Search results

  1. Ben T

    Mgonjwa aliyefanya ziara

    Daaah hivi nawe ni binadamu?
  2. Ben T

    Kauli za “uchumi unakua, pesa zetu za ndani” hazisikiki tena kama miaka miwili iliyopita

    Ukijifanya Mjuaji watu watakuangalia tu mpaka pale utakapo angukia pua, watafika na kukuinua. Haiyumkini katika Uongozi huwezi wadharau wenzako waliokutangulia kiasi ukajiona wewe ndiye unaefahamu kila kitu Nchi huwa haiongozwi namna hiyo. Miaka yote iliyopita IMF ilikuwa inachapisha Taarifa...
  3. Ben T

    Nini Mkakati wa Rais Magufuli dhidi ya CAG?

    Mwanafalsafa Socrates aliwahi kutembea mchana wa jua kali akiwa amebeba Taa iliyokuwa inawaka na kutoa mwanga, alipoulizwa na baadhi ya watu waliomuona akiwa anatembea na hiyo Taa haya ndiyo yalikuwa majibu yake "Pamoja na mwanga huu wa jua tulionao bado kuna Watu wako gizani hivyo nawamulikia...
  4. Ben T

    Hili la DG TAKUKURU kuwa na Naibu Brigedia Jenerali naona lina ukakasi kiitifaki

    Nikusahihishe kdg kuanzia mwanzo uko sawa bali IGP rank yake haiko sawa na Genaral bali na Liuentenant General
  5. Ben T

    Hili la DG TAKUKURU kuwa na Naibu Brigedia Jenerali naona lina ukakasi kiitifaki

    Hata Mgambo vitani wanakwenda. Polisi pia, Magereza, na Zimamoto ni Askari wewe ndiyo unawabagua kwa majukumu yao
  6. Ben T

    Hili la DG TAKUKURU kuwa na Naibu Brigedia Jenerali naona lina ukakasi kiitifaki

    Huo ni utaratibu tu ila nikuulize swali kdg Polisi mwenye Nyota mbili akikutana na Mwanajeshi mwenye nyota moja nani atampigia saluti mwenzie?
  7. Ben T

    Hili la DG TAKUKURU kuwa na Naibu Brigedia Jenerali naona lina ukakasi kiitifaki

    Uko sahihi na ninakuunga mkono kwa hoja hii
  8. Ben T

    Hili la DG TAKUKURU kuwa na Naibu Brigedia Jenerali naona lina ukakasi kiitifaki

    Usipofahamu kitu ni bora kukaa kimya utaonekana busara yako kuliko kujibu na kuzidi kuboronga. Mara nyingi na hii inatokea watu kuchanganya Vyeo vya Kijeshi na Kipolisi bila kujua, kwenye vyeo vya Polisi huwa kuna vyeo na Madaraka kwa mfano maRPC wengi waliopo ni SACP (Senior Assistant...
  9. Ben T

    Nimeamua kufunga tena duka langu moja la simu za Jumla Kariakoo

    Mkuu suala la Kodi ni lazima si hiari tena kwa maendeleo ya Taifa letu, haiyumkini Wafanyabiashara weni hawana elimu ya Biashara na Kodi na mara nyingi umetokea mkanganyiko hasa kwenye VAT. Kwa tafsiri VAT ni "Value Added Tax" Kodi ya Ongezeko la thamani na hii huwa analipa mtumiaji wa mwisho...
  10. Ben T

    TRUMP: Apple tengenezeni iPhone Marekani na sio China

    Kumbe Iphone ni za Kichina kama TECNO na HUAWEI?
  11. Ben T

    Msaada wangu kwa mke wa mtu miaka 2 iliyopita unahatarisha ndoa yangu

    Komaaa mkubwa sura watu hufanana tu, mwache aje azungumze upuuzi wake ni upepo tu utapita
  12. Ben T

    Wanaosema Rwanda kuna wanawake wazuri, je wameshawahi kufika Kondoa, Babati, Manyara na Iramba?

