Search results

  1. Nyuki

    Maneno ya Baba

    baba yangu aliniambia siku chache kabla ya ndoa yangu kwamba unapocheka na mkeo hakikisha usicheke mpaka ayaone magego yako
  2. Nyuki

    KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

    mkuu big up sana umejibu hoja kisomi ikizingatia ushahidi hai na siyo wengine wanaleta mambo ya kitoto na ushabiki hao ni wanafiki na huu ni udhadiki kabisa hawapendi maendeleo ya watu
  3. Nyuki

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    mkuu saafi sana
  4. Nyuki

    Masoud kipanya asimulia jinsi alivyotimuliwa kazi cloudz fm

    Nadhani hapa sheria mpya ya kazi haikuwa implemented haiwezekani mfanyakazi ajieleze kwa barua then unamfukuza ndani ya siku nne!nadhani idara ya rasilimali watu hapo clouds imeshindwa kazi au imekufa kabisa,namshauri masoud aende CMA kufile kesi maana kama hayo maelezo hapo ni ya kweli moja kwa...
  5. Nyuki

    "Malaya hao"..!

    umesahau wahenga walisema ndege wafananao uruka pamoja
  6. Nyuki

    Mzee Luhanjo na pigo la mwisho PSPF na TIC

    mkuu ni kweli kabisa kwani luhanjo anawateua hao watendaji wakuu wa taasisi za umma?kama mtu ni mchapa kazi pia anasifa na ujuzi unaotakiwa acha apewe nafasi awatumikie watz
  7. Nyuki

    Lowassa na siasa za makanisani?

    mtoto akikunyea mkono utaukata?na kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi.bravo lowasa endelea na juhidi zako. pale magogoni lazima ukae
  8. Nyuki

    tanzania election 2015

    one of the followind, dr.shein, membe el
  9. Nyuki

    Naichukia ndoa yangu..

    pia unaweza toka nje kutafuta faraja matokeo yake matatizo yakizidi zaidi ya mumeo cha msingi mkabidhi mungu maisha yenu na ndoa yenu kwa imani utaona unapata amani na furaha ya ndoa
  10. Nyuki

    Mtazamo wa CHADEMA juu ya Lema kujiingiza gerezani

    mkuu umaarufu gani unaosema maana kama umaarufu lema tayari maararufu
  11. Nyuki

    Hii ni mbaya na hatari kwa mustakabali wa nchi yetu

    hakuna cha waangalizi wala nini ccm imeshinda kihalali bila ubishi
  12. Nyuki

    Igunga: Sikubali matokeo

    Mkuu hakuna cha mungu yupo hama hayupo mungu siku zote yupo,kubali kushindwa cha msindi cdm jipange vyema l kisera mbele ya wananchi na si kulalamika hovyo bila sababu za msingi
  13. Nyuki

    Nape kumjibu Rostam

    anataka kukanusha nini sasa? maana RA ameeleza kwanini ameamua kuachia ngazi ssa yeye nape anatakanusha nini,inabidi awe makini sana huyu kijana
  14. Nyuki

    Kafulila azua balaa bungeni

    hapa mh.olesendeka kachemka, kutofautiana kimtazamo na kiitikadi miongoni mwa wabunge ni jambo la kawaida na si uhuni bravo AG.Werema
  15. Nyuki

    Nahitaji DELL LAPTOP kwa TZS. 700,000/

    mkuu umeshapata,ni pm ninazo
  16. Nyuki

    Nimepata soft loan bila riba

    mkuu nipe contact zake huyu jamaa maana na shida ya capital sana
  17. Nyuki

    Serikali yaamua kubana matumizi; Mbowe kashinda hoja

    hapo itakuwa safi sana
  18. Nyuki

    Kabwe, Kafulila, Kitila, Ben ni Mtandao wa sasa kama wa EL, JK, AC, RA 1995-2005??

    Una uhakika na unachokisema? Kwani kuna ubaya gani wakifanya hivyo?
  19. Nyuki

    POSHO: Bunge lamjibu Zitto Kabwe; atoa msimamo wake

    majibu mazuri sana kwa mh.zitto.pokea stahiki zako kisheria then wewe amua pa kuzipeleka
Back
Top Bottom