Search results

  1. K

    Ukweli kuhusu Mabilioni ya NIDA: Kulinganisha NEC na NIDA Kimantiki

    Wewe endeleza ligi hapa. Kama unafahamu kuna uchunguzi unaendelea si uende ukatoe huo ukweli huko ? Hapa unajiweka matatani tuuu.
  2. K

    Kilichomng'oa Dr. Hosea Takukuru hiki hapa!

    Hata kama unasafir kwa sababu binafsi na gharama binafsi, ni lazima kuomba kibali cha kusafiri kwa karibu mkuu kiongozi. Huu ni utaratibu wa siku nyingi kwa watumishi wa umma woote
  3. K

    Mke wangu ananitesa kwa hili

    Kalishwa nyama ya nanihiiii
  4. K

    Wafanyakazi wa Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu mnaidhalilisha Ofisi ya Rais Kikwete

    Watu wanauchovu kuuguza mzee mpaka wanaona alianza kaz 2010
  5. K

    Una uhakika gani kwamba TB Joshua ni nabii fake?

    Hata Kristo alipoliliwa msalabani alisema enyi wanawake msinililie mimi... Sasa ninyi mbona mwahangaika sana na huyu nabiii wenu? Unabii wake hautategemea idadi ya wanaokiri kumfuata bali kibali cha Mwenyezi Mungu aliye mkuu wa mbingu na dunia
  6. K

    Profesa huyu anastahili pongezi za dhati

    Kesho uandike kama mwandishi wa habari ninaona tu prifesa ngoma. Hivi hujui mtu anatambuliwa kwa angalau majina mawili?. Sasa ngoma ni jina la ukooo. Na ngoma maprofesa wapo wengi huyu profesa ngoma wako anajina moja tuu?
  7. K

    Tochi za kupima mwendo(speed) zinatumika vibaya Mdaula

    Afadhari umesema.. Maana watu wanalishana sumu hapa! Eti nakwenda mbinga zaid ya km 1000, so kama zaid ya km 1000 ndo uendeshe unavyotaka? Kila siku tunalia ajali tena nyingi za hizi ajali niza kusababishwa na ujuaji wa kupindukia tuwapo barabarani
  8. K

    Ulaghai wa punguzo la nusu bei Shoprite Mlimani City

    Afadhali umemjibu.. Naona anakiu kueleza ameishi ulaya..... ..sale ya ulaya huonyehsa bei ya mwanzo na bei ya kuuza sasa. Bongo hujui mwanzo ilikua ngapi bali unapewa ya sasa.. So wizi huoo...
  9. K

    Some stupid things that ladies do in the name of love

    Hahahaha! Bureee bureeee bureeee
  10. K

    Ofa (nusu bei) ya Shoprite imenipa mtaji wa kufungua duka reja reja

    Yeah, uvivu na kiburi chetu tutaendelea kulia lia, wageni wanaojituma watatutawala
  11. K

    Watoto 3,000 Wakatoliki wakusanyika; Serikali yawakilishwa

    Ni vema ukayaweka wazi hapa, maana ukificha utawapa nafasi hawa watuhumiwa kuendelea na uovu huo unao watuhumu nao
  12. K

    Kilimanjaro: Baba ambaka mwanae na kumwingilia kinyume na maumbile

    So hiyo network ikipotea ndo ina kumbuka kubaka watoto tuuu?
  13. K

    Sakata la kukamatwa vijana wa Lwakatare na makandokando haya mapya

    Boko walawenzioooo! Boko nawe utaliwaaa
  14. K

    Kwanini funguo za gari zipo mkononi muda wote?

    Funguo hutoboa mifuko ya suruali
  15. K

    why mimi?! Sioni raha ya kuoa

    Unamwaga au unanyunyiza tuu?
  16. K

    Watangazaji wa TV mjifunze jinsi ya kuvaa

    Maelezo marefu sana lakini umeshindwa kusema kuvaa vibaya ni kwa namna gani na kuvaa vizuri ni kwa namna gani.hao unao wasema wakisoma hii ushauri wako watajua wanakosea nini na waboreshe nini?
  17. K

    Tabia za boss wangu zinanikera

    Unaonaje nawe ukitafuta mwanaume wako uwe unaongea nae kwa loud speaker mambo yanayo muhusu bos wako?
  18. K

    Hizi sheli za oil com kulikoni

    Kwa bongo gas station ni msimbati -huko ntwaraa
  19. K

    Jeshi la polisi Tanzania laamua kumfuata Agness Masogange Afrika Kusini...!!

    The technology doesn't work this way! The technology is absolutely excellent! .but the ethics of our personnel is always at diminishing faith and hope.they have turned to be supporters and escorters to these potential killers of our future generation.
  20. K

    Wanawake wawili wazuri kuliko wote duniani

    Ni picha nzuri za wanawake, Siyo wanawake wazuri
Back
Top Bottom