    Uzuri wao uko wapi ni kwenye sura ama maumbile? Maana zile sehemu husika huwa Bibi anachukua chake mapema na kuacha shimo la kutunzia Panya!! Wangeacha hiyo mila mambo yangekuwa mazuri ila kasoro inaanzia hapo. Kwa hiyo mie sioni kuwa ni wazuri maana wenzao wa Rwanda wanafuga vinakuwa virefu...
  13. Ben T

    Dr. Aingaya Kaale: Mwanamke pekee Tanzania daktari bingwa wa upasuaji ubongo na mishipa ya fahamu

    Sura tumeziona naomba tuwaangalie na Makalio pamoja na Miguu maana hizo sekta mumenyimwa, pia na kifuani huwa mnabebaga Cowbell
  14. Ben T

    Wanaume wa Dar: Uongo usipokanushwa hugeuka kuwa kweli

    Hivi Panyaroad waliokuwa wanakimbiwa si walikuwa Dar ama Mikoani? Msijidanganye Wanaume wa Dar mnashida sana Waganga wa Kienyeji wanaotangaza kuuza Dawa za Kuongeza Nguvu za Kiume wako wengi sana wamegundua tatizo lipo sana huko kwenu!
  15. Ben T

    Nimeitwa ukweni Singida, mwenye kuzijua desturi za Wanyaturu

    Nakuhurumia Mtu wa Lindi hivi mikoa ya jirani hakuna Mwanamke aliyetokea ukampenda? Wanyaturu ni wanawake wazuri kwa maumbile na sura nzuri ila tabia zao wengi si nzuri nahisi ni kwa sababu yale maumbile wanayaondoa nahisi hawafikii mshindo huwa wanakawaida ya kutokutosheka na Mwanaume mmoja...
  16. Ben T

    Ndege za ATCL zaanza kuhujumiwa na wafanyakazi. Waziri atoa onyo

    Shirima si ndiyo aliiua ATC ile ya kwanzaa Kabisa na akaanzisha Kampuni yake!
  17. Ben T

    Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983

    Roberts ameshafariki yeye aliweka makazi yake mbele kidogo ya Kijiji cha Sisi Kwa Sisia
  18. Ben T

    Nimeamini hakuna UKIMWI pamoja na haya yote eti bado niko negative!!!!!!

    Mkuu kuna kitu kinaitwa DELTA 32, kuna watu asilimia 10 Duniani kwa namna yoyote vile hawawezi kupata maambukizi ya HIV Nahii imethibitishwa kitaalamu hebu ingia kwenye Google search hilo neno DELTA 32 utapata taarifa zote inawezekana nawe uko kwenye kundi hilo.
  19. Ben T

    Wateja wa visimbuzi vya DSTV, AZAM na ZUKU kulipwa mamilioni ya fedha. TCRA yawataka watume majina yao na miezi waliyolipia

    Mkuu kila kitu kinautaratibu wake, wahusika wote waliomba leseni na hizo leseni zilikuwa na masharti ni jambo la fedheha na si ustaarabu unakubaliana na masharti alafu kwa makusudi mazima unaamua kuyavunja ili tu Mamlaka husika ianze kukufuatilia. Wengi wetu hasa sisi Watanzania tunapata taabu...
  20. Ben T

    DC Jerry Muro amfokea DED kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 kwenye msafara

    Yaani siku hizi najisikia vibaya hata kuangalia matukio mengi ya kisiasa. Kiungwana Jerry Muro (Mh DC) asingetenda yale aliyoyatenda ni kufedheheshana wakati yeye na Mkurugenzi wote ni wateuliwa wa Mamlaka moja. Tujifunze kuwa Wastaarabu pindi tunapoteuliwa kuwa Viongozi maana kuna maisha baada...
Back
Top Bottom