenye tundu...na ukumbuke huku pia kuna...
  2. s.fm

    Maskini Afrika...!

    aAnother one gone..sasa kabaki Mugabe nae ndo hivyo uzee unamkaba! kiongozi ambaye anaweza akasimama na akatetea Africa na watu wakamuelewa..waliobaki sasa ndio hao tukiletewa vyandarua tu watu wanapewa migodi wanachimba na kusaza. Waliokuwa wanajitetea na mafuta yao katika Afrika ndio hivyo...
  3. s.fm

    Malawi: Man dies from 'too much sweetness' during sex

    A Malawi newspaper the Nyasa Times is reporting that a man died in the commercial city of Blantyre after engaging "himself beyond the limit of sexual frenzy." Fletcher Jere died ‘riding' a commercial sex worker because of "too much sweetness" in the densely inhabited township of Ndirande...
  4. s.fm

    Habari zenyu banaaaa

    Wapenzi wote nawatakia weekend njema na maisha mema! wale wachakachuaji remember to use protection..! Lov u all
  5. s.fm

    Hivi ubakaji umekua fashion au?

    Nimesikitishwa na story ya kwenye gazeti la habar leo "mwanafunzi mgonjwa abakwa, afa" huku taarifa zaidi zinasema alikua mgonjwa wa moyo na alifariki dunia muda mfupi baada ya kufikishwa hospitali ya mkoa wa Rukwa. huyu mwanafunzi alibakwa na genge la watu wasiofahamika huku wakifanya hivyo kwa...
  6. s.fm

    understand women better..!

    <!--[if gte mso 9]><xml> <w:WordDocument> <w:View>Normal</w:View> <w:Zoom>0</w:Zoom> <w:TrackMoves/> <w:TrackFormatting/> <w:PunctuationKerning/> <w:ValidateAgainstSchemas/> <w:SaveIfXMLInvalid>false</w:SaveIfXMLInvalid> <w:IgnoreMixedContent>false</w:IgnoreMixedContent>...
  7. s.fm

    News Alert: tunaelekea wapi??

    i hope mko poa jamani! Ukijaribu kuangalia zamani kidogo na sasa hivi hapa katika Mahusiano, mapenzi,urafiki kumebadilika na kunazidi kubadilika. kwakweli mambo yanazidi kuwa magumu, ukiingia huku mambo mengi sasa ni tofauti unaweza kudhani sio sehemu ya mahusiano,mapenzi, na urafiki. jamani...
  8. s.fm

    How do you know about Valentine's Day?

    Eti jamani..mi naona siku hii ni mechi tu! tuache utani bana
  9. s.fm

    Hizi sitaki nataka nazo..!

    Habari za weekend wana JF Kuna hili suala la sitaki nataka hasa kwa wanawake..yani mtu unaweza kujikuta unatongoza karibu mwaka mzima mtu hata haeleweki. Sasa nashindwa kuelewa sijui ndio fashen ama vp..unakutana na mrembo unamueleza shida yako halafu mkikutana siku nyingine anataka uanze...
  10. s.fm

    Ofisini kwa bosi..bafu na kitanda vya nini?

    Habari wandugu.. Mwenzenu smtimz kuna mambo huwa hayaingii akilini..hizi ofisi za vibosile zilizo na kila kitu mpaka self contained room za nini? Zile two hrs za kwenda lunch ndio unaona eti mgeni kaja kumuona mkuu..ngoma fasta fasta ndio mtindo weekend njema wakuu
  11. s.fm

    Manesi nao wanatutega mahospitalini...!

    Nimetoka kwenye hospitali moja for CT Scan.. Nikaambiwa niingie ktk chumba kimoja hivi kwa ajili ya kupimwa..akaingia nesi mmoja yani nashkuru nimetoka salama kwakweli na hata yale maumivu niliyokua nikiskia yamepotea kabisa! mwe..hata kwa wagonjwa
  12. s.fm

    Tunayathamini mapenzi..?

    Kuna sehemu nilisoma maneno flani hivi “mapenzi siku hizi ni kama magazeti” Haya maneno humanisha jinsi gani gazeti linavyotumika, sijui linaweza kusomwa na watu wangapi kwa siku. Lakini mwisho wa siku linakwisha kabisa na kupotelea mbali. Kwa upande mwingine mwenzenu kwa ule ukweli...
  13. s.fm

    Utamu wampeleka jamaa jela

    I hope mnaendelea vizuri wana JF Jamani hivi hii staili ya kujirekodi video huku mkiwa kwenye 6 kwa 6 inaleta ladha gani? sijui pale mnapoamua kuangalia ile video na kuona jinsi mlivyokua mnapeana mambo au la, Issue kama hizi zimekua zikitokea sana katika nchizi zilizoendelea hasa marekani...
  14. s.fm

    Huyu bosi vp

    I hope mnaendelea vizuri wana JF Mwenzenu nafikiria niondokaje leo hapa ofisini..jana jioni wakati natoka bosi wangu aliniomba lifti na alipoingia akaniambia leo lazima nikamuoneshe nyumbani kwangu, ofcz alikua anaongea kama ni utani flani nami nikajua ndio ivo kumbe bana alimaanisha, mama wa...
  15. s.fm

    vp kama angekua ni mwanao..?

    Mtoto wa miaka tisa kajifungua mtoto huko mbalizi mkoani Mbeya. Alipewa mimba na kaka yake (mtoto wa mama yake mkubwa) mwenye umri wa miaka 18, ambaye alikua akimtishia kwa kisu ili afanye nae mapenzi Mtoto huyo alipogundulika na mimba mama yake alimficha ndani kwa miezi saba ili watu wasimuone...
  16. s.fm

    Nauliza tu!

    Hivi jamani hili joto la kipindi hiki mnakabiliana nalo vipi kitandani? ratiba za mechi zinapungua ama kuna positions maalum zinatumika? Nauliza tu..
  17. s.fm

    kwani lazima!

    hivi jamani kama mkiwa kwenye sita kwa sita lazima mwanamke alie?
  18. s.fm

    dawa nzuri ya UTI

    i hope wote mambo yako fine! naulizia ni dawa gani nzuri ya UTI, na kama kuna anaejua linapopatikana tunda linaloitwa (cranberry) nimesikia ni zuri kusafisha kibofu
  19. s.fm

    Lampard! Player of the Decade

    Chelsea midfielder Frank Lampard has been selected as the Premier League's Player of the Decade, by facts and figures' wizards Opta. Opta, who studied every Premier League game since January 2000, declared that Lampard has played in more most games, most wins to his name, second-most number of...
  20. s.fm

    angalizo..mkesha wa 2010

    kwanza naomba niwatakie heri ya mwaka mpya! then nitoe angalizo kwa wale wanaopenda sana kufanya mapenzi siku za "sikukuu" jamani hii mikesha huwa ni ya kheri au balaa!! kuanzia gesti ndipo kiini kinapoanzia, ni kelele tu za watu kumegana, zingine mpaka vitanda hutoa kelele za ajabu ajabu...
Back
Top Bottom