Search results

  1. Ben T

    Msaada: HTC Desire 510

    Wakuu naomba msaada kwenu nimenunua simu mpya HTC DESIRE 510 ila Internet iko slow sana nisaidieni
  2. Ben T

    Watanzania tunaaminishwa vibaya kuhusu CHADEMA

    Ni matarajio ya Wana Chadema wengi kuwa, Chadema ikiingia tu madarakani basi kila kitu kitabadirika kwa haraka. Haitakuwa vibaya tukijifunza kutoka kwa wenzetu wafuatao, Zambia, Malawi, na Kenya Nikianza na nchi ya Zambia ambayo nayo ilikuwa na Mfumo wa Chama kimoja kama ya kwetu. Mzee...
  3. Ben T

    Huduma Mbovu Airtel Money

    Ni jambo lisilovumilika kwa sisi Wateja wa Airtel Money, kwa utaratibu wenu wa kutuhudumia. Nina wiki mbili sasa nafuatilia fedha zangu ambazo nilitumiwa kwenywe Airtel Money lakini kila siku utasikia ngoja tatizo linashughulikiwa, hebu fikiria wiki mbili sasa. Tatizo lilianza hivi...
  4. Ben T

    Miaka 22 ya Vyama vingi Tanzania (1992-2014)

    Wana JF huu ni mjadala huru kila mtu anaefahamu historia ya Mfumo huu ulivyoingia hapa Nchini kwetu Tanzania, yuko huru kuchangia na kutukumbusha hasa nini kilitokea mpaka mfumo ukawa rasmi. Tuko tayari kusikia pia Mafanikio yaliyopatikana, baada ya kuupokea Mfumo huu, na pia tuko tayari...
  5. Ben T

    Wana JF hamjambo?

    Wana JF naomba nipokelewe kwa mikono miwili mimi ni mgeni kwenye Mtandao huu wa JF ni matarajio yangu kuwa nitapata ushirikiano wa kutosha hapa JF nawaombea wote wana JF Mungu atupe maisha marefu sana! Nawashukuru wote!
Back
Top Bottom